Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wana-Diaspora wote wawe mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania kokote waliko na wawe tayari kuainisha fursa zilizopo nchini.“Ninyi ni mabalozi wetu, itangazeni . . .
Urusi inapanga kuitisha mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili uharibifu uliofanywa katika mabomba hayo mawili. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Urusi Maria Zakharova amesema ha . . .
Wakati Serikali ikiwasilisha muswada wa Bima ya Afya kwa Wote bungeni, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hakuna mtu atakaye kamatwa au kupigwa faini kwa kutokuwa na bima ya afya. Wa . . .
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau alitangaza Jumatatu kwamba serikali yake itawawekea vikwazo "dazeni" ya watu na mashirika ya Iran, ikiwa ni pamoja na maafisa wa polisi wanaowaitwa "wa maadili," w . . .
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amefungua rasmi dirisha la ufadhili wa masomo ya elimu ya juu (Samia Scholarship) ambapo wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya . . .
Polisi nchini Kenya wanachunguza kifo cha mwanasheria aliyetuhumiwa kuwahonga na kuwatishia mashahidi katika kesi iliyotupiliwa mbali na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu - ICC dhidi ya Rais William Ru . . .
KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Mzee Ramadhani Nyamka Septemba 26, 2022, jijini Dodoma akila kiapo cha uadilifu mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, Mhe. Gerson Mdemu ku . . .
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Kaunti Ndogo ya Marakwet Magharibi ameingia mitini baada ya kuchoma nyumba ya familia kutokana na kutofautiana na babake kuhusu pesa za matumizi ya shuleni ambazo . . .
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa saratani umeua watu 25,000 mwaka 2020 na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 iliyoua watu chini ya 1,000 hapa nchini.Waziri Ummy amesema . . .
Idadi ya watu waliofari dunia kutokana na ugonjwa wa ebola nchini Ugenda imefikia watu 21 huku zaidi ya 30 wakiwa wameambukuzwa.Ripoti iliyotolewa na Wizara ya Afya nchini Uganda imesema kuwa kuwa wiz . . .
Kamati za Bunge za Miundombinu na Hesabu za Serikali (PAC) wameanza safari ya kutoka Dodoma kwenda Morogoro kwa njia ya treni wakipita reli mpya ya kisasa (SGR). Wabunge hao wanapitia reli hiyo k . . .
Ripoti ya Dunia ya Furaha imetumia uchanganuzi wa takwimu kubaini nchi zenye furaha zaidi duniani. Katika sasisho lake la 2021, ripoti ilihitimisha kuwa Finland ndio nchi yenye furaha zaidi ulimwengun . . .
RAIS William Ruto jana Jumapili aliruhusu viongozi wa makanisa kufanya maombi spesheli ya kutakasa ikulu ya Nairobi huku akijiandaa kuanza kutumia makao hayo ramsi ya kiongozi wa nchi.Rais Ruto alisem . . .
Ikiwa ni siku moja imepita tangu mkutano Mkuu wa Dharura wa Chama Cha NCCR -Mageuzi kumfuta uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, James Mbatia na kumvua uongozi Makamu Mwenyekiti, . . .
Waziri mkuu wa mpito nchini Mali kanali Abdoulaye Maiga, ameishtumu Ufaransa kwa kulitelekeza taifa hilo. Wakati wa hotuba yake kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Maiga amesema kuwa Mali imesaliti . . .
kiongozi wa upinzani na Spika wa zamani Guy Nzoube Ndama wa Bunge la Gabon, amekamatwa katika mji mkuu wa Libreville akiwa na takriban dola milioni 2 (bilioni 1.19 za FR CFA) zilizopatikana kwen . . .
Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kupitia Kamisheni ya Utalii Zanzibar imelaani kitendo cha Watalii wawili wa jinsia moja (Wanaume) kuvishana pete katika ufukwe wa Hoteli iliyopo Jambiani Mkoa wa Kusi . . .
Mamlaka za Cameroon zimesema Alhamisi kwamba zimezuilia wanajeshi watatu kutokana na kupiga risasi na kuuwa wanawake wawili wasiokuwa na silaha kwenye kijiji kimoja kaskazini magharibi mwa nchi.Makund . . .
Iran imezuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ya Instagram na WhatsApp huku kukiwa na maandamano ya kupinga kifo cha mwanamke aliyekuwa chini ya ulinzi wa polisi kwa mujibu wa wakaazi na shirika la . . .
Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema magonjwa yasiyoambukiza kama saratani, kisukari na matatizo ya moyo yamechangia asilimia 74 ya vifo vyote duniani, na kushauri kuwa kupambana na maradhi hayo k . . .
Msumbiji na Tanzania Septemba 21, 2022 zimesaini mikataba miwili ya ushirikiano mjini Maputo inayolenga kupambana na ugaidi na uhalifu.Msumbiji kwa sasa inapambana na wanamgambo wa Kiislamu katika ene . . .
Kazakhstan imetangaza leo kuwa itafanya uchaguzi wa mapema wa rais mnamo Novemba 20 unaolenga kuufanyia ilichokiita "mageuzi makubwa" mfumo wa kisiasa wa taifa hilo la uliokuwa Muungano wa Kisovieti. . . .
Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji katika mipaka ya nchi na viwanja vya ndege kupitia mikakati sita ili kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliotangazwa nchini Uganda jana . . .
MKUU wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna, Mary Nzuki amewataka Askari Polisi wanaofanya kazi Dawati la Usalama Wetu kwanza kuwapa elimu ya afya ya akili na msaada . . .
Mwili wa Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Paul Rupia anatarajiwa kuzikwa Ijumaa hii ya Septemba 23, 2022 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Balozi Rupia alifariki dunia Septem . . .
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya Ulimwenguni (WHO), limesema takwimu zinaonesha kuwa, takriban Mwanamke mmoja kati ya watano atapata tatizo la afya ya akili wakati wa ujauzito au mwaka mmoja baada . . .
Ethiopia imeikataa ripoti ya wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanaoituhumu kwa uwezekano wa kuendelea kwa vitendo vya uhalifu dhidi ya ubinadamu katika eneo linalokabiliwa na vita la Tigray, ikiwa ni pa . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amepangwa kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York Jumatano wakati akitarajia kuangazia juhudi za utawala wake katika kukabiliana na ukosefu wa usalama . . .
KATIKA tathimini ya kutisha, mkuu wa Umoja wa Mataifa amewaonya viongozi wa dunia kwamba mataifa yamekwama katika hali mbaya ya utendaji kazi duniani na hayako tayari kukabiliana na changamoto zinazot . . .
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Maputo nchini Msumbiji kuanza ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini humo.Taarifa iliyotolewa leo Jumatano, Septemba 21, 2022 na Kurugenzi ya ma . . .