Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapelek . . .
April 14 imetimia miaka 8 tangu kundi la kigaidi la Boko Haram lilipofanya shambulizi mwaka 2014 kwenye shule ya sekondari ya wasichana huko Chibok katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa . . .
Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (Usemi) imesema ufuatiliaji umeonyesha kuwa zipo dalili za baadhi ya halmashauri kutotekeleza miradi ya maendeleo kwa kutumia bajeti badala yake kut . . .
Kalenda ya Saudi Arabia ya mwaka 2030 inaonesha kwamba Waislamu katika mwaka huo watafunga mara mbili kwa mwakakwa mujibu wa mtaalamu wa Nyota Khalid al-Zaqaq, tofauti ya siku za hesabu hizo ina . . .
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko kwenye maeneo ya mji wa Durban nchini Afrika Kusini imepanda na kufikia 259. Mamlaka nchini humo zinasema watu wengi zaidi bado wanahofiwa kupotea. . . .
Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani wamekataa kurejelea kauli aliyoitoa rais wa Marekani Joe Biden kwamba Urusi inatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Ukraine na kuonya kwamba kauli kama hizo haziwe . . .
Katika dini ya Kiislam, wanaume wanaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja kutokana na maandiko katika kitabu kitukufu cha Uislamu, Kurani.Wanaume Waislamu wanaruhusiwa kuoa hadi wake wanne, japo kwa masha . . .
MSANII wa Bongofleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari, usiku wa kuamkia leo, April 14, 2022 baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga Kigamb . . .
Hilda Maeda (82), mkazi wa Mabogini Wilaya ya Moshi, amemuomba Rais Samia Suluhu na mashirika ya kutetea haki za binadamu kuingilia kati, ili kumzuia mwanawe wa kumzaa asimdhulumu mali anazodai ku . . .
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amemshauri Paul Makonda kwenda kituo cha polisi kuripoti tuhuma alizozitoa mtandaoni, ikiwamo ya kudai kutishiwa maisha.“Sijaonge . . .
HIVI karibuni limetokea shambulio katika stesheni moja ya treni jijini NewYork nchini marekani ambapo idadi ya watu Zaidi ya 17 wamejeruhiwa na wengine wawili wakiwa mahututi.Chanzo cha shambulio . . .
DurbanWatu takribani 60 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa katika mji wa Durban na maeneo ya jirani ya mkoa wa Kwazulu Natal nchini Afrik . . .
WashingtonRais wa Marekani Joe Biden amevitaja vita vya Urusi nchini Ukraine kuwa mauaji ya halaiki, yanayolenga kuiangamiza Ukraine. Akizungumza katika hafla moja huko Iowa, alipokuwa akielezea k . . .
Dada watatu pacha wanaofanana kama shilingi kwa ya pili wamefichua kuwa sasa wanachumbiana na mwanaume mmoja baada ya kumpenda katika nyakati tofauti.Wakizungumza katika mahojiano na Jalas, pacha hao, . . .
Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo linamshikilia Latifa Bakari (33) mkazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za mauaji ya . . .
Zaidi ya watu 30 waliuawa katika mashambulizi yaliyotekelezwa Jumapili na Jumatatu na washambuliaji wanaoshukiwa kuwa wanajihadi katika mkoa wa kaskazini mashariki mwa DRC wa Ituri, shirika la m . . .
Kenya imekataa ombi la Ukraine la kuhutubia bunge la Kenya, serikali ikihofia kuingizwa katika mzozo wa Ukraine na Urusi na kusambaratisha uswahiba wa Nairobi na Moscow.Serikali Yakataa Ombi la Ukrain . . .
Korogwe. Watu sita wamefariki dunia na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Coaster kupinduka katika eneo la kwa Mdulu Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, . . .
Kumekuwa na hisia kali baada ya taarifa za kifo cha mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria Osinachi Nwachukwu.Ripoti za awali zilisema kuwa mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 42 alikuwa anaugu . . .
Wanajeshi wa Israel Jumapili wameua wanawake wawili wa Kipalestina baada ya mmoja kuwakimbilia wanajeshi na mwingine kumchoma kisu mwanajeshi katika matukio tofauti katika Ukingo wa magharibi un . . .
Ukraine imedai kuwa imegundua miili zaidi ya watu 1,200 karibu na mkoa wa Kyiv, katika mauaji yanayodaiwa kufanywa na Urusi. Mwishoni mwa Juma, milio ya mabomu ilisikika nchini Ukraine wakati waka . . .
Watu wenye silaha wameshambulia vijiji vya jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria na kuua takriban watu 26.Washambuliaji hao waliokuwa kwenye pikipiki walivamia takriban vijiji vinne vya mbali siku . . .
Watu wasiopungua 35 wamekufa leo na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa baada ya roketi kukipiga kituo cha treni katika mji wa Kramatorsk kinachotumika kuwaondoa raia wanaokimbia vita mashariki mwa . . .
Korea kusini na Marekani wanajiandaa kwa uwezekano wa jaribio la nyuklia la Korea kaskazini huku mivutano ikiwa juu baada ya onyo la wiki hii kutoka Pyongyang, kwamba iko tayari kutumia silaha z . . .