Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Uganda ulioongozwa na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambapo Rais Yoweri Kaguta Museveni atakuwepo Nchini kwa ziara ya siku tatu.