Israel yafanya vizuri kwenye Vita kuliko Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa kwasasa Israel inafanya vizuri katika masuala ya vita ukilinganisha na Iran ambayo inafanya vizuri kidogo.

Kauli ya Donald Trump inafutatia baada ya kutoa wiki mbili kwa Iran kusitisha Vita dhidi ya Israel kwa kile alichotishia kuwa huwenda Marekani nayo ikajiunga katika katika vita hiyo.

Ni vigumu sana kuacha unapoitazama. Israel inafanya vizuri katika masuala ya vita na nadhani utalazimika kusema Iran inafanya vizuri kidogo. Ni vigumu kidogo kupata mtu wa kuacha,

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii