Mkurugenzi wa Uzalishaji na Biashara wa Kituo cha Redio cha EFM na TVE, Denis Busulwa almaarufu Ssebo, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Machi 11, 2026 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na EFM, Ssebo amefariki dunia baada ya kuugua ghafla.
Taarifa zimeongeza kuwa siku chache zilizopita alisafiri kwenda Afrika Kusini kwa matibabu ambapo alirejea nchini akiwa anaendelea viz
uri.