Wanafunzi tisa wa Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma zinazosemekana za kusambaza jumbe za kumchafua mgombea . . .
Ofisi ya mwanasheria mkuu wa Mexico imesema Jumanne kuwa inamchunguza Enrique Peña Nieto, ambaye alitawala nchi hiyo kati ya mwaka 2012 na . . .
Licha ya vitisho kutoka Beijing, Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, Nancy Pelosi, amewasili kwenye kisiwa cha Taiwan. China ilionya . . .
Serikali mpya ya Somalia iliyoapishwa imemteua aliyekuwa naibu kiongozi wa kundi la kigaidi la Al Shabaab, Mukhtar Robow kuwa Waziri wa Masu . . .
Jeshi la DRC Jumanne limesema limewaua waasi 11 wa kundi la wanamgambo la Allied Democratic Forces (ADF), ambalo kundi la kigaidi la Islamic . . .
China Jumanne imelalamikia balozi wa Marekani mjini Beijing Nicholas Burns, kutokana na ziara ya spika wa bunge la Marekani Nancy . . .
WAZAZI na walimu nchini Jumatatu walijipata kwenye njiapanda, baada ya Waziri wa Elimu George Magoha kutangaza kuwa wanafunzi wataenda kweny . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka washiriki wa kozi fupi ya 13 ya viongozi watambue, wafuate na waisimamie falsafa ya Serikali ya awamu . . .
Tume ya uchaguzi ya Pakistan imeamua leo kuwa chama cha Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan kilipokea fedha kwa njia haramu, hatua ambayo inawe . . .
Maafisa wanaokabiliana na moto mkubwa unaoendelea kuteketeza misitu Carlifonia, wanakumbana na hali ngumu kutokana na radi pamoj . . .
Idadi ya watu waliongamania katika mafuriko jijini Mbale nchini Uganda imeongezeka na kufika watu 22 huku wengine 10 wakiwa katika hali mahu . . .
Msiba wa watoto wawili wa wafanyabiashara marufuku jijini la Arusha, waliokuwa wachumba umeibua simanzi na kutawaliwa na usiri kuhusu chanzo . . .
India imethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa homa ya nyani hapo jana. Wizara ya Afya katika jimbo la kusini la Kerala imesema mgonjwa . . .
Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza kwamba kiongozi wa kundi la al-Qaida, Ayman al-Zawahiri, ameuawa na mashambulizi ya ndege yasiyo ruban . . .
Yanga bado haijawapa mikataba mipya makocha wao, lakini kama kuna kitu kitawashtua basi ni ujio wa ofa moja kubwa kwa kocha mkuu Nasreddine . . .
Mshukiwa wa ujambazi ambaye polisi wanasema amewakosesha usingizi wakimtafuta hatimaye amekamatwa. Mkuu wa polisi eneo la Makadar . . .
Waziri wa Elimu Profesa George Magoha ametoa agizo kwamba shule zifungwe kote nchini kwa wiki moja kuanzia kesho Jumanne ili kutoa fursa kwa . . .
Halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro , imepitisha rasimu ya sheria ndogo inayotaka wazazi watakaoshindwa kuwalipia vyakula wa . . .
Shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia watoto, UNICEF limesema kuwa maelfu ya watoto wameyakimbia makaazi yao mashariki mwa Jamhuri . . .
Wakati zikiwa zimesalia siku nane kabla ya Wakenya kufanya Uchaguzi Mkuu, Agosti 9, 2022, vita ya kurushiana maneno kati ya Rais Uhuru Kenya . . .
Mashauri ya ndoa na talaka 1,358 yamefunguliwa katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke (IJC) jijini Dar es Salaam katika kipindi . . .
Wananchi wa Senegal Jumapili wamepiga kura katika uchaguzi wa bunge ambao upinzani una matumaini utalazimisha ushirika na Rais Macky Sall ku . . .
Kushamiri kwa biashara ya urembo mtandaoni kumeleta bidhaa ambazo nyingine ni hatari kwa afya ya viungo vya uzazi kwa wanawake.Bidhaa . . .
wiki tangu kiungo mshambuliaji wa Simba, Pape Sakho atwae tuzo ya Bao Bora kwenye michuano ya Caf.Bao la Sakho liliingia kwenye kinyang’ . . .
Polisi mjini Kakamega wamemzuilia mwanamke wa makamo kwa madai ya kuishi na maiti kinyume na sheria. Shamim Kabere, mkazi wa Iyala, eneo bun . . .
Rais wa Ukraine amewaamuru wakaazi kuondoka mara moja katika eneo la mashariki la Donetsk. Wakati huo huo, Kyiv imesema jeshi la Ukraine . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amepata tena na mambukizi wa virusi vya corona, jana, zaidi ya siku tatu baada ya kusafishwa kuondoka kwenye . . .
Tambiko hilo litahusisha siku tatu za maombi na kufunga, kumchinja mbuzi mwenye rangi moja, kuliweka kanisa wakfu kwa Kristo kupitia maji . . .
Katika hatua isiyo ya kawaida, afisa mmoja wa ngazi ya juu kwenye serikali ya Ethiopia amesema Alhamisi kwamba wako tayari kw . . .
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Komredi Abdulrahman Kinana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi N . . .
Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kw . . .
Kambi ya Simba inaendelea kunoga, huku kocha Zoran Maki akisaliwa na wiki kama moja tu kukamilisha programu zake kabla ya kuja kuwasha m . . .
Bei za mahitaji ya kila siku nchini Ujerumani zinatarajiwa kupungua katika nusu ya pili ya mwaka baada ya mfumuko wa bei wa miezi kadhaa. . . .
Uchumi wa Marekani umenywea tena katika robo ya pili ya mwaka, ishara ambayo katika nchi nyingi duniani inazingatiwa kuwa mdororo wa uchum . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Mhasibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchini, Christina Kaale kulipa faini ya Sh8 milioni au . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania imekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufika mahakamani kesho katika kesi ya Halima Mdee na wenz . . .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi huku akiwa amefu . . .
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imewaalika wagombeaji urais kwa mkutano wa mashauriano huku kukiwa na wasiwasi kuhusu imani dhidi ya . . .
Waziri wa zamani nchini Msumbiji amefungwa jela miaka 16 kwa kuhusika na vitendo vya ufisadi. Maria Helena Taipo, mwenye umri . . .
Rais wa Marekani, Joe Biden na mwenzake wa China, Xi Jingping, wamekubaliana kuandaa mkutano wao wa kwanza wa ana kw . . .