Makundi ya waasi wenye silaha nchini Chad siku ya Alhamis yaliushutumu mji wa Njamena kuzorotesha kwa makusudi mazungumzo huko Qatar ambayo yamebuniwa ili kuandaa mazungumzo ya kitaifa na uchagu . . .
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Deus Seif amesema Walimu walionufaika kwa kupandishwa madaraja (vyeo) katika Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu katika kipindi cha mwa . . .
"Tuliwasiliana na Ubalozi wetu Dubai na katika kufuatilia, imebainika kuwa mmiliki wake anatoka Marekani, sasa tunafuatilia mmiliki wa awali na kama ni mali ya Tanzania tuone namna gani lilisafi . . .
Karibu watoto 1,900 chini ya umri wa miaka 5 wamefariki kutokana na utapiamlo katika eneo la Tigray katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Haya ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na maafisa wa . . .
Sakata la usafiri wa bodaboda na bajaji kuingia Katikati ya Jiji la Dar es Salaam limetua bungeni baada ya Mbunge wa Ukonga (CCM), Jelly Silaa kulitaka Bunge kusimamisha shughuli zake na kujadil . . .
Umoja wa Mataifa umesema waasi wa Houthi Yemen, wameamua kutowatumia tena watoto kama wanajeshi. Waasi hao wamewatumia maelfu ya watoto kupigana katika vita hivyo vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodu . . .
Viongozi wa kikabila kusini mwa Libya wamekifunga kisima kikubwa zaidi cha mafuta nchini humo. Ni hatua ya karibuni kabisa ya kufungwa kisima cha mafuta wakati kukiwa na mzozo mkali kati ya serika . . .
Waziri Mkuu Boris Johnson kwa mara ya kwanza atakabiliana na wabunge wenye hasira tangu atozwe faini kwa kuvunja sheria, wakati kashfa ya sherehe itakapoendelea kumzonga.Kiongozi huyo wa Uingereza . . .
Marekani imeondoa sheria ya kuvaa barakoa katika vyombo vyote vya usafiri. Mahakama moja katika jimbo la Florida imesema kwamba sheria hiyo ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona ni kinyume cha . . .
Kamishina wa haki za binadamu katika serikali ya Ujerumani Luise Amtsberg ametaka wakimbizi wanaoingia Ujerumani kutoka mataifa kama Afghanistan na Syria wapewe haki sawa na wakimbizi wanaotokea U . . .
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Handeni mkoani Tanga, imemsimamisha kazi mtendaji kata ya Kwenjugo, Athumani Mgaza akidaiwa kutenda makosa 20 ikiwemo kuwafunga pingu wananchi wanaoshindwa kul . . .
Spika wa Bunge, Dk Tulia Akson ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya matengenezo ya barabara zinazojengwa ili ziweze kuwa imara wakati wote.Amezungumza leo Jumanne Aprili 19, 2022 Bungen . . .
Bi Zainab alituma katika mtandao wake wa Twitter siku ya Jumamosi masaibu aliyoyapata katika moja ya hoteli karibu na ufukwe eneo la Nungwi visiwani humo.Katika taarifa yake anaeleza kuwa alinusurik . . .
Mjumbe Maalum wa Marekani kwa Korea Kaskazini Sung Kim amewasili mjini Seoul leo kwa mazungumzo na maafisa wa Korea Kusini juu ya kushughulikia kuongezeka kwa majaribio ya makombora kutoka Korea K . . .
Mwaka mmoja baada ya kifo cha Idriss Déby Itno, baraza la kijeshi la mpito lililoundwa katika hali ya dharura bado lipo. Nchi hii inatarajia mdahalo jumuishi wa kitaifa amba . . .
MAJESHI ya Ukraine ambayo yapo jijini Mariupol yamegoma kujisalimisha kama ilivyotolewa amri na Urusi na badala yake yameapa kupambana hadi mwisho kutetea mji huo ambao upo mashariki mwa nchi ya Ukrai . . .
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuwashughulikia watu wote waliolisababishia Taifa hasara ya mabilioni ya fedha kama ilivyobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu . . .
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ataitembelea India katikati ya wiki inayokuja kwa mazungumzo juu ya biashara na usalama pamoja mwenzake, Narendra Modi, ambaye amejizuia kuilaani Urusi kutok . . .
Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aliionya NATO siku ya Alhamisi kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani basi Urusi itapelek . . .
Mwishoni mwa mwezi Januari, wanajeshi wa Urusi walipokusanyika kwenye mpaka wa Ukraine na wengi bado wana shaka iwapo Urusi ingethubutu kuivamia, Waziri Mkuu wa Finland Sanna Marin alisema "haku . . .
Dosari katika mifumo ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) zimesababisha baadhi ya wanufaika kuzidishiwa, wengine kupunjwa huku watoto kutoka kaya maskini pamoja na mayatima wakinyimwa kabisa. . . .
Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wametuma salamu za Pasaka kwa mwaka 2022 zilizobeba ujumbe wa mambo makuu manane, yakiwamo mvutano na msuguano wa kisiasa kuhusu Katiba . . .
Maafisa wa Maryland wamesema bwana mmoja amekutwa amekufa nyumbani, kwake Kaunti ya Charles ambae anafuga nyoka zaidi 100 akiwemo aina ya vifutu na koboko.Wachunguzi wameviambia vyombo vya habari . . .
Mwendesha Mashkata Mkuu wa Mahakama ya Kimatiafa (ICC), Karim Khan, amesema ataendelea kujaribu kufanikisha upatikanaji wa Urusi katika kujihusisha na uchunguzi wa uhalifu wake wa kivita huko Uk . . .
Urusi inasema meli yake ya ya makombora katika bahari ya Black Sea Moskva imeharibiwa vibaya na moto uliosababishwa risasi zake kulipuka. Maafisa wa Ukraine hata hivyo wanasema meli hiyo imepigw . . .
Serikali ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E), zimesaini Makubaliano ya Tume ya Kudumu ya Pamoja katika nyanja za forodha, elimu, kilimo, nishati, mawasiliano, ulinzi na usalama.&nbs . . .
SERIKALI ya Uingereza kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo Priti Patel inataraji kusaini mkataba na serikali ya Rwanda ambao utadumu kwa muda wa miaka mitano 5 wenye dhumuni la serika . . .
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kupata mafanikio makubwa katika robo tatu ya mwaka inayoanzia Januari mpaka Machi, 2022 kutokana na ongezeko la usajili wa miradi na kuimarika kwa shugh . . .
MKUU wa Mkoa wa Singida Dk.Binilith Mahenge amesema Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Barani Afrika kwa kusambaza umeme katika vijiji vyote.Dk. Mahenge ameyasema hayo jana wakati akizungumza na wa . . .
BANDARI ya Tanga inatarajiwa kuanza kupokea Meli za Magari ifikapo Mwezi Mei mwaka huu ambayo yatakuwa yakipelekwa kuhifadhiwa eneo la Mwambani Jijini Tanga . Hatua hiyo inatajwa kwamba itafungu . . .