Inasemekana kwamba Victor Langat mwenye umri wa miaka thelathini alitofautiana na wazazi wake baada ya kukataa ombi lake la pesa za kununua pikipiki. Robert De Niro’s Grandson Died From Fentanyl-Laced Pills, Mother Claims Keep Watching Wazazi wa mtuhumiwa walikuwa wameuza kiwanja, jambo lililomfanya mwana wao aombe sehemu ya mapato ya mauzo hayo ili kuanzisha biashara ya boda boda. Baada ya wazo lake kukataliwa, Langat alimshambulia mama yake ambaye alifanikiwa kutoroka licha ya kuwa na maumivu nyumbani kwao huko Cheptagum, eneo la Sotik.