Watano wafariki kwa kuangukiwa na ghorofa

Watu watano wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ghorofa katika kijiji cha Sembeti, Marangu, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro.

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Abbas Kayanda amethibitisha vifo hivyo na kueleza kuwa Watu wengine kadhaa waliokuwa katika eneo hilo wameokolewa

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii