Basi la kampuni ya Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Arusha limeteketea kwa moto eneo la kwa Makocho majira ya saa nne asubuhi leo hii.
Bado taarifa rasmi hazijatoka kuhusiana na majeruhi wa ajali hiyo.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii