logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 27, 2023

Wamtimua Mario Balotelli Uwanjani na Kuchoma Jezi Yake Kufuatia Kichapo

Katika video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, jezi ya Balotelli iliteketezwa huku mashabiki waliokula mori wakiondoka uwanjani kabla ya mechi kumalizika. Kw . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • February 23, 2023

Mwanasoka Wa Zamani Wa Man-United, John O’Shea Ateuliwa Kuwa Kocha Msaidizi Wa Jamhuri Ya Ireland

BEKI wa zamani wa Manchester United, John O’Shea, ameteuliwa kuwa kocha msaidizi katika timu ya taifa ya Jamhuri ya Ireland ambayo sasa inanolewa na mkufunzi Stephen Ke . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 22, 2023

Thamani Ya Staa Wa Manchester City Erling Haaland Kwa Sasa Ni Euro Bilioni 1

Thamani ya staa wa Manchester City, Erling Haaland kwa sasa ni euro bilioni 1. Haya yameelezwa na wakala wa staa huyo, Rafaela Primenta ambaye anamsimamia Haaland na m . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 21, 2023

Robertinho Hasira zote kwa Azam FC

Kocha cha Simba juzi kilipoteza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Raja Casablanca na kocha Roberto Oliveira 'Robertinho' akifichua kilichowaponza, lakini akawa mo . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 20, 2023

Rais Young Africans Amshukuru Rais Samia

Rais wa Klabu ya Young Africans Injinia Hersi Said amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza ahadi yake.Rais Samia aliahidi kun . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 9, 2023

Man City Hatihati Kushushwa Daraja Kutoka Ligi Kuu Ya England Au Kukatwa Pointi

MANCHESTER City huenda ikakabiliwa na adhabu ya kushushwa daraja kutoka Ligi Kuu ya England au kukatwa pointi kwa kosa la kuvunja sheria za fedha zaidi ya mara 100 kuhusu . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 8, 2023

Fainali za Kombe la Dunia kurudi zilikoanzia

Nchi za Argentina, Chile, Paraguay na Uruguay kwa pamoja zimewasilisha rasmi maombi/zabuni ya ya kutaka kuwa wenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia 2030.Nchi hizo nne za Am . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 7, 2023

Man City yashikwa Pabaya, Kutimuliwa Ligi Kuu Kama Mwizi

Bodi ya Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ imeishtaki Klabu ya Manchester City kwa ukiukaji zaidi ya 100 wa sheria zake za kifedha kufuatia uchunguzi wa miaka minne . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 6, 2023

Robertinho akubali uwezo wa Chama

Kocha Mkuu wa Simba C Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amempigia Saluti Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Clatous Chotta Chama kwa kiwango kizuri alichokionesha . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 3, 2023

Beki US Monastir amuhofia Fiston Mayele

Beki wa US Monastir ya Tunisia Ousmane Adama Ouattara amesema, wapo tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wa kwanza Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya M . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

BEKI WA KAZI SIMBA AREJEA

HENOCK Inonga, beki wa Simba amerejea kwenye uimara wake taratibu baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons.Katika mchezo huo wa ligi Inonga . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 2, 2023

Robertinho aanika ramani ya Ubingwa

Kocha Mkuu Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema, ili kufanikisha ndoto za kutwaa ubingwa msimu huu 2022/23 kwa klabu hiyo, ni lazima kikosi chake kishinde m . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 31, 2023

ALONSO ATAJWA KUMRITHI KLOPP LIVERPOOL

Inasemwa  kuwa, licha ya kuzungumzia mafanikio ya Jurgen Klopp ndani ya Liverpool, lakini mambo yanaweza kubadilika wakati wowote kikosini hapo na nafasi yake ik . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • January 31, 2023

HUU HAPA UZI MPYA WA YANGA KIMATAIFA

JANUARI 30,2023 Yanga imezindua uzi wao mpya kwa ajili ya mechi za kimataifa ikiwa imetinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Timu hiyo inayonolewa na Ko . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 30, 2023

Wanafaidi Matunda ya Kumvumilia Arteta

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anaamini kuwa viongozi wa Ligi Kuu ya Uingereza Arsenal sasa wanafaidi matunda ya kumvumilia Mikel Arteta kama kocha wao kwa miaka . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 30, 2023

Fenabahce kumpiga bei Samatta, Al Ahly

Miamba ya Soka nchini Misri Al Ahly imeendelea kutajwa kuwa kwenye mpango wa kumsajili Mshambuliaji na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Ally . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 29, 2023

Manzoki avunja ukimya Dar es salaam

anaipenda klabu hiyo ya Msimbazi na ataitumikia siku moja.Manzoki amesema anajua kuna baadhi ya watu waliwahi kumuhusisha na mpango wa kusajiliwa na timu inayovaa rangi y . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 25, 2023

USAJILI WA NYOTA WA ZAMANI WA YANGA NA NAMUNGO ACHA TU

MIONGONI mwa taarifa ambazo zilikuwa na sarakasi nyingi ni pamoja usajili wa nyota Mohamed Issa Banka kuibuka ndani ya Ruvu Shooting na kabla ya kuanza kucheza mkatab . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 19, 2023

HII NDIO MIPANGO YA YANGA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho amewaambia wachezaji wake ni kucheza kwa umakini kila mechi.Timu hiyo imekuwa kwenye mwendo bora msimu h . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 18, 2023

IHEFU YATAMBULISHA WATAMBULISHA WACHEZAJI WAWILI

 Nelson Okwa ambaye ni mali ya Simba kaibuka ndani ya kikosi cha Ihefu chenye maskani yake Mbeya, nyanda za juu Kusini. Hakuwa na msimu mzuri ndani ya Simba ingizo . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 17, 2023

Kocha Nabi awakataa Fei Toto, Morrison

Kocha Mkuu wa Mabingwa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Mohammed Nabi ni kama amewakataa viungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Bernard Morisson ambao wameshin . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 16, 2023

Kipa Metacha Mnata awaomba radhi Yanga Baada ya Kurudi

Mlinda Lango Metacha Mnata amewaomba radhi Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Young Africans, baada ya kusajiliwa kwa mkopo klabuni hapo.Metacha amerudi Young Africans ak . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 12, 2023

Yanga Yatangaza Kumuuza Fei Toto

UONGOZI wa Yanga, umeweka bayana kuwa, wapo tayari kumuuza kiungo wao, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na mchezaji mwingine yeyote kwenye timu hiyo kama tu utaratibu utafuatw . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 12, 2023

Kocha Graham Potter Akiri Chelsea Ndiyo Kazi Ngumu Zaidi Katika Soka

Kocha Graham Potter anadai kuwa ana kibarua kigumu zaidi katika taaluma yake ya soka huku mazimwi ya majeraha ikivamia klabu ya Chelsea. Kikosi cha Potter kwa sasa k . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 11, 2023

Philemon Mulala Auawa na Mbwa Wake 3 Afrika Kusini

Nyota wa zamani wa Chipolopolo, Philemon Mulala ameuawa na mbwa wake watatu nyumbani kwake Lichtenburg, Afrika Kusini. Mulala aliumwa na mbwa hao alipotoka nje kuchu . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 10, 2023

Juma mgunda "Namheshimu Big Brother Robertinho"

Kocha Mkuu mpya, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ jana kimeanza mazoezi huko Dubai Dubai kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi ya Mabi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 9, 2023

SINGIDA BIG STARS YATINGA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

SINGIDA Big Stars wana jambo lao ndani ya Kombe la Mapinduzi kutokana na kasi yao mbele za vigogo wanaokutana nao.Inakuwa timu ya kwanza kwenye makundi msimu huu kushusha . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 8, 2023

Arsenal Yafunguliwa Mashtaka Kuhusu Mwenendo wa Wachezaji Wake

Klabu ya Arsenal imefunguliwa mashtaka na Shirikisho la Soka nchini Uingereza (FA) kuhusu mwenendo wa wachezaji wake katika mechi yao ya Ligi Kuu ya Uingereza na Newcastl . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 6, 2023

KOCHA JUMA MGUNDA AKIRI ALITELEZA

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa aliteleza kwenye maelezo wakati akizingumza kuhusu suala la kutetea ubingwa wa timu hiyo.Kwenye mchezo wa ufunguzi dhidi ya . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 4, 2023

Ronaldo akataa kupendelewa ndani ya Al Nassr

Rais wa Klabu ya Al Nassr, Musalli Al Muammar amesema kuwa staa wa timu hiyo Cristiano Ronaldo ameomba atendewe sawa na wachezaji wenzake ndani ya kikosi, asipendelewe. . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 3, 2023

Messi na Cristiano itakuwa mechi yao ya mwisho kukutana 2023 ?

Paris Saint-Germain ikiwa na Lionel Messi itasafiri hadi Saudi Arabia kwajili ya mchezo wa kirafiki  Januari 19 dhidi ya kikosi kitakachojumuisha wachezaji wa Klabu . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 3, 2023

Rais wa FIFA" Tutaomba kila nchi kutaja jina la Pele kweny mmoja ya viwanja vyao"

nyota wa Brazil ambaye alishinda Kombe la Dunia mara tatu na kufunga zaidi ya mabao 1,000, alifariki Alhamisi iliyopita akiwa na umri wa miaka 82. Infantino, ambaye yuk . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 30, 2022

Yanga"Feisal Ametoroka Kambini Hatujui Alipo"

Sakata la mchezaji wa Yanga SC, Feisal Salum (Feitoto) lazidi kuchukua sura mpya tangu tetesi za kuhusishwa kuondoka Young Africans Sports na kujiunga na Azam FC.“Feisa . . .

Kurasa 12 ya 21

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • SABABU ZA HECHE KUNYIMWA UWANJA WA FURAHISHA MWANZA

    • 7 masaa yaliopita
  • RASMI CARLO ANCELOTTI KOCHA MPYA BRAZIL

    • 8 masaa yaliopita
  • XABI ALONSO KUANZA KUIFUNDISHA MADRID KOMBE LA DUNIA

    • 10 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode