Rais wa Marekani Joe Biden aliwasili nchini Uingereza jana jioni kabla ya mazishi ya Malkia Elizabeth 11 siku ya Jumatatu.Haya ni kwa mujibu wa shirika la habari la AFP. Ndege aliyosafiria Biden iliwa . . .
Mahujaji milioni 21, waislamu wa madhahebu ya kishia, wakiwa wamevaa nguo nyeusi wamekusanyika katika mji wa Karbala nchini Iraq kuadhimisha siku ya Arbaini, wakati nchi hiyo ikikabiliwa na misukosuko . . .
Katibu Mkuu Kiongozi wa tano, Balozi Paul Rupia amefariki dunia leo asubuhi nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 84.Taarifa ya kifo chake imetolewa leo Septemba 16 kwa Mwananchi na mtu wa . . .
Rais Joe Biden wa Marekani na wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wanatarajiwa kukutana leo hii katika Ikulu ya White House kwa mazungumzo yatakayojikita katika vita vya Urusi nchini Ukraine, maswala ya . . .
Naibu wa waziri wa mifugo na uvuvi Abdallah Ulega amezungumza hii leo bungeni kuhusiana na kauli iliyotolewa na makamu wa rais Dkt Mpango wakati akiwa mwanza kuhusiana na na kutumia maji ya . . .
Muungano wa Watengenezaji Bidhaa (KAM) umewataka Wakenya kujiandaa kwa hali ngumu zaidi ya maisha.Kulingana na KAM, bei ya bidhaa nyingi muhimu itapanda kwa kiasi kikubwa wakati wowote kuanzia sasa. M . . .
Waziri Mkuu wa Sweden wa chama cha Social Democratic Magdalena Andersson amewasilisha leo barua ya kujiuzulu. Hii ni baada ya muungano wa vyama vya siasa za mrengo wa kulia ambao unajumuisha chama cha . . .
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza kufuta ada ya mtihani kwa watahiniwa wa darasa la saba, kidato cha nne na sita wa shule za Serikali, huku wanafunzi wa shule binafsi watakuwa wanaendele . . .
Shirika la ndege la Kenya Airways limethibitisha kuwa abiria aliyepata matatizo ya kupumua alipokuwa akipanda moja ya ndege zake amefariki.Katika taarifa Jumatano, KQ ilisema abiria huyo alitangazwa k . . .
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Jijini Mwanza Stanslaus Mabula haya ndiyo aliyoyawasilisha jana Tarehe 14 September 2022 mbele ya Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, akihitimisha ziara yake . . .
Wakati visa vya maambukizi ya Monkeypox vikiendelea kushuka kwenye mataifa ya Ulaya pamoja na Marekani, wataalam wa sayansi wanasema kwamba sasa ni wakati wa kuweka kipaumbele cha upatikanaji wa chanj . . .
Matumaini ya Wakenya kuwa gharama ya maisha ingeanza kushuka mara baada ya Rais William Ruto kuchukua madaraka yameanza kudidimia miongoni mwa Wakenya wengi.Katika manifesto na kampeni zake kuelekea u . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa mshikamano na ushirikiano ili kushughulikia ulimwengu ulio hatarini wakati wa ufunguzi wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa.Akitolea . . .
Kulikua na hali ya utulivu mkubwa katika sehemu mbalimbali nchini wakati wa kuapishwa kwa Rais William Ruto katika uwanja wa Kasarani.Hata hivyo, hali ilikuwa tofauti katika kaunti ya Uasin Gishu mami . . .
Rais wa Kenya William Ruto, saa chache tu baada ya kuapishwa kama kiongozi wa taifa hilo la Afrika Mashariki, aliwateua majaji sita wa mahakama ya rufaa, waliokuwa wamependekezwa na Tume ya Huduma za . . .
Mfalme Charles III amefanya ziara yake ya kwanza Ireland ya Kaskazini tangu alipovikwa taji la ufalme. Mfalme Charles anazuru mataifa yote manne ya Ufalme wa Uingereza kabla ya mazishi ya kitaifa ya m . . .
Wakati kumekuwa na wimbi la mauaji nchini, Serikali imesema sababu za wananchi kujichukulia hatua mkononi ni wivu wa mapenzi, migogoro ya ardhi, ulevi na imani za kishirikini.Kauli hiyo imefuatilia, s . . .
Uganda imetoa dola milioni 65 kama malipo ya kwanza ya dola milioni 325 iliyoamuriwa kulipa na Mahakama ya kimataifa ya haki ICJ, kama fidia kutokana na taifa hilo kujihusisha katika mgogoro kwenye ji . . .
Serikali imesema suala la haki ya faragha kwa Wafungwa na Wenza wao itaanza kutolewa pale ambapo mifumo ya kisheria na miundombinu ya Magereza itakapokidhi kutolewa kwa haki hiyo ambapo masuala mengin . . .
Jumanne ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Sepsis.Sepsis ni ugonjwa unaotishia maisha ambao huathiri mamilioni ya watu kila mwaka. Ugonjwa huu hutokea pale mtu anapopata maambukizi na kadri mwili unav . . .
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ameanza leo ziara ya siku tatu nchini Kazakhstan ili kushiriki mkutano wa kimataifa wa kidini. Hata hivyo Papa Francis hatakutana na kiongozi wa Kanisa . . .
Rais wa Marekani Joe Biden na Makamu wa Rais Kamala Harris wamewaongoza Wamerekani kuadhimisha miaka 21 tangu kutokea kwa shambuliao la kigaidi katika majengo pacha ya World Trade Center na Pentagon.& . . .
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Alhamisi ameteua baraza jipya la mawaziri baada ya kumfuta kazi waziri wake mkuu Alain Guillaume Bunyoni, ambaye uhusiano wao katika miezi ya hivi karibuni ulizid . . .
Wafanyakazi katika sekta ya petrol nchini Nigeria, wameitisha maandamano ya kitaifa kupinga wizi wa mafuta, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa nchi na mapato ya fedha za kigeni.Um . . .
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Tabora, Musa Chaulo kuwakamata watu wote wanaohusika na usimamizi wa ujenzi wa Chuo . . .
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Malikia Elizaberth II wa nchini Uingereza, kilichotokea jana Alhamisi Septemba 8, 2022 katika visiwa vya Balmoral nchini Scotland alipok . . .
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wig . . .
Ukraine imeomba wakazi waliyoko kwenye maeneo yanayokaliwa na Russia karibu na kiwanda cha nyuklia cha Zaporizhzhia, kuondoka mara moja kwa ajili ya usalama wao.Taarifa hiyo imetolewa na naibu w . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amempongeza William Ruto kwa kuibuka mshindi wa uchaguzi wa urais.Katibu katika White House Karine Jean-Pierre alisema Marekani inasubiri kuendeleza urafiki wake na Kenya.al . . .
Serikali kupitia Wizara ya Maji imetoa Shilingi bilioni moja kwa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita (GEUWASA) kufanikisha utanuzi wa chujio la maji na kupunguza kero ya mgawo wa ma . . .