RAIS Uhuru Kenyatta na Mkewe Margaret Kenyatta wawaongoza wakenya kutoa heshima zao za mwisho kwa Rais wa zamani Emilio Stanley Mwai Kibaki.
Rais Kibaki alitawala nchi ya Kenya kati ya mwaka 2002 hadi 2013, amefariki akiwa na umri wa miaka 90.
Kifo cha Mwai Kibaki kilitangazwa na Rais wa sasa wa Kenya Uhuru Kenyatta ambapo alitangaza nchi itakuwa katika kipindi cha maombolezo kuanzia siku aliyofariki hadi siku atakayozikwa