Nchi ya Ufaransa, imeishtumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa M 23 wanaodaiwa kutekeleza mauaji ya raia 131 katika kijiji cha Kishishe, mwishoni mwa mwezi uliopita, katika jimbo la Kivu Kaskazini.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe