Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka China aliyeelezwa na polisi kuwa mmoja wa wanyanyasaji wa kijinsia wa kutisha zaidi nchini Uingereza amehukumiwa kifungo cha maisha jela. Zhenhao Zou, ra . . .
Mahakama ya Kahawa Nairobi nchini Kenya imewahukumu Hussein Abdille na Mohamed Abdi Ali, waandaaji wa shambulio la hoteli ya DusitD2, kifungo cha miaka 30 gerezani kila mmoja. Hussein Abdille alishta . . .
Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameapa kwamba nchi yake haitoonyesha huruma kwa watawala wa Israel. Matamshi hayo yanakuja saa chache baada ya Rais wa Marekani Donald Trump, kuit . . .
Kombora lililorushwa kutoka Iran limelenga jengo la hospitali kuu ya Beersheba iliyopo kusini mwa Israel na kusababisha majeruhi kadhaa, huku yenyewe ikijibu kwa kushambulia mtambo wa urutubishaji nyu . . .
BONIFACE Kariuki, mchuuzi wa barakoa aliyepigwa risasi na afisa wa polisi wakati wa maandamano jijini Nairobi Jumanne, angali hai, familia yake imesema.Babake, John Kariuki alisema mwanawe alipigwwa r . . .
Nchini Kenya, mji mkuu wa Nairobi umetikiswa siku ya Jumanne, Juni 17, na makabiliano kati ya waandamanaji, vikosi vya usalama, na makundi ya raia wenye silaha, waliotajwa kuwa "majambazi." Watu kadha . . .
Mhubiri mwenye utata kutoka Kenya, Gilbert Deya, amefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Jumanne jioni karibu na mji wa Kisumu, magharibi mwa Kenya. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, Dey . . .
Serikali ya Tanzania imeanza kufanya mashauriano na Marekani ili kufanyia kazi maeneo yanayihitaji kuboreshwa ili raia wake wasizuiwe kuingia Marekani. Uamuzi huo unatoana na Serikali ya Marekani kut . . .
Mashambulizi ya kila upande kati ya Israel na Iran yameingai siku ya sita, huku Rais Donald Trump wa Marekani akitoa ujumbe kuhusiana na mzozo huo mpya wa Mashariki ya Kati. Rais Donald Trump a . . .
Mahakama ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imemhukumu Lindwa Clement Balthazari (30) mkazi wa kijiji cha Malya na kinyozi wa saluni ya kiume kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na . . .
Waandamanaji waliokuwa na mabango wanamtaka Naibu Inspekta wa Polisi Eliud lagat kujiuzulu kufuatia kifo cha kutatanisha cha mwanablogu Albert Ojwang.Waandamanaji katika jiji la Nairobi walijipata wak . . .
Israel inaamini kuwa kuna tishio kubwa kutoka kwa nguvu za nyuklia za Iran. Inasema lengo kuu la mashambulizi iliyofanya Ijumaa ilikuwa ni kuharibu tishio hilo.Ikiwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Ne . . .
Bunge la taifa nchini DRC limeidhinisha Mwanasheria Mkuu wa Mahakama ya Juu Juni 15, kumfungulia mashitaka Constant Mutamba ambaya alikuwa Waziri wa Sheria wa DRC kwa tuhuma za ubadhirifu wa fed . . .
Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, maarufu kama Kanisa la Ufufuo na Uzima, limefungua kesi Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma, likiomba amri ya muda ya kuondoa zuio lililowekwa na Serikali dhidi . . .
Idara ya polisi nchini Kenya imeomba radhi Wakenya kufuatia tukio ambalo mahabusu aliyekuwa na ujauzito Milka Wangari alipoteza ujauzito kwenye selo za polisi baada ya kukamatwa kwa kosa la kuchukua s . . .
Katika tukio la kipekee linalodhihirisha mapenzi ya wananchi kwa viongozi wao wakazi wa Mkoa wa Simiyu wamejitokeza kwa wingi kuonyesha furaha na bashasha kuelekea ziara ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia . . .
Mamlaka nchini India zimethibitisha kuwa Watu 133 wamefariki hadi sasa kufuatia ndege ya abiria ya Air India iliyokuwa inatokea nchini India kwenda London nchini Uingereza kuanguka na kuwaka mot . . .
Ndege ya abiria ya Air India iliyokuwa inatokea nchini India kwenda London nchini Uingereza imeanguka na kuwaka moto leo June 12,2025 katika eneo la Ahmedabad India muda mfupi baada ya kupaa ikiwa na . . .
Watu tisa wamefariki dunia papo hapo na wengine 44 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Hai kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba shehena ya sukari katika eneo la Lugono Melala barabara . . .
Aliyekuwa Jaji Mkuu wa Kenya, Dkt. Willy Mutunga Wakili Mwandamizi Martha Karua pamoja na watu wengine wanne wamefungua kesi katika Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACJ) dhidi ya Seri . . .
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Mara imemfikisha mahakamani tabibu wa kituo cha Afya Magena kilichopo wilayani Tarime, Jacob Wankyo kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa il . . .
Erasto Raphaely Kabupa (50), mkazi wa kijiji cha Igelehedza kata ya Ilembula wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe amefariki dunia akiwa katika nyumba ya kulala wageni wakati wa kushiriki tendo la nd . . .
Maduka 17 katika eneo la Buseresere wilayani Chato, Mkoa wa Geita yameteketea kwa moto ambao chanzo chake hakijafahamika.Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, Hamis Dawa amethibitisha . . .
Mwanamke aliyetoweka baada ya mumewe kuuawa kikatili walipokuwa kwenye fungate yao amekamatwa baada ya kujisalimisha kwa polisi nchini. Familia za wanandoa hao zilidai kuwa bibi harusi pia alikuwa am . . .