Takribani watu 20 wamefariki, 10 wameokolewa baada ya basi kupinduka kwenye mto Mwingi.Katika video iliyoonekana na gazeti la Star siku ya J . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL) na kua . . .
Ajali ya magari 4 iliyohusisha malori 3 na basi la abiria kampuni ya classic lenye namba za usajili 68842 Ak 05 imetokea Wilaya ya Mbozi Mko . . .
Mkurugenzi Wa Jembe Media Limited Dr Sebastian Ndege Ahamasisha Juu Ya Upimaji Wa Afya Kwa Vitendo Na Kuonyesha Mfano.Ikiwa Ni wiki ya duni . . .
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameomba Shirikisho la Soka la Afrika kwa Watu Wenye Ulemavu (FAAF) kuifikiria Tanz . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaomba wakazi wa Mbagala kuwa watulivu wakati akitatua changa . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam, hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es . . .
Msanii WizKid atunukiwa tuzo (plaque) ya Nyota wa Mchezo hii ni baada ya kuujaza ukumbi wa 02 Arena kwa siku tatu, ambapo ni Novemba 28, 29 . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla amesema ukarabati wa Soko la Kariakoo lililoungua na Ujenzi wa Soko jipya la Ghorofa 6 utaanza b . . .
Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) imetangaza kuwepo kwa mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha katika ukanda wa Pwani kuanzia tarehe tat . . .
Watoto wawili wa familia moja wamefariki dunia mkoani Geita, baada ya mama yao mzazi kuwanywesha sumu na kisha yeye kunywa kwa madai y . . .
Serikali imesema Maambukizi mapya kwa Vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezeka huku Wasichana wakiwa vinara katika janga hiloWazi . . .
Hoja ya kumkamata Mrosso imeibuliwa na Wakili Msomi Fridolin Bwemelo ambapo amesema inafikirisha kuona aliyetoa rushwa yupo huru uraiani huk . . .
Kila ifikapo Desemba mosi kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani, Waziri wa Madini Doto Biteko ameitumia fursa hiyo kuwataka wa . . .
Waziri wa Afya, Dkt Dorothy Gwajima amesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi mbalimbali Duniani zilizojiandaa kukabiliana na tishio la wim . . .
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Soka kwa Wenye Ulemavu (Tembo Warriors), imeipa hadhi nchi kwa kuwa Taifa la kwanza Afrika, kufuzu kwenda Robo . . .
Rais wa Jamuhuli ya muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua mipaka ya kibiashara kati ya Tanzania na Uganda. Huku akiwataka ma . . .
LIONEL MESSI ANASHINDA TUZO YA BALLON D’OR MARA YA 7.Miaka aliyoshinda Leo Messi Ballon d’Or!2009: Lionel Messi 2010: Lionel Messi 2011: . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kwa pamoja wakikata utepe kuz . . .
Rais Afrika wa Afrika kusini. Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa Nchi za Ulaya na Marekani kuondoa vikwazo vya safari kwa Mataifa ya Kusini mwa . . .
Msanii Harmonize amekiwasha katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara katika Tamasha la Ibraah Home Coming . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Uganda ul . . .
TIMU ya Simba ya Tanzania imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katikap Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.&n . . .
. . .
Manchester United wamethibitisha kusitisha mkataba wa kocha Ole Gunnar Solskjaer baada ya matokeo mabovu ya hivi karibuni.Taarifa ya United . . .
Kiungo wa PSG Idris Gana Gueye ametoa msaada wa vifaa vya hospitali, dawa pamoja na kiasi cha pesa kwa wizara ya Afya ya taifa lake la Seneg . . .
Kocha mpya wa Simba Pablo Franco raia wa Hispania amesema licha ya ubora wa Ruvu Shooting kwa namna alivyowaona watapambana kupata alama tat . . .