Ubalozi wa Marekani umetoa kauli juu ya wimbo wa Afande Sele unaofahamika kwa jina la “Bila Marekani”. Katika taarifa iliyochapishwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, imesema kwamba…“Tu . . .
Kuongezeka kwa deni la Serikali hadi Sh64.52 trilioni kutoka Sh56.76 trilioni na kuwepo madai ya bima ya afya yaliyohusisha wanaume 56 waliodaiwa kupata huduma ya upasuaji wa kujifungua na wengin . . .
Kampuni ya Uber inayotoa huduma ya usafiri ya taxi kwa njia ya mtandao imesitisha huduma zake nchini Tanzania kuanzia leo 14 Aprili 2022. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotumwa kwa wateja wa usafiri . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC waliofika ku . . .
Shirika la fedha ulimwenguni IMF limeidhinisha kuundwa kwa mfuko mpya wa ufadhaili unaolenga kuzisaidia nchi za kipato cha chini na za kati kukabiliana na changamoto za muda mrefu ikiwemo mabadi . . .
Mawaziri wakuu wa Finland na Sweden jana walikutana mjini Stockholm kujadili usalama wa kikanda kutokana na vita vinavyoendelea nchini Ukraine. Waziri mkuu wa Finland Sanna Marin na Magdalena Ande . . .
Mshukiwa wa shambulio la kufyatulia risasi watu wengi Jumanne kwenye kituo cha treni cha jijini New York amekamatwa Jumatano alasiri na kushtakiwa kwa kosa la ugaidi, wakili wa wilaya ya mashariki . . .
Imeelezwa kuwa asilimia 48 ya wanafunzi wa kike wanakosa masomo kutokana na kuwa katika mzunguko wa hedhi hali ambayo huathiri uwezo wa wanafunzi hao kujifunza kwa ufasaha. Hayo yamesemwa l . . .
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nauye amezikumbusha taasisi za TANROAD na TARURA kuweka majina ya barabara ili kurahisisha Operesheni ya Anwani za Makazi Akizung . . .
WAKAZI wa Jimbo la Mpendae Visiwani Zanzibar wamepata faraja Kwa familia ya Marehem Salim turkey Kwa kuendeleza yale mazuri kwa wananchi wake hususani kuwakumbuka watu wenye uhitaji katika kipin . . .
Zaidi shilingi milioni 600 zatumika vibaya Wilayani handeni Mkoani Tanga, Fedha hizo zilizotengwa kwa ajali ya kukamilisha mradi wa bwawa la maji la kata ya Kwemkambala ambapo mradi huo mpaka sasa . . .
BRUSSELS Umoja wa Ulaya unalenga kukabiliana na kupanda kwa bei ya ngano na mbolea kwa kujihusisha na kile ulichokitaja kuwa diplomasia ya chakula. Kupanda kwa bei za bidhaa kunatarajiwa kusababis . . .
Umoja wa MataifaRipoti ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa ugonjwa wa Covid-19 ulisababisha zaidi ya watu milioni 77 kutumbukia katika umaskini uliokithiri mwaka jana huku nchi nyingi zinazoendelea . . .
Mashirika 16 ya kiraia Jumanne yamelisihi shirika la kimataifa la fedha( IMF) kutoa dola trilioni 2.5 katika akiba yake ya dharura ili kuzisaidia nchi maskini ambazo bado zinashindwa kujikwamua . . .
Serikali ya Sudan Kusini Jumanne imetangaza kuundwa kwa uongozi wa jeshi lililoungana, ikitekeleza kipengele muhimu cha makubaliano ya amani ya mwaka 2018 ambayo wafuatiliaji wanatumai yataisaid . . .
Kyiv Shirika la ujasusi la Ukraine SBU limemkamata mwanasiasa wa upinzani nchini humo Viktor Medvedchuk, ambaye anaunga mkono Urusi na anatajwa kuwa mshirika wa karibu wa rais Vladimir Putin. Kigo . . .
The HagueShirika la kuzuia kuenea kwa silaha za kemikali duniani OPCW limesema kuwa lina wasiwasi na ripoti za matumizi ya silaha za kemikali katika mji uliozingirwa wa Mariupol nchini Ukraine. Ri . . .
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wiki ijayo limepanga kukutana katika kikao kingine kujadili hali ya kibinadamu nchini Ukraine,ikiwa ni juhudi za kuendelea kuitia mbinyo Urusi licha ya kutumi . . .
Shirika la kimataifa la kutetea usawa wa kijinsia na haki za wanawake limetangaza kumteuwa dkt Maliha Khan, kuwa rais wa shirika hilo. Kabla ya kuteuliwa kwake daktari Khan, alikuwa . . .
Marekani imetoa agizo kwa raia wake wasiokuwa wafanyakazi wa dharura katika ubalozi wake mdogo mjini Shanghai, waondoke. Mji huo wa China umewekwa chini ya sheria kali za kudhiti kuenea virusi vya . . .
Mamiliaoni ya watu nchini Somalia wako hatarini kutumbukia kwenye baa la njaa ambapo watoto ndio hasa wanaokabiliwa na hatari hiyo inayotokana na ukame ulioongezeka nchini humo. Tahadhari hiyo ime . . .
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nauye amezikumbusha taasisi za TANROAD na TARURA kuweka majina ya barabara ili kurahisisha Operesheni ya Anwani za Makazi Akizung . . .
Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki umewaelekeza mabalozi kufanya kazi kwa bidii na weledi pamoja na kuweka maslahi ya Taifa mbele katika utekelezaji wa majukumu y . . .
Mamlaka nchini Ukraine zimesema huenda maelfu ya watu wameuawa kufuatia mashambulizi ya Urusi katika mji wa bandari wa Mariupol, na kuishtumu Urusi kuchelewesha kimakusudi zoezi . . .
Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amesema chanjo ya ugonjwa wa homa ya sotoka ni mkombozi kwa wafugaji wa Kongwa ambao wametaabika kwa muda mrefu. Pia, Ndugai amewataka wataalamu kwenda mbele zaid . . .
Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ limeafiki mashindano makubwa ya Quraan kufanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili (April 17), licha ya uwepo wa mchezo wa Robo Fainali Kombe la . . .
Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Deogratius Ndejembi amesema watumishi wa umma 1,477 wamesimamishwa kazi kwa kukiuka sheria, kanuni, taratibu na miongozo inayosim . . .
Baraza la Madiwani Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro limemuondoa madarakani Meya wa Manispaa hiyo, Juma Raibu kwa tuhuma mbalimbali ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka.Raibu ameondolewa madar . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anaongoza katika duru ya kwanza ya uchaguzi uliofanyika jana Jumapili akifuatiwa na mpinzani wake wa karibu Marine Le Pen mwenye siasa kali za mrengo wa kulia. Wiz . . .
Wanaume tisa wakutwa na viashiria vya Saratani ya tezi dume ambao ni sawa na Asilimia 17 ya waliojitokeza kwenye kampeni ya uchunguzi wa saratani ya tezi dume mkoani Njombe.Hayo yamebainishwa . . .