Manchester United wamethibitisha kusitisha mkataba wa kocha Ole Gunnar Solskjaer baada ya matokeo mabovu ya hivi karibuni.
Taarifa ya United inasema Michael Carrick atasimamia Man United katika mechi zinazokuja huku klabu ikitafuta kocha wa muda wa kumaliza msimu huu 2021/22.
Yapi maoni yako wewe shabiki wa Manchester United????