logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mauaji
  • Na Asha Business
  • January 6, 2023

Aua Mke, Mama mkwe, watoto na yeye kujiua

Michael Haight mwenye umri wa miaka 42 nchini Marekani amemuua  mke wake, mama mkwe na watoto wake 5  na yeye kujiua baada ya mke wake kuwasilisha ombi la talaka jambo ambalo yeye hakulitaka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 5, 2023

Mtoto Wa Rais Wa Equatorial Guinea Achunguzwa Kuhusiana Na Madai Ya Utekaji

Mtoto wa kiume wa rais wa muda mrefu wa Equatorial Guinea anachunguzwa kuhusiabna na madai ya utekaji na mateso.Wadadisi wanasema madai hayo yataharibu juhudi za rais huyo kuboresha sifa yake kimataif . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • January 4, 2023

Mmiliki wa Mochari Asukumwa Jela Miaka 20 Kwa Kuuza Viungo vya Miili 560

Mmiliki wa zamani wa makafani katika Jimbo la Colorado, Marekani, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kuwalaghai jamaa za waliofariki na kuuza viungo vya miili ya maiti 560 bila idhini. Mega . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 2, 2023

Familia Ya Watu Sita Yapoteza Maisha Kwenye Ajali Mbaya Ya Gari

Familia ya watu sita akiwemo baba, Khumbulani Togara, mama na watoto wao wanne, akiwemo kichanga, wamefariki dunia katika ajali ya kutisha iliyotokea siku ya Boxing Day, Desemba 26, 2022.Ajali hiyo il . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 2, 2023

Helikopta zagongana angani watu wanne wafariki

Watu wanne wamefariki dunia na wengine 9 kuieruhiwa baada ya helikopta mbili kugongana angani karibu a Seaworld kwenye pwani ya Australia yaGold Coast.Ofisi ya Usalama wa Usafiri wa angani ya Australi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 2, 2023

Afisa usalama wa Iran ameuwawa kwenye maandamano

Afisa wa vikosi vya usalama vya Iran ameuawa kwa risasi wakati wa maandamano ya mji wa Semirom.Chombo cha habari cha serikali kimesema Jumapili, baada ya zaidi ya siku 100 ya kifo cha Mahsa Amini, kil . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 1, 2023

Watu 9 wapoteza maisha Uganda wakati wa sherehe za mwaka mpya

Watu wasiopungua 9 wamepoteza maisha kufuatia mkanyagano uliotokea wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kwenye mji wa Uganda, Kampala. Polisi imesema mkanyagano uliotokea dakika chache baada y . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 30, 2022

Mvulana wa Miaka 11 Ajichimbia Kaburi Kisha Kujiua Kisa Hajanunuliwa Nguo Mpya za Krismasi

Mvulana mmoja wa miaka 11 amejiua katika kijiji cha Kibongoti, kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya sababu kuu ikiwa babu na nyanyake kuchelewa kumnunulia nguo mpya za sikukuu ya Krismasi.Akithibitisha ki . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • December 30, 2022

Baba Akamatwa Tuhuma za Kuwapachika Mimba Mabinti zake Wawili

Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a nchini Kenya wanamshikilia mume pamoja na mkewe wenye watoto wanne wa kike baada ya mtoto wao kufichua kuwa baba yao amekuwa akiwabaka.Mume huyo ana . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 28, 2022

Takriban watu 60 wameuwawa katika ghasia huko Sudan Kusini

Takriban watu 60 wameuwawa wengi wao wakiwa wanawake na watoto kwenye migogoro katika eneo la utawala la Greater Pibor huko mashariki mwa Sudan Kusini. Watu wengine 20 walijeruhiwa siku ya Jumapili ka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 28, 2022

Wanajeshi wanane wahukumiwa kifo kwa mauaji ya raia wawili wa China

Wanajeshi wanane na raia moja katika eneo la kaskazini mashariki mwa DRC lililogubikwa na vita wamehukumiwa kifo kwa mauaji na ubadhirifu, nyaraka za mahakama zimeonyesha Jumanne.Wanajeshi wanane na r . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 27, 2022

AJALI YA GARI YAUWA WATU WATANO PAPO HAPO MIKUMI

Watu 5 wamefariki dunia papo papo Mikumi Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro katika ajali iliyohusisha gari ndogo maarufu kama "IT"  iliyokuwa ikitokea  Bandarini Jijini Dar-es-salaam kuelekea&n . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • December 27, 2022

China yapeleka ndege 71 katika anga ya kijeshi ya Taiwan

Mamlaka ya kisiwa cha Taiwan imesema China ilipeleka ndege 71 za kivita katika eneo la ulinzi la kisiwa hicho katika muda wa saa 24 hadi jna Jumatatu. Kwa upande wake, China ilisema ndege hizo zilikuw . . .

Biashara
  • Na Asha Business
  • December 26, 2022

Kilogramu 46 za bangi zakamatwa

Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma limekamata bangi magunia matatu yenye uzito wa kilogramu 46 na miche ya bangi iliyolimwa kwa kuchanganywa kwenye bustani ya mbogamboga pamoja na na nyara za serikali yak . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • December 26, 2022

Mwandishi wa habari aliegoma kula kwa siku kadhaa nchini Senegal ahamishiwa hospitalini

Mwandishi wa habari maarufu na mkosoaji wa serikali ya Senegal ambaye amekuwa kwenye mgomo wa kula kupinga mashtaka dhidi yake amehamishiwa hospitalini baada ya afya yake kuzorota. Wakili wa Pape Ale . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 23, 2022

Mwanafunzi ajinyonga kisa kukatazwa kujihusisha na mahusiano

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Masaki mkoani Pwani aitwaye Lasmin Kondo, amefariki dunia kwa kujinyonga mwenyewe kwa kile kilichoelezwa kuwa ni baada ya wazazi wake kumkataz . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 22, 2022

Aliyekuwa Seneta wa Lamu Avamiwa, Kuporwa Akielekea Gestini Ngara

Aliyekuwa seneta wa Lamu Anwar Loitiptip anauguza majeraha baada ya kushambuliwa na kuibiwa alipokuwa akielekea katika nyumba yake ya wageni huko Ngara. Mbunge huyo wa zamani ambaye alihudumu kat . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 22, 2022

Polisi Auawa Wapenzi Wake Wawili Aliokuwa Anatoka Nao Kisha na Yeye Kujiua

Polisi huyo wa S.Africa aliyewaua kwa kuwapiga risasi wanawake hao wawili aliokuwa nao katika mahusiano kwa wakati mmoja na yeye amekutwa amejiua mahabusu mwezi huuConst Mlungisi(27) aliwaua wanawake . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • December 21, 2022

Mshukiwa mkuu wa kisa cha mtoto kung’olewa macho awekwa rumande

Bi Pacificah Nyakerario, 60, alikamatwa na maafisa wa upelelezi Jumatatu usiku katika maficho yake jijini Nairobi, na kusafirishwa kurudi nyumbani na makachero hao. Alikuwa ametoroka Kisii mnamo . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

Ufaransa yaishtumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa M 23

Nchi ya Ufaransa, imeishtumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa M 23 wanaodaiwa kutekeleza mauaji ya raia 131 katika kijiji cha Kishishe, mwishoni mwa mwezi uliopita, katika jimbo la Kivu Kaskazini.&n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

Watu wenye bunduki waua raia wanane karibu na Baghdad

Watu wenye bunduki wamewaua takriban raia 8 huku wengine 7 wakijeruhiwa katika jimbo la kaskazini mwa Iraq la Diyala, kulingana na ripoti ya Jumatatu kutoka polisi na maafisa wa afya.Shambulizi hilo l . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

Apigwa na radi akichunga mbuzi

Calista Haule (15) mkazi wa kijiji cha Lifua kata ya Luilo wilayani Ludewa mkoani Njombe amefariki baada ya kupigwa na radi wakati akiwafunga mbuzi chini ya mti baada ya kuwatoa malishoni.Kwa mujibu w . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 19, 2022

Watano wafariki kwa kuangukiwa na ghorofa

Watu watano wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ghorofa katika kijiji cha Sembeti, Marangu, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro.Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Abbas Kayanda amethibitisha vifo hivyo na k . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 19, 2022

Basi la kampuni ya Happy Nation Laungua Moto Likiwa Njiani Kwenda Arusha

Basi la kampuni ya Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Arusha limeteketea kwa moto eneo la kwa Makocho majira ya saa nne asubuhi leo hii.Bado taarifa rasmi hazijatoka kuhusiana na . . .

Kurasa 30 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 13 masaa yaliopita

China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

Habari
news
  • 13 masaa yaliopita

Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

Habari
news
  • 13 masaa yaliopita

Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

Habari
news
  • 14 masaa yaliopita

Uhamiaji Simiyu yaendelea na jitihada za kudhibiti Wahamiaji haramu

Habari
news
  • 14 masaa yaliopita

Serikali kufuatilia Makala ya CNN kuhusu maandamano ya uchaguzi oktoba 29

Habari
news
  • 14 masaa yaliopita

Dkt, Samia anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi siku mbili mkoani Arusha

Habari
news
  • 15 masaa yaliopita

Kesi ya 3 yawasilishwa kupinga ujenzi wa Chuo Kikuu cha Nyamira

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 13 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 13 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 13 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode