Lishe ya kufunga kwa kipindi fulani imewavutia watu mashuhuri na wakurugenzi wakuu kwa kusaidia kupoteza uzito na faida za kiafya.Ingawa kuna ushahidi kwamba kufunga hurejesha na hata kurefusha maisha, hii inawez . . .
Pigo moja la radi linakadiriwa kuwa na Volt 125,000,000 za umeme. Kwa sasa hakuna njia kamili ya kujikinga na maafa ya radi isipokuwa kuna njia za kupunguza maafa kama ifuatavyo:a. Ukiwa ndani ya nyumba . . .
Katika jamii zetu zimejaa imani tofauti tofauti,Inapo tokea mtoto anakoroma wakati wa kulala utasikia "kamrithi baba au mama yake" pasipo kujua yaweza kuwa chanzo cha ugonjwa fulaniZifuatazo ni sababu za kukoroma kwa . . .
Katika kitabu chake mashuhuri cha Sapiens, mwanahistoria Yuval Noah Harari, anaeleza kuhusu kwanini binadamu amepiga hatua kubwa kimaendeleo kulinganisha na wanyama wengine. Sababu anazotoa ni mbili tu; uwezo wa . . .
TULIKUPENDA, Tunakupenda na yote uliyofanya kwa nchi yetu vitaishi mioyoni mwetu, ni kauli za watanzania wengi baada ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . . .
1. Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi2. Tembo ana uzito wa tani 73.Tembo jike hubeba mimba miezi 24 au miaka 24.Tembo mtoto huzaliw . . .