logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Top Story
  • Na Asha Business
  • July 9, 2023

Mwamba Ajikata Uume, Kisha Kukimbilia Polisi

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 Simon John, Mkazi wa Mtaa wa Msonobarini chini, Kata ya Msinjahili iliyopo Manispaa na Mkoa wa Lindi anadaiwa kujikata uume wake na kisha kukimbilia katika Kituo . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 7, 2023

Mwanaume mmoja kaunti ya Bomet ametiwa kizuizini na polisi baada ya kuripotiwa kumuua babake mzazi.

Inasemekana kwamba Victor Langat mwenye umri wa miaka thelathini alitofautiana na wazazi wake baada ya kukataa ombi lake la pesa za kununua pikipiki. Robert De Niro’s Grandson Died From Fentanyl-Lac . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 7, 2023

Mwanaume avamia shule wakati wa mtihani, amnyonga mwanafunzi

amanda wa Polisi wa Jimbo la Ondo, mnamo Alhamisi, alithibitisha kukamatwa kwa mwanamume aliyejulikana kama Oke Loya, kwa madai ya kumuua kijana, Timibra Meretighan, katika jamii ya Arogbo katika Eneo . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 5, 2023

Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Ajinyonga Hadi Kufa na kuacha ujumbe tata

Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Mkoani Mtwara aliyetambulika kwa jina moja la Regan ambaye amekuwa akiishi Mtaa wa Chikongola, Manispaa ya Mtwara- Mikindani anadaiwa kujinyonga hadi kufariki na m . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 5, 2023

Kioja Harusuni Bwana Harusi Kukataa Kunywa Mvinyo wa Mkewe, Aumimina Sakafuni

Kwenye harusi za jadi za Igbo, ni desturi bwana harusi kupokea mvinyo kutoka kwa bibi harusi. Anaunywa na kucheza kwa madaha na mkewe mtarajia ili kupokea baraka za ndoa baada ya kuweka pesa kwen . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 5, 2023

Jamaa Ajiteketeza Ndani ya Nyumba Kisa Mke Kukataa Kumuandalia Kitoweo cha Kuku

Maafisa wa upelelezi wameanzisha uchunguzi kuhusu kisa ambapo mwanamume mmoja alifariki kwa kujitoa uhai baada ya mkewe kuripotiwa kukataa kumpikia kuku nyumbani kwao Uriri, kaunti ya Migori. Huk . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 4, 2023

Polisi wawakamata watu 2 kwa kudukua akaunti za wateja wa benki

Kamandi ya Polisi ya Kanda ya 2 ya Nigeria imewatia mbaroni wanaume wawili wanaodaiwa kuwa wataalam wa udukuzi katika akaunti za wateja wa benki.Afisa Uhusiano wa Kanda, SP Hauwa Idris-Adamu, alithibi . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 28, 2023

Wafanyakazi 3 Wafariki kwa Kukosa Hewa Wakikarabati Tanki la Maji la Chini ya Ardhi

Katika tukio la Jumanne, Juni 27, watatu hao waliripotiwa kuzirai na kukosa hewa ndani ya tanki la maji taka lenye futi tisa, ambalo lilikuwa bado linaendelea kujengwa. Akithibitisha kisa hicho, . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 27, 2023

Mbuge akutwa na vyeti bandia

Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi huenda hakufika hata katika shule ya upili kinyume na vyeti alivyonavyo vinavyosema, mpelelezi ameambia mahakama.Derrick Juma ambaye ni mpelelezi kutoka Tume ya Maadili n . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 27, 2023

Aliyekufuru Dini apigwa mawe hadharani, afariki

Mtu mmoja, Usman Buda mfanyakazi katika soko la machinjo katika wilaya ya Gwandu ya jimbo la Sokoto nchini Nigeria, amepigwa mawe hadi kufa baada ya kutuhumiwa kukufuru Dini ya Kiislam na Mtume Muhamm . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 26, 2023

Mapigano jimbo la Darfur nchini Sudan yameuwa raia wasiopungua 12

Wakaazi wa mji huo waliripoti kuwepo mapigano siku ya Jumamosi, kwa mashambulizi ya risasi na makombora katika eneo la Nyala. Darfur, eneo kubwa la magharibi kwenye mpaka na ChadMapigano kati ya majen . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 23, 2023

Maswali tata mabaki mwili wa binadamu Morogoro

Christome Simon (47), mkazi wa Mtaa wa Kambi tano kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro anayedaiwa kupotea tangu Novemba, 2022 na mabaki ya mwili wake kukutwa msitu wa Mgulu wa Ndege uliopo katika mtaa . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • June 22, 2023

Maofisa wa Serikali kizimbani kwa kusema uongo

Maofisa wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe iliyopo Mkoani Tanga, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya wakishitakiwa kwa makosa matano ikiwemo kutuma nyaraka za uongo na ya uhujumu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 21, 2023

Asusa kula chakula hadi kifo

MMOJA wa wandani wa karibu wa mhubiri wa Kanisa la Good News International Paul Mackenzie ameaga dunia huku wengine wawili wakilazwa hospitalini wakiwa katika hali mahututi.Upande wa mashtaka umeambia . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 21, 2023

Gereza la Wananawake zauwa zaidi ya 40

Takriban watu 41 wameuawa katika gereza la wanawake nchini Honduras kufuatia kuzuka kwa mapigano baina ya magenge hasimu, yaliyopelekea kuzuka kwa moto ndani ya jengo la wafungwa.Naibu Waziri wa Usala . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 16, 2023

Mwanaume amtoa jicho shemeji yake kisa miti

Mwanamume aliyenaswa kwa kumjeruhi shemeji yake amepatikana na hatia kwa tuhuma zinazotolewa dhidi yake. Janet Langa, mjane anayetoka Nyaori huko Nyalenda, kaunti ya Kisumu, alivamiwa kinyama na kakak . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 14, 2023

Mwanamke ajiua baada ya kukiri kumsaliti mume wake

Salma Shaibu (28) kutoka Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi, amefariki dunia baada ya kujiua kwa kunywa sumu ya  wadudu huku ikidaiwa kuwa chanzo cha kifo chake ni kujihisi kuwa mwenye hatia baada . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 14, 2023

Mwanamke Akiri Kuiba Watoto na Kuwauza

olisi huko Mlolongo wanamzuilia mwanamke anayedaiwa kuhusishwa na genge la wizi wa watoto linaloendesha shughuli zake katika eneo hilo.Miriam Wesonga mwenye umri wa miaka 18 alikamatwa na wananchi baa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 13, 2023

Ajabu Maiti Ikifufuka Ecuador

WAOMBOLEZAJI katika mazishi ya mwanamke  nchini Ecuador, walipigwa na butwaa baada ya  kugundua kuwa marehemu bado alikuwa hai licha ya kutangazwa kufariki na madaktari.Bella Montoya, 76, al . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • June 9, 2023

Mwanamume Arudi Nyumbani Kwa Likizo Na kukuta wanaume wakimgombania mke wake

Kulingana na majirani, mwanamke huyo amekuwa akiwaleta wanaume hao kwake kwa zamu ila siku hiyo, ratiba yake ilifeli na wawili hao wakakutana usiku ule.“Huwa anawaleta siku moja moja usiku sana na w . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • June 9, 2023

Polisi wapata ajali wakimkimbiza muuza Gongo, wanne wafariki

Watu wanne wamepoteza maisha eneo la Chwele, Bungoma nchini Kenya, kufuatia kutokea kwa ajali iliyohusisha gari la Polisi lililokuwa likikimbiza mchuuzi wa Pombe haramu ya Gongo, kugongana na Pikipiki . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 8, 2023

Mwanaume awachoma kisu watoto sita

Maafisa wa polisi wa Ufaransa wawasili kulinda eneo hilo baada ya watu kadhaa kujeruhiwa karibu na ofisi za zamani za jarida la kejeli la Ufaransa la Charlie Hebdo kufuatia shambulio lililofanywa na m . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 7, 2023

Jamaa Ahuzunika Baada ya Mkewe Kutoroka na Mwanaume Mwingine Siku ya Harusi Yao

kijana mmoja kuoa na kuwa na familia yake zilivunjwa na mwanamke ambaye alikuwa amemwamini.Mwanamume huyo mwenye huzuni alisalia amechanganyikiwa na mumeza mate machungu baada ya ndoa yake kuvunjika s . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 7, 2023

Korea Kusini ilituma ghafla ndege zake za kijeshi baada ya kuingiliwa mpaka wake

Wizara ya Ulinzi ya China imesema katika taarifa yake kwamba ndege hizo zilizoingia ndani ya mipaka yake ya ulinzi ADIZ ya Seoul zilikuwa zikishiriki katika mazoezi ya pamoja ya anga na Russia katika . . .

Kurasa 21 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Uhamiaji Simiyu yaendelea na jitihada za kudhibiti Wahamiaji haramu

Habari
news
  • 13 masaa yaliopita

Serikali kufuatilia Makala ya CNN kuhusu maandamano ya uchaguzi oktoba 29

Habari
news
  • 13 masaa yaliopita

Dkt, Samia anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi siku mbili mkoani Arusha

Habari
news
  • 13 masaa yaliopita

Kesi ya 3 yawasilishwa kupinga ujenzi wa Chuo Kikuu cha Nyamira

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 12 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 12 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 12 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode