Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC waliofika kumpokea alipowasili Jijini Washington Nchini Marekani kwa ajili ya kuanza ziara ya Kikazi tarehe 13 April 2022.
Viongozi, Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC walifika kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alipowasili Jijini Washington nchini Marekani kwa ajili ya kuanza ziara ya Kikazi tarehe 13 April 2022.