UFUNGUZI SHULE YA MUSEVENI CHATO GEITA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi Shule ya Awali na Msingi Museveni iliyojengwa kwa msaada wa Rais  Yoweri Museveni Wilayani Chato Mkoani Geita leo tarehe 29 Novemba, 2021.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii