logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Macron, Scholz waepuka kutaja mauaji ya Ukraine kuwa "halaiki"

Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani wamekataa kurejelea kauli aliyoitoa rais wa Marekani Joe Biden kwamba Urusi inatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Ukraine na kuonya kwamba kauli kama hizo haziwe . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Nchi mbili za Kiislamu ambazo ni Marufuku Kuoa wake Wengi.

Katika dini ya Kiislam, wanaume wanaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja kutokana na maandiko katika kitabu kitukufu cha Uislamu, Kurani.Wanaume Waislamu wanaruhusiwa kuoa hadi wake wanne, japo kwa masha . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Maunda Zorro Afariki Dunia kwa Ajali ya Gari Usiku wa Kuamkia Leo Dar

MSANII wa Bongofleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari, usiku wa kuamkia leo, April 14, 2022 baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga Kigamb . . .

Jamii
  • Na JZ The Brand
  • April 13, 2022

Bibi wa miaka 82, mwanawe wagombea mali

Hilda Maeda (82), mkazi wa Mabogini Wilaya ya Moshi, amemuomba Rais Samia Suluhu na mashirika ya kutetea haki za binadamu kuingilia kati, ili kumzuia mwanawe wa kumzaa asimdhulumu mali anazodai ku . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • April 13, 2022

Kamanda Muliro amtaka Makonda kuripoti polisi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amemshauri Paul Makonda kwenda kituo cha polisi kuripoti tuhuma alizozitoa mtandaoni, ikiwamo ya kudai kutishiwa maisha.“Sijaonge . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 13, 2022

Mtuhumiwa wa Shambulio la Raia kwenye Kituo cha Treni Jijini New York, Afahamika

HIVI karibuni limetokea shambulio katika stesheni moja ya treni jijini NewYork nchini marekani ambapo idadi ya watu Zaidi ya 17 wamejeruhiwa na wengine wawili wakiwa mahututi.Chanzo cha shambulio . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 13, 2022

Takribani watu 60 wafa kwa mafuriko Afrika Kusini

DurbanWatu takribani 60 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa katika mji wa Durban na maeneo ya jirani ya mkoa wa Kwazulu Natal nchini Afrik . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 13, 2022

Vita ya Urusi ni mauaji ya halaiki yanayojaribu kuiteketeza Ukraine

WashingtonRais wa Marekani Joe Biden amevitaja vita vya Urusi nchini Ukraine kuwa mauaji ya halaiki, yanayolenga kuiangamiza Ukraine. Akizungumza katika hafla moja huko Iowa, alipokuwa akielezea k . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

MAPACHA WATATU WACHUMBIWA NA MWANAUME MMOJA

Dada watatu pacha wanaofanana kama shilingi kwa ya pili wamefichua kuwa sasa wanachumbiana na mwanaume mmoja baada ya kumpenda katika nyakati tofauti.Wakizungumza katika mahojiano na Jalas, pacha hao, . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

AMUUA MTOTO WA MDOGO WAKE.

Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo linamshikilia Latifa Bakari (33) mkazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za mauaji ya . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

Waasi wa ADF washukiwa kuua zaidi ya watu 30 katika mkoa wa Ituri.

Zaidi ya watu 30 waliuawa katika mashambulizi yaliyotekelezwa Jumapili na Jumatatu na washambuliaji wanaoshukiwa kuwa wanajihadi katika mkoa wa kaskazini mashariki mwa DRC wa Ituri, shirika la m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

Serikali Yakataa Ombi la Ukraine la Kuhutubia Bunge la Kenya: "Msitukosanishe"

Kenya imekataa ombi la Ukraine la kuhutubia bunge la Kenya, serikali ikihofia kuingizwa katika mzozo wa Ukraine na Urusi na kusambaratisha uswahiba wa Nairobi na Moscow.Serikali Yakataa Ombi la Ukrain . . .

AJALI
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Ajali yaua sita Korogwe

Korogwe. Watu sita wamefariki dunia na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Coaster kupinduka katika eneo la kwa Mdulu Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • April 12, 2022

Wapenzi wa muziki wa injili Afrika wamuomboleza Osinachi

Kumekuwa na hisia kali baada ya taarifa za kifo cha mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria Osinachi Nwachukwu.Ripoti za awali zilisema kuwa mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 42 alikuwa anaugu . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 11, 2022

Wanawake wawili wa Kipalestina wauawa na wanajeshi wa Israel.

Wanajeshi wa Israel Jumapili wameua wanawake wawili wa Kipalestina baada ya mmoja kuwakimbilia wanajeshi na mwingine kumchoma kisu mwanajeshi katika matukio tofauti katika Ukingo wa magharibi un . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Ukraine yadai kugundua miili zaidi ya watu 1,200 karibu na Kyiv

Ukraine imedai kuwa imegundua miili zaidi ya watu 1,200 karibu na mkoa wa Kyiv, katika mauaji yanayodaiwa kufanywa na Urusi. Mwishoni mwa Juma, milio ya mabomu ilisikika nchini Ukraine wakati waka . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Takriban watu 26 wakiwemo watoto wauawa na watu wenye silaha Nigeria

Watu wenye silaha wameshambulia vijiji vya jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria na kuua takriban watu 26.Washambuliaji hao waliokuwa kwenye pikipiki walivamia takriban vijiji vinne vya mbali siku . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

Watu 35 wauwawa mashariki mwaka Ukraine

Watu wasiopungua 35 wamekufa leo na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa baada ya roketi kukipiga kituo cha treni katika mji wa Kramatorsk kinachotumika kuwaondoa raia wanaokimbia vita mashariki mwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 8, 2022

Korea Kusini na Marekani wanajiandaa Ya jaribio la kombora

Korea kusini na Marekani wanajiandaa kwa uwezekano wa jaribio la nyuklia la Korea kaskazini huku mivutano ikiwa juu baada ya onyo la wiki hii kutoka Pyongyang, kwamba iko tayari kutumia silaha z . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Mabinti wa Putin wawekewa vikwazo Marekani

Nchi ya Marekani imeweka vikwazo dhidi ya mabinti wawili wa Rais wa Urusi Vladimir Putin kutokana na ukatili wa Urusi nchini Ukraine kwa kuamini kuwa mali za Putin zimefichwa na wanafamilia. . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Spika wa Bunge la Tanzania Ahudhuria Mazishi ya Spika wa Bunge la Uganda

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  ameshiriki ibada ya kitaifa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Mhe. Jacob Oulanyah katika Viwa . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Mahakama ya Uturuki yarejesha kesi ya Khashoggi kwa Saudi Arabia

Mahakama ya Uturuki imeamua Alhamisi, Aprili 7, kurejesha nchini Saudi Arabia faili ya mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari wa Saudi Arabaia aliyeuawa mwezi Oktoba 2018 katika majengo ya . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Maandamano mapya yameibuka Sudan yanapinga mapinduzi ya kijeshi

Maelfu ya raia wa Sudan waliandamana katika mji mkuu wa Khartoum na miji mingine siku ya Jumatano katika maandamano mapya ya kupinga mapinduzi ya kijeshi ya Oktoba ambayo yaliitumbukiza nchi hiy . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 7, 2022

Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la haki za binaadamu

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa linapiga kura hii leo ya uwezekano wa kuisimamisha Urusi kwenye baraza lake la haki za binaadamu. Hatua hiyo ilianzishwa na Marekani kufuatia kugundulika kwa mamia y . . .

Kurasa 47 ya 53

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 14 masaa yaliopita

GGML YATOA TAULO ZA KIKE ZAIDI YA ELFU 80 GEITA

Habari
news
  • 17 masaa yaliopita

NEC " Hakuna sheria inayoruhusu kura kupigwa mapema "

Habari
news
  • 17 masaa yaliopita

Akutwa amefariki kwenye dimbwi la maji

Habari
news
  • 17 masaa yaliopita

Polisi Mtwara wamkamata Ebitoke katika fukwe za bahari

Top Stories
news
  • 18 masaa yaliopita

RC KIHONGOSI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA, WAKUBALIANA KUIMARISHA UTALII NA SEKTA YA AFYA

Habari
news
  • 18 masaa yaliopita

Waititu apawe agizo la kuleta dhamana ya Sh53 milioni ili atoke jela

Top Stories
news
  • 18 masaa yaliopita

Nyongeza ya mishahara ya walimu yageuka kuwa masikitiko

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • GGML YATOA TAULO ZA KIKE ZAIDI YA ELFU 80 GEITA

    • 14 masaa yaliopita
  • NEC " Hakuna sheria inayoruhusu kura kupigwa mapema "

    • 17 masaa yaliopita
  • Akutwa amefariki kwenye dimbwi la maji

    • 17 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode