1. KARIBU UTANGAZE BIASHARA AU SUALA LAKO NA SISI ... TUNAFIKIA WENGI NDANI NA NJE YA NCHI

  • MWANZA 93.7MH/z |
Jembe Burudani

Maitre Gims Wawekewa Kizuizini Ufaransa kwa Uchunguzi wa Utakatishaji Fedha

Msanii maarufu wa muziki wa mtindo wa rapa na mwenye asili ya Kongo, Maitre Gims, amewekwa kizuizini nchini Ufaransa ili kuhojiwa . . .

Gachi Amshutumu Yammi Kwa Kuvunja Mahusiano Yake

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Fatma Omary ‘Gachi’ hivi karibuni ameibuka hadharani na madai mazito yanayomhusisha rafiki yake wa . . .

Jembe Michezo

Axel Tuanzebe Aipeleka DR Congo Kombe la Dunia Baada ya Miaka 52

Bao pekee alilofunga Axel Tuanzebe katika mchezo wa mchujo dhidi ya timu ya Taifa ya Jamaica limetosha kuirudisha DR Congo katika . . .

Djigui Diarra afungiwa michezo mitatu na faini ya milioni 4

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa adhabu kwa mchezaji wa klabu ya Young African . . .

Jembe Habari

Rais Samia akutana na wagombea urais wa 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,  akiwa kwenye mazungumzo na wagombea wa nafasi ya urais na . . .

STANBIC YAENDELEZA MAPAMBANO YA ELIMU YA BIMA KWA KUIFIKISHA HUDUMA KARIBU NA WANANCHI MWANZA

Benki ya Stanbic imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuhamasisha uelewa mpana wa bima kwa jamii kupitia zoezi la utoaji elimu ya b . . .

Habari Zote
Kitaifa

Rais Samia akutana na wagombea urais wa 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,  akiwa kwenye mazungumzo na wagombea wa nafasi ya urais na wagombea . . .

Kimataifa

Donald Trump Atishia Kuiondoa Marekani NATO

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema anaangalia uwezekano wa kuiondoa nchi hiyo katika NATO, akidai muungano huo hauna ufanisi wa kutosha . . .

Kitaifa

Mafunzo ya Content Creators Yaanza Mwanza

Washiriki wa mafunzo ya watengeneza maudhui mtandaoni (content creators) wameanza kujisajili leo katika Gold Crest Hotel, ambapo wanatarajiw . . .

Kitaifa

Benki Kuu ya Tanzania Yasitisha Uuzaji wa Dhahabu

Benki Kuu ya Tanzania imesitisha kwa muda mpango wa kuuza sehemu ya akiba yake ya dhahabu kufuatia kushuka kwa bei katika soko la dunia.Akiz . . .

Kitaifa

STANBIC YAENDELEZA MAPAMBANO YA ELIMU YA BIMA KWA KUIFIKISHA HUDUMA KARIBU NA WANANCHI MWANZA

Benki ya Stanbic imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuhamasisha uelewa mpana wa bima kwa jamii kupitia zoezi la utoaji elimu ya bima lililo . . .

Kitaifa

Bei ya Mafuta Yapanda Tanzania Kufuatia Mzozo wa Mashariki ya Kati

SERIKALI ya Tanzania imetangaza kupanda kwa bei ya mafuta kuanzia Aprili 1, 2026, kufuatia athari za mzozo wa kivita katika eneo la Masharik . . .