Boaz Okoth Amtimua Spika kwa Utovu wa Nidhamu

Wawakilishi wadi katika Bunge la Migori (MCA) walimtimua Spika wao Boaz Okoth siku chache baada ya kukamatwa kwake.
Jumla ya MCAs 46 walijitokeza kwenye kikao hicho, 11 walikosa kuhudhuria, wawili hawakupiga kura huku wengine wawili wakipinga hoja ya kutimuliwa kwa spika huyo.
Naibu Spika Mathews Chacha ambaye pia ni MCA wa Bukira Central alichguliwa kuwa kukaimu Spika wabunge hilo hadi wakati uchaguzi wa kuchukua nafasi ya Okoth utakapofanywa.
Maira alikubaliana na madai ya utovu wa nidhamu na utumizi mbaya wa afisi kama sababu kuu zilizochochea kukamatwa kwa Okoth ambaye baadaye alifikshwa katika mahakama ya Migori mnamo Alhamisi, Februari 3

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii