Mchezaji wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota, amefariki dunia kwa ajali ya gari nchini Hispania akiwa na umri wa miaka 28.Kwa mujibu wa vyombo mba . . .
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Borrusia Dortmund Jobe Belligham,atakosekana kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la dunia la vilabu dhidi ya Real Madrid utakaopigwa kw . . .
Mke wangu aliniacha nilipofungiwa kucheza soka na kupoteza umaarufu wangu. Alikuwepo tu kwa ajili ya pesa na umaarufu.” Paul Pogba”“Niligundua jinsi nilivyo tupu na . . .
“Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, imeipa Yanga sehemu ya ardhi yake hapa Jangwani kwa ajili ya kujen . . .
Juni 29, Young Africans watakuwa wenyeji wa Singida Black Stars katika michuano ya Kombe la Shirikisho Tanzania. Mechi itaanza saa 21:15 saa za eneo lako.Kivutio kinageuk . . .
KOCHA wa zamani wa timu ya taifa ya soka, Harambee Stars, Robert Otiti, na mkufunzi wa ndondi katika ukumbi wa Muthurwa na Makongeni, Suleiman Bilali, Alhamisi walifikish . . .
Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amesema kuwa kikosi hicho kinahitaji maboresho baada ya kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara kikiwa nafasi ya pili kwa alama 78, nyuma ya . . .
Nyota wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, amepewa mkataba wa kipekee na klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia, ambao unatajwa kuwa miongoni mwa mikataba ya gharama kubwa zaid . . .
Juni 26, 2025 – Timu za soka kutoka bara la Afrika zimehitimisha safari yao mapema katika michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025, baada ya kushindwa kuvuka hatua za . . .
Kocha wa klabu ya WYDAD AC Mohamed Amin Benhashem, na daktari wa timu Abdel -razzaq Haifti wamepata ajali Mbaya ya Barabarani huko Washington, Marekani.Kocha huyo . . .
AS Monaco imefikia makubaliano na Barcelona ya kumsajili winga wake Ansu Fati kwa mkopo wenye chagua la kumnunua moja kwa moja Ansu Fati atasaini mkataba mpya na Bar . . .
Klabu ya Olympique Lyon Rasmi imeshushwa daraja kutoka Ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) hadi Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) lakini bado wanaruhusiwa kukata rufaa juu ya uamu . . .
Waamuzi wa mchezo wa Derby kati ya Yanga SC vs Simba SC wanatoka Misri na Somalia.Mwamuzi wa kati - Amin Mohamed Amin Omary (Misri)Ass Referee 1 - Mahmoud Ahmed Abo . . .
Shai Gilgeous-Alexander mchezaji nyota wa timu ya The Oklahoma City Thunder ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ya ligi ya mpira wa kikapu Marekani NBA (NBA Final . . .
MGOMBEA urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Shija Richard anatarajia kuwasilisha barua rasmi Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Kamati ya Rufani ya Uchag . . .
NYOTA wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa, Taifa Stars, Ally Mayay Tembele, ametangaza rasmi nia ya kuwania nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanza . . .
Kamati ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeitupilia mbali rufaa iliyokatwa na Guinea ikipinga uamuzi uliofanywa na kamati ya nidhamu ya Shirikisho h . . .
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatangaza Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini Tanga.Nafasi zinazogombewa ni Rai . . .
Tottenham Hotspur imemtangaza kocha Thomas Frank kuwa meneja wake mkuu kuchukua mikoba ya Age Postecoglou aliyetimuliwa hivi karibuni baada ya kuiongoza timu hiyo kutwaa . . .
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amesema serikali haiwezi kuingilia mgogoro unaoendelea kuhusu mechi ya Darby kati ya Simba na Yanga kutok . . .
Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC umetangaza rasmi kuwa hautashiriki mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Simba SC uliopangwa kufanyika tarehe 15 Juni, 2025. Kupitia t . . .
Serikali imesema bado iko kwenye mpango madhubuti wa kuhakikisha uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza unakarabatiwa na kukamilisha idadi ya viwanja vitano vilivyotengwa kwa ajil . . .
KLABU ya Yanga imefikia makubaliano mazuri ya kumuongezea mkataba mwingine beki na nahodha wake msaidizi, Dickson ‘Dick’ Job.Inealezwa makubaliano hayo yaliyofikiwa y . . .
KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, ametaja kikosi cha nyota 28 kwa ajili ya kujiwinda na mechi ya kimataifa ya kirafiki d . . .
KIUNGO wa Liverpool Ryan Gravenberch ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa Msimu wa Ligi Kuu England (EPL) 2024-25.Mholanzi huyo amepewa heshima hiyo kutokana na kiw . . .
KATIKA raundi ya 26 ya Ligi Kuu England, Liverpool waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Manchester City kwenye dimba la Etihad, kwa mabao ya Mohamed Salah na Domini . . .
BADO ni suala la muda tu kabla ya Matheus Cunha kuwa mchezaji mpya wa Manchester United.Nyota huyo wa Wolves amekubali kujiunga na United na tayari ametoa mwanga wa kijan . . .
Ushindi wa Liverpool waleta balaa nchini Uingereza Jeshi la Polisi Merseyside limesema mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 53 amekamatwa baada ya gari kugonga watembea kw . . .
Klabu ya Simba SC ya Tanzaniaimefanikiwa kushika nafasi ya pili katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) msimu wa 2024/25, baada ya kutoka sa . . .
Kuelekea fainali ya UEFA Europa League hapo kesho Jumatano Mei 21 kwenye Uwanja wa San Mames Marria, Bilbao, Spain, majira ya Saa Nne kamili usiku, klabu ya Man United im . . .
Kutokana na mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Simba Sc Vs Rs Berkans, CAF wahimiza mchezo huo kuchezewa katika uwanja wa New Amani Zanzibar kwa sababu mbalimbali z . . .
Mshambuliaji Marcus Rashford akubali kupunguziwa mshahara wake ili kupewa fursa ya kuhama Manchester United kwenda Barcelona, Mshambulizi wa Manchester United na Mui . . .
Taarifa za majonzi zimeikumba klabu ya Yanga pamoja na mashabiki wa soka nchini Tanzania baada ya mshambuliaji wao, Prince Mpumelele Dube, kutangaza msiba wa mwanawe mpen . . .