Mwanamke aliyetoweka baada ya mumewe kuuawa kikatili walipokuwa kwenye fungate yao amekamatwa baada ya kujisalimisha kwa polisi nchini. Familia za wanandoa hao zilidai kuwa bibi harusi pia alikuwa am . . .
Mtoto mchanga mwenye jinsi ya kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa wiki mbili, amekutwa ametelekezwa njiani eneo la Kituo cha Mabasi Bweri mkoani Mara na mama yake mzazi ambaye hakuweza kufahamika, kis . . .
Mchungaji na waumini wa kanisa la ACK All Saints Church eneo la Gatwe, kaunti ya Kirinyaga, wamekumbwa na mshtuko baada ya majambazi kuvamia kanisa hilo na kuchukua vitu kadhaa vya thamani. Wezi . . .
Baadhi ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Halmashauri ya Songea yameungua kwa Moto ikiwemo Mabweni ya Wanafunzi wa kike na Stoo ambapo imelidai kuwa moto huo umeto . . .
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumanne Juni 10, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi dhidi ya kesi ya mgogoro wa rasilimali ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kesi hiyo imef . . .
Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS) nchini Kenya imewasimamisha kazi maafisa watano walioko katika kituo kikuu cha polisi mjini Nairobi kuhusiana na kifo cha Albert Omondi Ojwang ambaye aliaga dunia aki . . .
Wakati viongozi wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) wakitua mkoani Kigoma kwa ajili ya mikutano mitatu kunadi operesheni ya Chauma For Change (C4C), Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama . . .
Shirika la ulinzi wa raia wa Gaza limesema mashambulizi ya Israel siku ya jana Jumapili yamewaua takriban watu 10 wakiwemo wasichana wawili katika Ukanda huo. Msemaji wa shirika hilo Mahmud Bas . . .
Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS) nchini Kenya imewasimamisha kazi Maafisa watano walioko katika Kituo Kikuu cha Polisi mjini Nairobi kuhusiana na kifo cha Albert Omondi Ojwang ambaye alifariki dunia . . .
Maandamano yamezidi kupamba moto kwa siku ya tatu huko Los Angeles, ambako waandamanaji wanaopinga sera za uhamiaji za Rais wa Marekani Donald Trump wamekabiliana na maafisa wa usalama. Wanajeshi wa . . .
Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea usiku wa kuamkia usiku wa kuamkia leo Juni 8, 2025 katika eneo la Mlima Iwambi mkoani Mbeya.Kwa mujibu wa mashuhuda, ajali hiyo ime . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya Limeyafungia makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa Wilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe na Kyela.Hii ni kufuatia tam . . .
Zaidi ya watu 98 bado hawajulikani walipo juma moja baada ya mafuriko kuwaua watu 160 katika jiji cha Mokwa nchini Nigeria, idara ya majanga nchini humo imesema.Idara ya majanga nchini Nigeria&nb . . .
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Odilo Anania Sumi (80), fundi ujenzi mkongwe, amekutwa amefariki dunia katika eneo la makaburi ya Kola, Manispaa ya Morogoro, huku mwili wake ukiwa umeharibika . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya Limeyafungia makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa Wilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe na Kyela. Hii ni kufuatia t . . .
Wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano, huku 64,323 wakichaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu ya ufundi na ualimu. Jumla ya wanafunzi 214,141 waki . . .
Kutokana na tangazo la Donald Trump kufuta nchini 12 kuingia nchini Marekani ikiwemo nchi ya Chad rais wa Chad Mahamat Idriss Deby maarufu Jenerali Kaka amesema Chad haina mabilioni ya fed . . .
Urafiki wa Rais wa Marekani Donald Trump na mfanyabiashara tajiri zaidi duniani Elon Musk, sasa unaonekana kumalizika baada ya wawili hao kutupiana cheche za maneno makali kwenye mitandao ya kijamii. . . .
Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68, kutokana na chama chake cha kisiasa kuripoti taarifa ya kifo chake. Huku ikisema kuwa alikuwa akipokea matibabu maalum . . .
Mmiliki wa nyumba huko Githurai 44, kaunti ya Nairobi, anashutumiwa baada ya kudaiwa kuziba mfumo wa mifereji ya vyoo, na kusababisha mtiririko wa maji machafu kwenye nyumba ya mpangaji wake.Mpangaji . . .
Mtanzania aliyejulikana kwa jina la Iqbal Baghdad amefariki akiwa nchini Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Hijja. Hujaji huyo amefariki jana katika mji wa Madina kabla ya kuanza kwa Manasiq yaan . . .
Waumini 84 kati ya 86 waliokamatwa katika Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, wameachiwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa kwa muda ambapo wakituhumiwa kukiuka maagizo ya . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini tangazo la kupiga marufuku Raia wa Mataifa 12 kuingia nchini humo akitaja sababu kuwa ni kulinda usalama wa Taifa, Vyombo vya habari vva nchini Marekani vime . . .
Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Halla, wilayani Babati, mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali, tukio ambalo limezua masikitiko makubwa miongoni mwa familia . . .