Waziri Mkuu Atembelea Ujenzi wa Nyumba Kijiji cha Msomera Wilayani Handeni

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amefanya ziara na kukagua nyumba 103 miongoni mwa nyumba zinazojengwa na Serikali katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni moani Tanga kwa ajili ya wananchi walioridhia kuhama katika hifadhi ya Taifa ya Norongoro.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii