Zikiwa zimepita siku mbili tangu ajali ya basi na lori na kusababisha vifo vya watu 23 mkoani Morogoro, ajali nyingine ya gari ndogo ya abiria aina ya Coaster imetokea na kusababisha vifo vya watu . . .
Daktari wa meno huko Wisconsin Marekani amepatikana na hatia ya makosa matano ya ulaghai wa huduma ya afya baada ya kugundulika kuharibu meno ya Wagonjwa kwa makusudi ili kujipatia pesa nyigi zaid . . .
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) imepiga marufuku kutumia bidhaa za tumbaku katika maeneo yasiyo rasmi ili kulinda afya za jamii.Agizo hilo lilitolewa katika kikao kazi cha kuto . . .
Poland inasema zaidi ya wakimbizi milioni mbili, wengi wao wakiwa wanawake na watoto wamewasili nchini humo tangu kuanza kwa mapigano nchini Ukraine. Maafisa wa ulinzi wa mpakani wa Poland wanasem . . .
Umoja wa Mataifa umedai kuwa zaidi ya raia 700 wakiwemo watoto 52 wameuawa nchini Ukraine tangu Urusi ilipoivamia jirani yake wiki tatu zilizopita, lakini idadi hiyo huenda ikawa kubwa zaidi.Mkuu . . .
Washington imeelekeza nguvu zake Beijing, Alhamisi, ambapo rais wa Marekani, Joe Biden, alipanga kufanya mazungumzo ya nadra na rais wa China, Xi Jinping. Mazungumzo hayo yanakuja wakati rais w . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Samwel Mhina (31) mkazi wa Temeke pamoja na wenzake 13 kwa tuhuma za kusambaza video katika mitandao ya kijamii kinyume na sheria. . . .
Wakatu hali ikiendelea kuwa mbaya nchini Ukraine, Rais Joe Biden wa Marekani amemwita rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa ni mhalifu wa kivita.Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Kreamlin Dmitry Peskov amese . . .
Wakati ulimwengu unatoa zingatio kubwa kwa mgogoro wa Ukraine, Shirika la Afya Duniani limesema hakuna mahala duniani ambapo afya za watu zipo katika kitisho kibaya zaidi kama jimbo la Tigray, nch . . .
Ayanna Williams, mwanamke anayeishi Texas ambaye alishikilia rekodi ya 'Guinness World Record ya kuwa na kucha ndefu zaidi duniani, hatimaye amezikata baada ya miaka 30.Lakini kulingana na Guinness Wo . . .
Rais Joe Biden wa Marekani Alahimis ya juma lijalo anatarajiwa kwenda mjini Brussels kwa lengo la kuhudhuria mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya ambapo ajenda kuu inatarajiwa kuwa mzozo wa Ukraine . . .
Bunge la Iraq limeitaja Machi 26 kuwa siku ya uchaguzi wa rais wa taifa hilo, baada ya kucheleweshwa. Aidha limetoa orodha ya mwisho ya wagombea 40.Miongoni mwa wagombea wenye kutajwa kuwa na nafa . . .
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amealikwa mjini Kiev wakati jiji hilo likiwa katika hatua ya kukaribiwa na hali nyingine ya mashambulizi ya Urusi.Ofisi ya Papa ya mjini Vatican i . . .
Viongozi watatu wa eneo la Ulaya Mashariki wamekutana na Rais wa Ukraine,Volodymyr Zelensky katika mji uliozingirwa wa Kyiv, katika kuonesha mshikamano wao huku mapigano yakiendelea.Viongozi . . .
Serikali ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji wa masuala ya kilimo kuwekeza nchini ili kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao ya kilimo na kuimarisha lishe kwa wananchi na kuinua pato la Taifa.& . . .
Ujerumani imesema itaziondoa baadhi ya ndege zake za kivita za zamani aina ya Tornado kwa kununua aina mpya kutoka Marekani ya F-35A, zenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia.Akitangaza uamuzi huo . . .
Mkuu wa kamisheni ya haki za binaadamu ya Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet amelaana vikali hukumo ya kifo kwa watu 81 kwa siku moja huko Saudi Arabia. Mkuu huyo amelitaka taifa hilo la kifalme . . .
toto wa bilionea Juan Carlos Escotet Rodriguez mwenye umri wa miaka 31 amepoteza maisha wakati akijaribu kumuokoa mchumba wake wakati wa mashindano ya uvuvi mwishoni mwa wiki katika jimbo la Flori . . .
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewapa maagizo viongozi wawili aliowaapisha leo Jumanne Machi 15, 2022.Viongozi hao ni Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole na Mkuu wa Mkoa wa Njo . . .
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amesema atatumia mbinu za Naibu Rais William Ruto iwapo kinara wa ODM Raila Odinga atashinda kiti cha urais kwenye uchaguzi wa Agosti 9.Kama vile Ruto alivyomfanyia Rai . . .
Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Dominic jana Jumatatu amesema Uingereza inaunga mkono jitihada ya Mahaka ya Kimatiafa ya ICC katika kuchunguza uhalifu wa kivita nchini Ukraine.Naibu huyo aliwaambia . . .
Uturuki na Ujerumani zimekubaliana kuendelea kufanya jitihada za kidiplomasia katika kuhakikisha mapigano yanasitishwa nchini Ukraine, huku wakisistiza pia umuhimu wa uhusiano wa pamoja na ushirik . . .
Serikali ya Tanzania leo imepokea msaada wa vifaa tiba kutoka Serikali ya Ufaransa, kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa UVIKO-19. Akipokea msaada huo kwa niaba ya Serikali, Waziri wa Mambo y . . .
Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Mkoa wa Geita katika hafla ya kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Magufuli itakayofan . . .
Kundi la wananchi katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza unapojengwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga, limesimamisha msafara wa Kamati ya Kudu . . .
Naibu mwenyekiti wa Jubilee David Murathe amedai kwamba mgombea urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga atakuwa rais wa tano, hata kama hatapigiwa kura eneo la Mlima Kenya.Murathe Adai Raila Atakuwa Rai . . .
Polisi katika Kaunti ya Kisii wameanzisha uchunguzi baada ya mwili wa mwanamke wa umri wa kati kupatikana umetupwa nje ya kituo cha polisi mnamo Jumapili, Machi 13.Kulingana na ripoti za polisi, mareh . . .
Jinsi gani ya kufanya mamilioni ya vijana kuelewa vigingi vya vita vya Ukraine wakati hawasomi taarifa zinazotolewa kwenye magazeti au kutazama taarifa za habari katika televisheni au kuzikiliza t . . .
Serikali ya kijeshi ya Chad na makundi kadhaa ya upinzani walianza mazungumzo ya amani jana nchini Qatar kama hatua ya kwanza kuelekea kuumaliza uasi na kuandaa uchaguzi. Lakini baada ya hotuba za . . .
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan atajadili vita nchini Ukraine na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz katika mazungumzo yatakayofanyika mjini Ankara leo. Uturuki na Ujerumani zinaendeleza juhud . . .