Mwanamke mmoja kutoka Connecticut, Kimberly Sullivan (56), amekamatwa baada ya kijana anayesemekana kuwa mtoto wake wa kambo kudai kuwa alimfungia ndani ya nyumba kwa zaidi ya miaka 20 na kumtesa. Kij . . .
Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12 Emmanuel John (31), maarufu kama Chief wa Kilulu, kwa kosa la kukutwa na nyara za serikali ai . . .
Uchunguzi kuhusu kifo cha Gilbert Kinyua, mgonjwa anayedaiwa kuuawa akiwa amelazwa katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta, umekwama baada ya mshukiwa kuruhusiwa. Hali hiyo ni kikwazo kwa familia ya K . . .
Umoja wa Mataifa umesema Wapiganaji wa M23 wamewateka karibu Watu 130 kutoka Hospitali za Mji wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Goma unaodhibitiwa na Waasi.Umoja wa Mataifa umesema wik . . .
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Omary Seleman Mwanamtwa (61), mkazi wa Morogoro ambaye ni dereva wa teksi, anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya mteja wake, Ulumbi St . . .
Familia mashariki mwa DRC, Jumanne ya wiki hii zilizika wahanga wa shambulio lililoua takriban watu 13 huko Bukavu, huku jamaa waliokuwa na huzuni wakiisihi serikali kuhakikisha amani na usalama.Majen . . .
Takriban Watu sita wamefariki dunia na wengine 49 kujeruhiwa kufuatia kutokea kwa ajali iliyohusisha Lori na Basi la abiria katika eneo la Chigongwe llililopo jijini Dodoma.Ajalinhiyo, imetokea Machi . . .
Hamas wamekabidhi miili ya mateka wanne wa Israeli mapema siku ya Alhamisi, baada ya wafungwa wa Kipalestina ambao wamekuwa wakizuiwa magereza ya Israeli kuachiwa na kupelekwa kwenye ukanda wa Gaza.Of . . .
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemhukumu Khamis Luwoga (45) adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mkewe, Naomi Marijani, kisha kuchoma mwili wake kwa kutumia magun . . .
Hali bado ni ya wasiwasi nchini Haiti kutokana na ghasia za magenge. Afisa wa polisi wa Kenya aliyetumwa Haiti, aliyejeruhiwa wakati wa operesheni, alifariki kwa majeraha siku ya Jumapili, Februari 23 . . .
Wanawake wawili wanauguza majeraha kutokana kisa cha kupigwa na mchungaji katika Kanisa la Betheli katika eneo la Kapkwen, Kaunti ya Bomet. Waathiriwa, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30), wa . . .
POLO aliyepokezwa hela za mazishi na mwanasiasa hapa Chepalungu, Kaunti ya Bomet, alihepa nazo akisema zilikuwa zake.Duru zinaarifu kuwa polo ni mfuasi sugu wa kigogo huyo wa siasa.Juzi familia yake i . . .
Msiba umekumba kijiji cha Kanyamelo huko Bondo baada ya wanafamilia wawili kufariki na wengine watatu kulazwa hospitalini kufuatia kisa kinachoshukiwa kuwa na sumu kwenye chakula. Chifu wa eneo h . . .
Mahakama ya Wilaya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kwenda jela miaka mitatu Mkazi wa Kijiji cha Soswa wilayani humo, Amos John Malaki (30) baada ya kukutwa na hatia ya kuwajeruhi watu wawili kwa ku . . .
Wanamgambo wa Sudan wamewaua zaidi ya watu 200 wakiwemo wanawake na watoto, katika shambulio la siku tatu kwenye vijiji vya kusini mwa nchi hiyo, kundi la wanasheria linalofuatilia vita nchini humo li . . .
Waasi wa M23 sasa wako katika maeneo mawili y mko wa Kivu Kusini, ambayo ni maeneo ya Kalehe na Kabare, ambapo sasa wanakalia eneo la Kabamba na jiji la Katana. Maeneo muhimu yaliyo umbali wa kilomita . . .
Afisa wa kliniki katika hospitali ya Pandya amesimamishwa kazi kufuatia madai ya kusikitisha ya unyanyasaji wa kingono yanayohusisha mgonjwa wa figo. Mshukiwa huyo aliyetambulika kwa jina la Dias . . .
"Sisi kama Serikali tumeshachukua hatua kali kupitia TCRA na utakuwa pia shahidi kuwa wimbi la meseji limepungua kwa kiasi fulani, ilikuwa balaa zaidi ya ambavyo ipo sasa TCRA inaendelea na namna mbal . . .
Wanawake wawili waliovunja rekodi za dunia kwa urefu na ufupi wao hivi karibuni walikutana kwa mara ya kwanza jijini London, Uingereza, na kutumia nafasi hiyo kuwahamasisha watu kote ulimwenguni kushe . . .
Kutokana na machafuko yanayoendelea nchini Congo na jitihada za waasi wa kundi la M23 kupambana kuuchukua mji wa Goma, madereva wa magari makubwa ya mizigo(Malori) ambao ni watanzania wamekwama katika . . .
Mmiliki wa timu za Alliance FC na Alliance Girls za Mwanza, James Bwire amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumapili (Januari 26, 2025) wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bu . . .
Habari zilizotufikia hii leo Januari 24, 2025 zimeeleza kuwa presha waliyokuwa nayo familia ya wanandoa Sosthenesi Melkizedeki Mrema na Joana Melkizedeki, wakazi wa eneo la Galagaza wilayani Kibaha ka . . .
Mamlaka za California Jumatano zimetoa amri ya watu kuondoka kwenye maeneo ya ndani baada ya moto mpya kuzuka ukiwa na upepo mkali kwenye milima iliyopo kasakzini mwa Los Angeles.Moto huo wa Hug . . .
Mkazi wa kijiji cha Chonga, wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Lillian Ismail, mwenye umri wa miaka 21, amejifungua mtoto wa kiume akiwa na vichwa viwili. Tukio hilo limeacha jamii ya kijiji hicho katika ms . . .