Ubalozi wa Marekani watoa tamko kuhusu Afande Sele ‘Hatukubaliani na ujumbe wa wimbo’

Ubalozi wa Marekani umetoa kauli juu ya wimbo wa Afande Sele unaofahamika kwa jina la “Bila Marekani”.

Katika taarifa iliyochapishwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, imesema kwamba…“Tumesikia Afande Sele ametakiwa kutousambaxa wimbo wake “Bila Marekani” hatukubaliani na ujumbe wa Wimbo huo lakini tunaamini kuwa uhuru wa kujieleza ni haki ya kimsingi.US inaunga mkono uhuru wa kujieleza hata tunapokosolewa.Wewe ndio uwe Jaji”- Ubalozi wa Marekani

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii