Watu wawili wamepoteza maisha katika matukio mawili tofauti Mkoani Morogoro ambapo mmoja kwa kujinyonga huku mwingine akifariki wakati akiwa . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Kitaifa ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Machi 01, 2025 ame . . .
Msanii wa Ghana, **Jamin Beats**, ameachia wimbo wake mpya *Nothing Too Hard*, ambao unapatikana kwenye majukwaa mbalimbali ya muziki kama [ . . .
Mvutano kati ya MarthaMwaipaja na mdogo wake BeatriceMwaipaja umechukua sura mpya baada ya sauti zao wakishambuliana kwa . . .
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda Alhamisi Februari 27, 2025 ameipa mwezi mmoja Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU . . .
SPIKA wa Kaunti ya Turkana, Christopher Nakuleu, amejiuzulu kutoka afisini na kuapa kuendelea kumwangazia Gavana Jeremiah Lomorukai na bunge . . .
Vatican inasema kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis anaendelea vyema hospitalini kwa siku ya pili mfulilizo.Baada ya kulazwa ka . . .
MFALME Mohamed VI wa Morocco jana aliwataka raia wa taifa hilo wajizuie kuwachinja kondoo wakati wa sikukuu ya kuchinja maarufu kama Idd-ul- . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Dkt. Wilbroad Slaa, baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuen . . .
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili nchini Namibia, akiongoza ujumbe wa CCM kwenye mazishi ya . . .
Hamas wamekabidhi miili ya mateka wanne wa Israeli mapema siku ya Alhamisi, baada ya wafungwa wa Kipalestina ambao wamekuwa wakizuiwa magere . . .
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amejibu kilichotokea jana February 24,2025 kwenye baraza maalumu la jiji la Arusha la kupitisha bajeti b . . .
Rais Kiirr amfuta kazi mkuu wa usalama Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemfuta kazi mkuu wake mpya wa usalama na kumpandisha cheo mshirika . . .
Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amesema kwamba anaweza kumfanya kiongozi wa ODM, Raila Odinga kuwa rais wa Kenya iwapo atak . . .
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome, amemuomba Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika, kujibu barua yake ya malalamiko ya . . .
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemhukumu Khamis Luwoga (45) adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mkewe . . .
Mwenyekiti wa Umoja wa Wenyeviti Tanzania (ALAT), Murushid Ngeze amewaasa Wananchi kuacha tabia ya kuwakimbia watu waliopata matatizo kwani . . .
Kiongozi wa upinzani katika utawala wa Israel amemshutumu waziri mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha . . .
Mwendesha mashtaka Mkuu katika Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu ICC, Karim Khan ametoa wito kwa makundi yote yenye silaha mashariki ya D . . .
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ambaye amefanikiwa kuwa kwenye muziki na kiwanda cha Sanaa kwa miaka kadhaa Nasboi ambaye amefanikiwa kufa . . .
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila amesema kuwa, uongozi mbaya wa mrithi wake, Rais Felix Tshisekedi ume . . .
Hali bado ni ya wasiwasi nchini Haiti kutokana na ghasia za magenge. Afisa wa polisi wa Kenya aliyetumwa Haiti, aliyejeruhiwa wakati wa oper . . .
Marekani na Ukraine Jumapili zimesema zinakaribia kufikia makubaliano kwa Kyiv Kuipa Washington Sehemu kubwa ya madini yake nadra kama malip . . .
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Jumamosi Februari 22, 2025 amesema Serikali itaendelea kuwashika mkono wasanii . . .
Mamia ya askari wa Jeshi la Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanadaiwa kujiunga na waasi wa M23 katika Mji wa Bukavu baada ya . . .
Wanawake wawili wanauguza majeraha kutokana kisa cha kupigwa na mchungaji katika Kanisa la Betheli katika eneo la Kapkwen, Kaunti ya Bomet.& . . .
Kulingana na msemaji wa jeshi la Israeli, Ariel na Kfir Bibas walikufa wakiwa kizuizini huko Gaza, " ambao waliuawa na magaidi wa Kipalestin . . .
Mama wa watoto watatu wa Elon Musk, mwimbaji Grimes amelalamika kwenye mtandao wa X kuwa Elon hapokei simu zake na mtoto wao anaumwa sana na . . .
Shirika la Ndege la Delta la Nchini Marekani, limesema litawapatia Abiria walionusurika kwenye ajali ya moja ya Ndege zake Nchini Canada kia . . .
POLO aliyepokezwa hela za mazishi na mwanasiasa hapa Chepalungu, Kaunti ya Bomet, alihepa nazo akisema zilikuwa zake.Duru zinaarifu kuwa pol . . .
Msiba umekumba kijiji cha Kanyamelo huko Bondo baada ya wanafamilia wawili kufariki na wengine watatu kulazwa hospitalini kufuatia kisa kina . . .
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro pamoj . . .
Didier Mazenga, mjumbe maalum wa Rais wa Kongo Félix Tshisekedi, amezuru Chad siku ya Jumanne, Februari 18. Amefanya ziara hii akirejea kut . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dr es Salaam, imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa . . .
Jaji wa Mahama nchini Marekani ameruhusu idara inayoongozwa na Elon Musk, inayojulikana kama Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), kuendelea . . .
Jopo la majaji jijini Los Angeles, Jumanne, Februari 18, limemuachia huru rapa maarufu kwa jina la A$AP Rocky baada ya kumkuta hana hatia ka . . .
Marekani imeongeza maradufu idadi ya wafungwa wanaodhaniwa kuwa tishio kubwa pamoja na wale wanaosubiri kurejeshwa makao kwenye kituo cha je . . .
Israeli inadai "kuondolewa kabisa kwa wanajeshi katika Ukanda wa Gaza" baada ya vita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar amesema s . . .
Utalawa wa Trump umeanza kufuta kazi mamia ya wafanyakazi wa idara ya safari za anga na kusababisha hali ya sintofahamu kuelekea kwa wikiend . . .
Mahakama ya Wilaya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kwenda jela miaka mitatu Mkazi wa Kijiji cha Soswa wilayani humo, Amos John Malaki (30 . . .