KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA MZEE NYAMKA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI KWA JESHI LA POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI, ZIMAMOTO NA UOKOAJI

KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Mzee Ramadhani Nyamka Septemba 26, 2022, jijini Dodoma akila kiapo cha uadilifu mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, Mhe. Gerson Mdemu kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi kwa Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii