Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump alithibitisha Jumapili kwamba hatashiriki mdahalo wa kwanza wa urais wa Jumatano wa chama chake cha Republican."Wamarekani wanajua mimi ni nani na kwamba . . .
Muungano wa vyama saba vya kisiasa nchini Afrika Kusini umesaini makubaliano ya ushirikiano yanayolenga kukiondoa chama tawala cha ANC katika uchaguzi mkuu wa mwak wa 2024.Kwa mujibu wa makubaliano ha . . .
Wanajeshi wamedai kuipindua serikali ya Niger siku ya Alhamisi kufuatia mapinduzi ya dhahiri katika nchi hiyo tete baada ya walinzi wa Rais kumzuia Rais Mohamed Bazoum.Kikosi maalum cha walinzi wa rai . . .
Chama tawala cha Waziri mkuu wa Cambodia Hun Sen kinadai kuwa kimeshinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa Jumapili na kupata karibu viti vyote 125 bungeni.Chama tawala cha Waziri mkuu wa Cambodia . . .
Wapiga kura wa Uhispania walielekea kwenye uchaguzi Jumapili ili kuamua iwapo watampa Waziri Mkuu wa Kisoshalisti Pedro Sanchez mamlaka mapya ya miaka minne au, kama kura za maoni zinapendekeza, kumre . . .
"Ukiwa Rais ni lazima uwe makini sana kwa sababu mazingira unayoishi ni unatoka kuwa mtu wa kawaida na kuwa mtu ambaye kila mmoja anakupigia magoti, kama hautakuwa makini hali hiyo inaweza kukupanda k . . .
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imekitaka Chama cha Tanzania Labpour Party (TLP), kuitisha uchaguzi wa kujaza nafasi ya mwenyekiti wake taifa, iliyoachwa wazi na Augustino Mrema, aliyefariki duni . . .
Bongo mwenye umri wa miaka 64, ambaye alipatwa na kiharusi miaka mitano iliyopita, amekuwa akizungumziwa kuhusu afya yake ikichochewa zaidi na kutoonekana kwake kwa umma au katika shughuli zinazotanga . . .
Gabon ni nchi yenye utajiri wa mafuta itaandaa uchaguzi wa rais, wabunge na serikali za mitaa mnamo Agosti 26, nchi hiyo ya Afrika Magharibi ilisema Jumanne, huku Rais Ali Bongo Ondimba akipewa nafasi . . .
Mwenyekiti wa ngome ya vijana wa chana cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo, amesema kwamba anawakaribisha wananchi katika maandamano ya amani yatakayofanyika kesho Aprili 18, 2023, yatakayoanzia Manzese ku . . .
Serikali ya rais wa Kenya William Ruto, Jumanne, imewatangaza wabunge saba wa Kenya Kwanza watakao shiriki katika mazungumzo na upinzani unaoongozwa Raila Odinga ili kumaliza uhasama wa kisiasa kati y . . .
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeitaka serikali kuunda tume ya kijaji kushughulikia sakata la Plea Bargaining ambalo limetajwa kwenye ripoti ya CAG kuwa zoezi hilo liliendeshwa kwa . . .
Serikali ya Sieraa Leone Jumatatu imetangaza kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ya mitaani ambayo kwa muda mrefu imetumika kwenye kampeni za uchaguzi, ikiwa imebaki chini ya miezi mitatu kabla ya uch . . .
Rais mteule wa Nigeria, Asiwaju Bola Tinubu ameelezea hofu yake kuhusu njama za baadhi ya wapinzani wake aliowashinda katika uchaguzi Mkuu kutaka kusitisha mchakato wa mpito na maandalizi ya kuapishwa . . .
Wanasiasa wa upinzani nchini Kenya, wamesisitiza kuendelea na maandamano ya kitaifa Yatakayo hitimishwa siku ya Jumatatu ijayo (Machi 20, 2023), jijini Nairobi ambayo yanalenga kufikisha ujumbe wao wa . . .
Rais wa China, Xi Jinping amechaguliwa tena kwa kauli moja kuwa rais wa Taifa hilo hi leo Ijumaa Machi 10, katika kura ya wabunge na ataongoza China kwa muhula wa tatu wa miaka mitano, jambo ambalo ha . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amerejea nchini na kupokelewa na wafuasi wa chama hicho, ndugu na marafiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kiliman . . .
Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Asiwaju Bola Ahmed Tinubu wa chama tawala cha All Progressives Congress (APC), ndiye mshindi wa Uchaguzi wa Urais wa Nigeria wa 2023.Mweny . . .
Jumuiya ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) ilisema Jumatatu kwamba Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi Nigeria (INEC) ilishindwa katika ahadi zake kadhaa ikiwa ni pamoja na kuchelewa na ku . . .
Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Corneille Nangaa alizindua chama chake cha kisiasa, miezi kadhaa kabla ya uchaguzi unaotarajiwa mwezi Disemba.Baada ya kuzi . . .
Mgombea Urais wa Chama cha All Progressives Congress (APC), Asiwaju Bola Ahmed Tinubu kwa sasa anaongoza dhidi ya wagombea wa vyama vingine vya kisiasa katika Jimbo la Ogun, kutokana na matokeo ya uch . . .
Kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amesema serikali tawala ya Kenya Kwanza inanuia kurejesha Kenya katika enzi za mfumo wa chama kimoja ambacho kilikuwepo wakati wa utawala wa Rais Moi.Kupitia . . .
Jeshi la Uganda limekanusha tuhuma za kumteka nyara na kumtesa mwanaharakati wa upinzani, siku moja baada ya picha kuibuka zikimuonesha mwathiriwa akiwa na alama za mateso zinazoonekana kifuani mwake. . . .
Kiongozi Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amewataka Wakenya kususia kulipa kodi ambayo imeongezeka maradufu tangu kuingia kwa utawala wa Rais William Ruto, huku akitaka matokeo ya uchaguzi wa . . .
Tume ya uchaguzi nchini Nigeria Jumatatu imesema uchaguzi mkuu wa mwishoni mwa mwezi Februari unaweza kufutwa au kuahirishwa ikiwa ukosefu wa usalama hautashughulikiwa.Rais Muhammadu Buhari ambaye ata . . .