Wanamgambo wa Sudan wamewaua zaidi ya watu 200 wakiwemo wanawake na watoto, katika shambulio la siku tatu kwenye vijiji vya kusini mwa nchi . . .
Serikali ya Uingereza imetangaza vikwazo kadhaa dhidi ya spika wa bunge la Uganda na maafisa wengine wa ngazi ya juu serikalini.Spika Anita . . .
M23 inayoungwa mkono na Rwanda yuko rasmi katika mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, tangu mapema Jumapili asubuhi. Msemaji wa jeshi la . . .
Staa wa Pop duniani, Shakira, amelazimika kukatisha shoo yake nchini Peru na kukimbizwa hospitali baada ya kupatwa na maradhi ya tumbo.Kupit . . .
Saudi Arabia itakuwa mwenyeji wa mkutano wa maandalizi kati ya maafisa wakuu wa Urusi na Marekani siku ya Jumanne, Februari 18, kabla ya mku . . .
Mahakama ya Mauritius imemuachilia kwa dhamana Waziri Mkuu wa zamani Pravid Jugnauth, baada ya kukamatwa Jumamosi kwa tuhuma za usafirishaji . . .
Vijana takribani 132 wenye umri wa kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali, hasa ya pembezoni mwa Tanzania, wamekutwa huko Mlandizi, . . .
Serikali imesema kwamba taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba kampuni moja kutoka Saudi Arabia imepata mkataba wa uwekezaji . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema zaidi ya asilimia 40 . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili leo, tarehe 14 Februari 2025, katika Uwanja wa Ndege wa K . . .
Waasi wa M23 sasa wako katika maeneo mawili y mko wa Kivu Kusini, ambayo ni maeneo ya Kalehe na Kabare, ambapo sasa wanakalia eneo la Kabamb . . .
Papa Francis mwenye umri wa miaka 88 amekuwa Papa tangu 2013 na amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya mara kadhaa.Papa Francis amepelek . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku ndege zote zilizosajiliwa nchini Rwanda kutumia anga yake kutokana na vita vya uchok . . .
Mwanadiplomasia wa Urusi amefukuzwa nchini Uingereza katika mzozo wa hivi karibuni wa kurushiana maneno baada ya Moscow kumtimua afisa wa Ui . . .
Shirikisho la soka la kimataifa (FIFA) limetangaza kusimamisha shirikisho la soka la Congo (FECOFOOT), hivyo kupiga marufuku timu ya taifa y . . .
Nchi ya Burundi, imetuma wanajeshi wake katika eneo la Gatumba kwenye mpaka wa DRC, ambapo wanatarajiwa kutumwa katika Mji wa Bukavu, Mji Mk . . .
Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani WHO, huko Gaza amesema Alhamisi kuwa njia zaidi za kutoka zinahitajika ili kufa . . .
Mshambulizi wa Al Nassr Cristiano Ronaldo amefanya mahojiano na Canal 11, ambapo alisisitiza hamu yake ya kucheza kwenye uwanja sawa na mwan . . .
waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda . . .
Afisa wa kliniki katika hospitali ya Pandya amesimamishwa kazi kufuatia madai ya kusikitisha ya unyanyasaji wa kingono yanayohusisha mgonjwa . . .
Wapiganaji wa Hamas wamelaani vikali matamshi ya rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mipango yake ya kuidhibiti Gaza na kuwahamishia wakaaz . . .
Taarifa zilizotolewa na Shirika la Habari la Uingereza (BBC) zinasema mwandishi wa mkongwe nchini ambaye aliwahi kuwa mtangazaji wa BBC, Ahm . . .
Takriban watu 10 Jumanne wameuwawa kwenye ufyatulianaji wa risasi kwenye kituo kimoja cha elimu kati kati mwa Sweden akiwemo mshambuliaji, m . . .
Nyota wa filamu ambae amejipatia umaarufu zaidi kupitia Tamthilia ya Power , Omari Hardwick ameungana na baadhi ya watu kuwatetea wasanii am . . .
Rapa Lil Yachty amekiri kwamba mpaka sasa bado anajutia maamuzi yake kwa kuchagua upande kwenye vita kati ya Card B na Nick Minaj mwaka 2018 . . .
"Sisi kama Serikali tumeshachukua hatua kali kupitia TCRA na utakuwa pia shahidi kuwa wimbi la meseji limepungua kwa kiasi fulani, ilikuwa b . . .
Jeshi la Uganda, UPDF katika taarifa yake limesema litaimarisha ulinzi katika maeneo yake ya oparesheni hadi pale ambapo hali ya kawaida ita . . .
Mamlaka nchini Marekani zimesema zimefanikiwa kukipata kisanduku cheusi cha ndege ya abiria iliyogongana na helikopta ya kijeshi ya Black Ha . . .
Siku chache tangu aliyekuwa Mmiliki wa Shule za Alliance, James Bwire kufariki dunia, mama yake mzazi, Nchagwa Manga naye amefariki dunia le . . .
Sheikh maarufu nchini, Sheikh Muhammad Idd Muhammad, amefariki dunia leo tarehe 30, Januari, 2025Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Mufti na . . .
Hii ni mara ya kwanza kwa rais wa Kongo kuzungumza tangu mashambulizi ya waasi katika siku za hivi karibuni mashariki mwa nchi hiyo, huko Go . . .
Jumuia ya Afrika Mashariki Jumatano imeitaka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuzungumza na “wadau wote”, wakiwemo wapiganaji wanaoungwa . . .
Wanawake wawili waliovunja rekodi za dunia kwa urefu na ufupi wao hivi karibuni walikutana kwa mara ya kwanza jijini London, Uingereza, na k . . .
NAIBU Rais Profesa Kithure Kindiki amemwambia mtangulizi wake Rigathi Gachagua kuwa kauli yake kwamba Rais William Ruto atakuwa rais wa muhu . . .
Shirika la ndege la Ubelgiji limetangaza kusitisha safari zake za leo Jumatano kwenda na kutoka jijini Kinshasa kutokana na machafuko yalios . . .
Wakulima wa mazao ya biashara mkoani Simiyu, wameazimia kutumia mfumo wa stakabadhi ghalani kuuza mazao yao, ili kukabiliana na ulaghai unao . . .
Maelfu ya watu katika nchi za Niger, Mali na Burkina Faso zinazoongozwa na serikali za kijeshi Jumanne waliandamana kuunga mkono uamuzi wa n . . .
Kundi la waasi wa M23 Jumanne lilichukua udhibiti wa uwanja wa ndege wa mji wa Goma, chanzo cha usalama kimesema, kufuatia mapigano ya siku . . .
Inaelezwa kuwa timu nne Barani Afrika Orlando Pirates, MC Alger, Wydad Casablanca na Al Ahly Benghazi zinawinda saini ya kiungo wa Yanga SC, . . .
Kutokana na machafuko yanayoendelea nchini Congo na jitihada za waasi wa kundi la M23 kupambana kuuchukua mji wa Goma, madereva wa magari ma . . .