MBOWE NA MWANAE WAKAMATWA MAGOMENI

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amekamatwa na Jeshi la Polisi Magomeni Mapipa Jijini Dar es salaam leo September 23,2024 baada ya kuonekana akiongea na Waandishi wa Habari ambapo sekunde chache baadae Mtoto wake wa kike aitwaye Nicole Mbowe aliyekuwa ameongozana naye pia amechukuliwa pia na Polisi wakati akitaka kuondoka na Bodaboda.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii