Mwanasiasa wa upinzani nchini DRC, Martin Fayulu, ameanza maandalizi ya kuwania urais mwaka ujao baaya kongamano la siku tatu ya chama chake cha ECIDE mjini Kisangani. . . .
SERIKALI ya Jubilee inaendelea kuongezea Wakenya mzigo wa madeni muda wake wa kwenda nyumbani unapokaribia kwa kukopa Sh300 bilioni zaidi kati ya Januari na Mei 2022. Hii imefikisha deni la kitai . . .
Wabunge wa chama cha tawala nchini Uingereza cha Conservative watapiga kura leo katika duru ya pili ya mchujo wa wagombea wanaowania kumrithi waziri mkuu Boris Johnson aliyetangaza kujiuzulu wiki . . .
Mgombea urais wa Azimio La Umoja, Raila Odinga, ameahidi kuchunguza chanzo cha utajiri wa Naibu Rais William Ruto iwapo atashinda uchaguzi wa Agosti 9. Raila alitilia shaka uhalali wa umiliki wa ardhi . . .
KINYANG’ANYIRO cha kiti cha urais kimekumbwa na hali ya suitofahamu baada ya kuwasilishwa kwa kesi ya kumtimua mwaniaji urais wa chama cha Roots Profesa George Wajackoyah kwa madai kwamba yeye n . . .
MGOMBEAJI mmoja wa kiti cha Mwakilishi wa Kike, na wawili wa udiwani wametangazwa washindi bila jasho baada ya kukosa wapinzani. Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumapili ilimtangaza Beatrice . . .
Mgombea wa urais nchini Kenya Raila Odinga, ametishia kutoshiriki uchaguzi mkuu wa mwezi ujao, endapo tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC haitatumia daftari la wapiga kura iliyoandikwa kwa kara . . .
MWANIAJI urais kwa tikiti ya muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga na mgombea mwenza wake Martha Karua, wanaongoza kwa umaarufu katika Kaunti ya Nairobi, utafiti mpya umeonyesha. Ri . . .
TUME ya Maadili ya Kupambana na Ufisadi Nchini (EACC) imeahidi kuwa itatwaa pesa na mali kutoka kwa wale ambao walitumia vyeti ghushi kuwania na kushinda vyeo vya uongozi katika uchaguzi mkuu. Af . . .
Mgombea urais nchini Kenya kupitia kwa chama cha United Democratic Alliance -UDA, William Ruto amezindua manifesto yake kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti 9 2022. Menifesto hiyo inazingat . . .
Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ameishauri Serikali kuutazama upya utaratibu wa kupatikana kwa watendaji wakuu wa taasisi hiyo ili kutoa fursa kwa Watazan . . .
MASAIBU yanayomkumba Gavana Granton Samboja yameibuka upya, baada ya mpigakura kujaribu tena kumzuia kutetea kiti hicho katika uchaguzi unaopangiwa kufanyika Agosti. Bw Jeremiah Kiwoi, ameenda ko . . .
Waliokuwa wanachama 19 wa Chadema, akiwamo Halima Mdee wanaingia katika mchuano na chama hicho wakati wa usikilizwaji wa pingamizi dhidi ya maombi ya amri ya kudumisha hali ilivyo (kulinda ubunge . . .
Bunge la Israel kwa kauli moja limeidhinisha muswada wa kulivunja bunge, hatua muhimu ya kisheria ambayo inaisukuma nchi hiyo kuelekea uchaguzi wake wa tano katika muda wa chini ya miaka minne. Ta . . .
SERIKALI Kuu sasa imepata idhini ya kuchukua mkopo wa hadi Sh10 trilioni kutoka Sh9 trilioni baada ya maseneta kupitisha pendekezo la Wizara ya Fedha kuhusu suala hilo. Jumla ya maseneta 27 walip . . .
Vyama vikuu vya kisiasa nchini Ufaransa vilikuwa vikicheza dau kubwa kwa uchaguzi huu wa wabunge mwaka wa 2022, lakini matokeo ya hayakukidhi matarajio yote, baada ya kutanga . . .
Seneta wa Nairobi Johson Sakaja ameendeleza makombora yake dhidi ya ‘deep state’ kwa kile anachodai ni njama ya kumfungia nje ya uchaguzi mkuu wa Agosti.Akizungumza katika kanisa la Jesus Winner M . . .
Zaidi ya wajumbe 2,000 wa chama tawala cha Nigeria cha All Progressive Congress wamekusanyika katika mji mkuu Abuja kwa lengo la kumchagua mgombea atakayewania kuiongoza nchi hiyo yenye watu wengi . . .
Sasa ni rasmi kuwa Seneta wa Nairobi Johnson Sakaja atapeperusha bendera ya chama cha Uniited Democratic Alliance (UDA) katika kinyang'anyiro cha ugavana wa kaunti ya Nairobi katika uchaguzi wa Agosti . . .
Mwaniaji huru wa urais Muthiora Kariara aliamua kuchoma kadi yake ya kura kwenye ukumbi wa Bomas of Kenya, muda mchache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kukosa kumuidhinisha.Kariara ali . . .
Mwanamuziki Kevin Bahati anaonekana kuwa vitani kwa wiki kadhaa sasa na mkewe Diana B kuhusu chaguo lake la mavazi hususan baada ya kuzindua taaluma yake ya kisiasa. Msanii huyo ambaye anale . . .
Rais wa Tunisia, Kais Saied kwa kudumaza taasisi za kidemokrasia za nchi hiyo baada ya kuwafukuza kazi majaji kadhaa huku kukiwa na safu ya hatua ambazo zilionekana kulenga kuunganisha utawala w . . .
Musyoka pia amekubali uteuzi wa Waziri mwenye wadhifa wa juu, iwapo Odinga atashinda uchaguzi na kuunda serikali.Aidha,amempongeza Martha Karua kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Odinga na kuahidi k . . .
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) inaitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwazuia wagombea 241 kushiriki katika uchaguzi wa Agosti 9.Mnamo Jumatano, Juni 1, tume hiyo ilitoa orod . . .
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu amesema Serikali imemlipa kiinua mgongo chake aliochukuwa anadai baada ya kutumikia nafasi ya ubunge kwa zaidi ya miaka mitatu.Lissu alivuliwa ubun . . .