Waziri wa habari,mwasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye amemuagiza katibu mkuu wa wizara hiyo Dkt Jimmy Anazi kuhakikisha mameneja wote wa shirika la posta Tanzania wanashirikishwa katika utek . . .
Kitendo cha Shule ya Wasichana ya St. Francis Mbeya kuendelea kuvunja rekodi ya kufaulisha na kushika namba 2 Tanzania nzima kwa matokeo ya form iv 2021 kilinifanya niendeshe gari kutoka Dar mpaka Mbe . . .
Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka. Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika a . . .
Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za maendeleo nchini.Hayo yamesemwa leo Jumatatu Januari 24, 2022 . . .
Wafuasi wa jeshi nchini Burkina Faso wameandamana katika mji mkuu jana Jumanne, siku moja baada ya maafisa jeshi kumkamata rais Roch Kabore na kuivunja serikali ya nchi hiyo.Mamia kadhaa ya watu w . . .
Serikali imesema watu 3,147 walilazwa hospitalini kutokana na Uviko-19 kati ya Septemba 2021 mpaka Januari 23, 2022 ambapo kati yao 2990 sawa na asilimia 95 walikuwa hawachanja. . . .
Rais wa Marekani Joe Biden anasema ataangalia uwezekano wa vikwazo binafsi dhidi ya Vladimir Putin iwapo Urusi itaivamia Ukraine. Bw Biden alisema kunaweza kuwa na "madhara makubwa" kwa dunia . . .
BBC inamtafuta nyota anayechipukia katika uandishi wa habari barani Afrika kwa ajili ya Tuzo ya BBC World News Komla Dumor, ambayo sasa ni mwaka wake wa saba.Waandishi wa habari kutoka kote ba . . .
Zaidi ya watu 1,000 wamekusanyika katika uwanja mkuu katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou, kusherehekea mapinduzi ya Jumatatu, huku wengine wakichoma bendera ya Ufaransa na wengine wakic . . .
Abiria waliokuwa wakiabiri meli ya abiria walishangazwa baada ya meli hiyo kubadili mkondo wake kwa ghafla wikendi hiina kutia nanga katika eneo la Bahamas ili kukwepa ‘kutekwa nyara nchini Marek . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema hataegemea upande wowote katika uchaguzi wa urais wa Kenya utakaofanyika Agosti 9, zinasema ripoti katika gazeti la New Vision linalomilikiwa na serikali.A . . .
MSEMAJI na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACF) Puyo Nzalayaimisi ameendelea na ziara yake kwa ajili ya kuj . . .
madaktari bingwa kutoka saudia rabia na madaktari wa tanzania wamefenye upasuaji wa wagonjwa 50 katika wilaya ukerewe mkoani mwanza.mkuu wa wilaya ya ukerewe kanali denis mwila ameeleza ku . . .
Rais wa nchini Malawi, Lazarus Chakwera amelivunja baraza lake la Mawaziri lote kutokana na masuala ya rushwa. Akituhubia taifa lake kwa njia ya televisheni siku ya Jumatatu tarehe 24 2022 . . .
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekilaghe, amepongeza maendelo ya mradi wa upanuzi wa jengo la mama na mtoto na kumtaka mkandarasi kumaliza kazi iliyobakia pamoja na maboresho kabla . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dr. Tedros amesema Dunia inaweza kuit . . .
RAIS wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI), Sven Lindqueast ameitaja Tanzania kuwa ni nchi yenye nusu ya simba wote Duniani katika Mkutano wa 50 wa Mwaka wa Uwindaji wa Kitalii unaoen . . .
Tanzania Commercial Bank (TCB) imezindua tawi jipya Mkoa wa Katavi Wilaya ya Mpanda ikiwa ni jitihada za kusogeza huduma za kibenki kwa wateja na Wananchi kwa ujumla.Tawi hilo la kwan . . .
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kwa miezi mitatu kipindi cha Efatha Ministry kinachorushwa kupitia kituo cha televisheni cha Star TV, kwa kukiuka kanuni za maudhui ya Utangazaji . . .
Rais wa Burkina Faso Roch Marc Christian Kaboré amezuiliwa katika kambi ya kijeshi, shirika la habari la Reuters limeripoti.Hatua hiyo Inakuja huku kukiwa na mkanganyiko wa mahali alipo rais.Shirika . . .
"Maduka yote ya nje ya dawa yanatakiwa kuwa nje umbali wa mita 500 sheria hii niliipitisha kabla sijaondoka Wizarani, maduka yaliyo ndani ya Mita 500 ndani ya Hospitali Nchi nzima tunakwenda kuyaondoa . . .
Norway imesema inajiandaa kuanza majaribio ya Mabasi ya Abiria yasiyokuwa na Dereva ambayo yataanza majaribio kuanzia April 2022,Mabasi hayo yametengenezwa na Kampuni ya Kituruki ya Karsan na yana uwe . . .
Marekani imewaagiza ndugu wa wafanyakazi wa ubalozi wake nchini Ukraine kuondoka nchini humo huku hali ya wasi wasi ikiendelea kungezeka katika kanda hiyo.Wizara ya mambo ya nje pia imetoa ruhusa kwa . . .
Serikali Nchini Cameroon imesema takriban watu 16 wamefariki dunia kwenye Klabu iliyopo Mji Mkuu wa Taifa hilo, Yaounde kufuatia ajali ya moto iliyosababishwa na fatakiKwa Mujibu wa Wizara ya Ha . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepongeza Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania (1984-1985) Dkt. Salim Ahmed Salim kwa kutimiza umri wa miaka 80 leo Januari 23, 2022, pia . . .
Maelfu ya watu waliandamana jana nchini Ujerumani kupinga vizuizi vya kuzuia kuenea kwa virusi vya corona na chanjo za lazima huku makundi madogo yakifanya maandamano kinzaniPolisi inasema zaidi y . . .
Serikali imesema Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Kati ni mojawapo ya wahanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyowasababishia kushuka kwa ufanisi kwenye masomo yao, hivyo kupitia Mpango Kazi wa . . .
Kampuni ya ndege ya Marekani -American Airlines iliyokuwa ikisafiri kutoka Miami kuelekea London Uingereza imelazimika kurudi ilikotoka kwasababu mmoja wa wasafiri wake alikataa kuvaa barakoa, ime . . .
Serikali ya Marekani imesema itasitisha safari za ndege 44 kuelekea China kutoka Marekani zinazofanywa na mashirika ya ndege ya China kujibu uamuzi wa serikali ya China kusitisha baadhi ya . . .
Wananchi wa mkoa wa Rukwa wamepongezwa kwa kujitokeza kupata chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa Korona ambapo hadi kufikia mwezi Januari mwaka huu watu 57,638 wamefanikiwa kupata chanjo hiyo katika v . . .