logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Mawaziri wawili nchini Ghana wafariki wa helikopta

Watu  wanne wafariki dunia kwa ajali ya helikopta iliyotokea August 6 mwaka huu katika eneo la Ashanti nchini Ghana na kusababisha vifo vya watu wanane huku miongoni mwao kuna mawaziri wawili.Kwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

Ugonjwa wa Chikungunya waja na staili mpya China

Wakati ugonjwa wa Chikungunya ukisambaa kwa kasi nchini China na kuambukiza zaidi ya watu 7,000 mamlaka zimeibuka na mbinu ya kuachia mbu wakubwa wasio na uwezo wa kung’ata binadamu ili kula mabuu y . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 4, 2025

Martyn afia Uturuki akijiandaa kufanyiwa upandikizaji nywele

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Magazeti ya Uingereza ya The Independent na The Guardian, Marehemu Martyn Latchman alikuwa akijiandaa kufanyiwa upasuaji wake wa pili katika kliniki hiyo baada ya . . .

Afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • July 28, 2025

kundi la Al-Shabaab wafanya jaribio jingine la kuvamia kambi ya polisi GSU.

VIKOSI vya kulinda usalama msituni Boni, Kaunti ya Lamu, vimezidisha msako dhidi ya magaidi wanaohusishwa na kundi la Al-Shabaab, baada ya jaribio jingine la kuvamia kambi ya polisi wa GSU.Katika kipi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 22, 2025

Stephen Munyakho apata nafasi ya kuishi tena

Stephen Bertrand Munyakho, Mkenya ambaye alikuwa akikabiliwa na hukumu ya kifo nchini Saudi Arabia, sasa ameachiliwa rasmi kutoka kizuizini.Munyakho, kwa jina maarufu la Stevo, mwana wa kwanza wa mwan . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • July 22, 2025

Jair Bolsonaro akabiliwa na kifungo kwa 'kutotii

Jaji wa Mahakama ya Juu ya Brazili amewapa mawakili wa Jair Bolsonaro saa 24 kueleza "kutofuata" kwao marufuku ya rais huyo wa zamani kutumia mitandao ya kijamii, "chini ya adhabu ya kifungo cha mara . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • July 22, 2025

Bangladesh :Zaidi ya watu ishirini wamefariki kwa ajali ya ndege

Idadi ya vifo kutokana na ajali ya ajali ya ndege ya kivita ya Jeshi la Wanahewa la Bangladesh katika shule huko Dhaka Jumatatu, Julai 21, imeongezeka na kufikia angalau 27, wengi wao wakiwa wanafunzi . . .

Afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • July 22, 2025

Israel yafanya mashambulizi dhidi ya wafanyakazi wa WHO

Jeshi la Israel limevamia maghala na majengo mengine ya Shirika la Afya Duniani, WHO, katika Ukanda wa Gaza wakati ikiendesha operesheni zake.Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kwenye ta . . .

AJALI
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Wanafunzi wawili wafariki kwa ajili Morogoro

Watu watatu wamefariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili wa kidato cha nne, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha pikipiki yenye namba za usajili MC 534 DYX iliyokuwa ikiendeshwa na Baraka Sajio(22) . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 18, 2025

Kijana adaiwa kumuua baba yake na kumtumbukiza kwenye shimo la choo

Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Rajabu Hamis (23), mkazi wa Mtaa wa Muheza, wilaya ya Kibaha, kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Hamis Musa (50), katika tukio la kikatili lililotokea us . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • July 18, 2025

Meno ya tembo, kiboko yampeleka jela miaka 20

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imemuhukumu mfanyabiashara Abubakari Msangi (48), kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na vipande saba vya meno ya tembo na s . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 17, 2025

Polisi" Hatuhusiki kutoweka kijana Kongowe"

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limekanusha vikali taarifa zinazoeleza kuwa Mkuu wa Kituo Kidogo cha Polisi Kongowe, Wilaya ya Kibaha, alihusika katika kumkamata kijana Hussein Abdallah Mkama mnamo Mei . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 16, 2025

Syria yalengwa na mashambulizi usiku, Israeli yaongeza maonyo

Syria imelengwa na mashambulizi mapya ya Israeli wakati wa usiku wa Julai 15 kuamkia Julai 16, hasa dhidi ya miundombinu ya kijeshi. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amefafanua nia ya Israeli. Shirika l . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

Al Shabab wauteka mji wa Tardo

Wapiganaji wa Kiislamu wa Al Shabab wanaendelea na mashambulizi yao katikati mwa Somalia Tangu mwanzoni mwa mwaka 2025, wamekuwa wakirejea kaskazini mwa Mogadishu, mji mkuu, eneo ambalo walikuwa wamef . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 15, 2025

Karibia watu 300 wameuawa na RSF Kordofan Kaskazini

Nchini Sudan, wapiganaji wa RSF wameua karibu watu 300 kufuatia mashambulio katika jimbo la Kordofan Kaskazini yaliyoanza siku ya Jumamosi.Kundi la haki za binadamu la Wanasheria wa Dharura, limesema . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Zitto akamatwa na kuachiliwa kwa dhamana

Chama cha ACTWazalendo kimetoa taarifa kuwa Kiongozi mstaafu wa chama hicho Zitto Kabwe, alishikiliwa na Jeshi la Polisi, Saa Sita Usiku, Julai 14 mwaka huu baada ya kuvamiwa akiwa hotelini, baadaye a . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • July 14, 2025

Ajali Ya Ndege London Kadhaa Wahofiwa Kufariki

Katika tukio la kushtua lililotokea leo jijini London, ndege aina ya Beech B200 Super King Air imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Southend.Tukio hilo limenaswa kwenye video . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 14, 2025

Mshtakiwa Dawa za Kulevya Afia Gerezani

OFISA wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Selemani Mbwambo amedai wakati akishuhudia ufungaji wa kielelezo cha dawa za kulevya washtakiwa walikuwa watatu lakini mmoja alifariki ak . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • July 11, 2025

Mahakama Kuu kutoa uamuzi maombi ya Lissu leo

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 imepanga kutoa uamuzi wa maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu.Uamuzi huo unatarajiwa kuto . . .

Afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • July 11, 2025

Askari ajikuta mpweke kortini kwa mauaji wakati wa maandamano

Viongozi wakuu serikali wamekuwa wakiamrisha ulinzi kwa polisi kuhusisu  kuwau waandamanaji na kuwalazimu maafisa wa usalama kufuata amri hiyo ya tahadhari baada ya afisa aliyedaiwa kumuua mwanda . . .

Mafuriko
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

mafuriko yaua watu 119 Taxes Marekani

Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko makubwa huko Texas, Marekani imeongezeka hadi kufikia watu 119Hata hivyo wasiwasi umezidi kuongezeka kwamba idadi hiyo inaweza kuongezeka maradufu kwa kuwa ha . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

Dorothy kusambaratisha ndoa ya mtoto wa Darasa la Sita

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Mhe Dkt Dorothy Gwajima ameleleza kufanikiwa kusambaratisha ndoa ya mtoto wa Darasa la Sita iliyokuwa imefungwa katika kata ya Mbarali Ze . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 9, 2025

Waliokufa Kutokana na Maandamano ya Sabasaba Kenya Wafikia 31

Taarifa ya tume hiyo pia imeeleza watu waliojeruhiwa ni 107, wasiojulikana walipo ni 2, huku 532 wamekamatwa na Polisi wa nchi hiyo, na thamani ya uharibifu wa mali bado haijuulikani.Waziri wa usalama . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 8, 2025

Akutwa na hatia ya kuwaua Wakwe zake kwa kuwalisha uyoga wenye sumu

Mahakama moja Nchini Australia imemkuta Mwanamke aitwae Erin Patterson na hatia ya kuwaua Wakwe zake kwa kuwalisha uyoga wenye sumu katika chakula chao cha mchana miaka miwili iliyopita.Imeelezwa kuwa . . .

Kurasa 3 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 8 masaa yaliopita

China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

Habari
news
  • 8 masaa yaliopita

Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Uhamiaji Simiyu yaendelea na jitihada za kudhibiti Wahamiaji haramu

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Serikali kufuatilia Makala ya CNN kuhusu maandamano ya uchaguzi oktoba 29

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Dkt, Samia anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi siku mbili mkoani Arusha

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Kesi ya 3 yawasilishwa kupinga ujenzi wa Chuo Kikuu cha Nyamira

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 8 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 8 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 9 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode