Watu 2 wa Familia Moja Wafariki 3 Walazwa Mahututi kwa Kushukiwa Kula Sumu

Msiba umekumba kijiji cha Kanyamelo huko Bondo baada ya wanafamilia wawili kufariki na wengine watatu kulazwa hospitalini kufuatia kisa kinachoshukiwa kuwa na sumu kwenye chakula. 

Chifu wa eneo hilo Susan Akoth Muga alitahadharisha mamlaka, akiripoti kuwa baadhi ya wanafamilia walifariki katika hali isiyoeleweka. Maafisa kutoka kituo cha Polisi cha Akala walijibu eneo la tukio, na kuthibitisha tukio la kuwekewa sumu kwenye chakula. 


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii