Polisi Auawa Wapenzi Wake Wawili Aliokuwa Anatoka Nao Kisha na Yeye Kujiua

Polisi huyo wa S.Africa aliyewaua kwa kuwapiga risasi wanawake hao wawili aliokuwa nao katika mahusiano kwa wakati mmoja na yeye amekutwa amejiua mahabusu mwezi huu

Const Mlungisi(27) aliwaua wanawake hao nyumbani kwake mwezi October mwaka huu, wanawake hao mmoja ana miaka 23 na mwingine 18

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii