KALAMENI alishangaza watu alipofichua kuwa alijifanya mgonjwa ili akutane na nesi mmoja amrushie mistari.Jamaa huyo anadai lengo lake lilikuwa kukutana na nesi huyo ili apate nafasi ya kumweleza . . .
Baada ya kukutana na mwanamke kwenye mtandao wa kijamii, Muhammed alimpenda sana na kuchukua hatua kubwa ya kuwatembelea wazazi wake na kulipa mahari.Hata hivyo, nia yake ya kumuoa mwanamke huyo ilivu . . .
Maombolezo ya kitaifa ya siku tatu yanaanza leo Alhamisi nchini Uhispania, nchi iliyokumbwa usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano na mafuriko mabaya zaidi tangu miaka ya 1980. Pedro Sanchez anatarajiwa ku . . .
Majaji walimtia hatiani kijana wa Indianapolis Raymond Ronald Lee Childs kwa kuua watu 6 wa Familia yake huku kukiwa na mzozo juu yake kuondoka nyumbani bila ruhusa.Raymond Ronald Lee Childs anashtaki . . .
Sherehe ya harusi iliyofanyika siku ya Jumamosi Oktoba 26 Nchini Cameroon imegeuka kuwa vilio na huzuni baada ya Bibi harusi anayejulikana kama Sorelle Manuella kuanguka akiwa anaimba na kucheza wimbo . . .
Wanawake na watoto karibia Elfu Moja wanaohitaji huduma za kimatibabu wanatarajiwa kuondolewa katika Ukanda wa Gaza na kupelekwa barani Ulaya kutibiwa, kwa mujibu wa WHO barani Ulaya.Taarifa ya Hans K . . .
Geremiah Kwang (32) mkazi wa Kijiji cha Orkitikiti wilayani Kiteto mkoani Manyara amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.Katika tuhuma h . . .
Kwa mujibu Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo, Mariam alitoweka baada ya kutumwa dukani asubuhi, jambo lililosababisha Wazazi wake waanze kumtafutaBaada ya uchunguzi, wat . . .
Familia moja katika eneo bunge la Bumula kaunti ya Bungoma imejawa na majonzi kufuatia kufariki kwa mwanao baada ya kuokota kilipuzi cha kuchimba madini kimakosa.Mwanafunzi wa Shule ya Upili ya St. Ki . . .
Baba wa familia na mkazi wa barabara ya nne jijini Tanga Alii Bagidad (60) mwenye asili ya Kiasia ambaye mke wake pamoja na dada wa kazi walikutwa wamenyongwa pamoja na kutobolewa macho yao wiki iliyo . . .
Papa Francis atawateuwa makadinali wapya 21 kutoka duniani kote, alisema hayo Jumapili, katika hatua ambayo haikutarajiwa kushawishi kundi hilo lenye nguvu la watu wa kanisa ambao siku moja watamchagu . . .
Polisi huko Makueni wameanzisha uchunguzi kufuatia mauaji ya kutisha ya mwanamume wa makamo na jamaa. inadaiwa alimuua kaka yake katika kijiji cha Malivini, Makindu, baada ya kutofautiana k . . .
Watu wawili ambao ni mke na mume wamefariki dunia baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe kisha naye kujiua katika Kijiji cha Njirii Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni Mkoani Singida huku chanzo kikidai . . .
Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba katik . . .
Jeshi la Israel limesema Jumatano kwamba wanajeshi wake 8 wameuwawa kwenye mapigano yanayoendelea dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah, kusini mwa Lebanon, siku moja baada ya kuanza kile kilochotajwa kuwa . . .
Watu wanne wamefariki dunia, na wengine 15 kujeruhiwa baada ya kutokea kwa ajali ya basi la Kapricon lenye namba za usajili T605 DJR, ambalo liliacha njia na kupinduka.Akithibitisha kutokea kwa tukio . . .
Mahakama ya wilaya ya Momba leo Oktoba 2, 2024 imemhukumu miaka 30 jela Bahati Sichalwe mwenye umri wa miaka 33 mkazi wa kijiji cha Chiwanda wilayani Momba mkoani Songwe kwa kosa la kumbaka bibi wa mi . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Oktoba 1, 2024 imetupilia mbali maombi ya Serikali yaliyowasilishwa wiki iliyopita juu ya kiapo cha ziada kupinga dhamana ya mgombea uenyekiti Kanda ya Pwani, Bonif . . .
Idadi ya watu waliokufa nchini Nepal kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyotokana na mvua kubwa mwishoni mwa wiki, imefikia 193, wakati shughuli za uokozi zikiimarishwa Jumatatu.Vifo vingi . . .
Majimbo ya kusini mashariki mwa Marekani yanaendelea kukabiliana na vifo pamoja na ukosefu wa vifaa muhimu kwenye maeneo ya ndani, huku nyumba zikiharibiwa kutokana na kimbunga Helene, ambacho m . . .
Takriban watu 101 wamefariki na wengine 64 hawajulikani walipo nchini Nepal, kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa, hasa katika mji mkuu Kathmandu, kulingana na ripot . . .
Familia ya mwenyekiti wa kwanza wa Halmashauri ya Mji wa Siaya, Mzee John Oruenjo Umidha, imefichua kuwa atazikwa ndani ya nyumba yake. mwanae Koruenjo, wamechimba kaburi kwa ajili ya kujiandaa k . . .
Umoja wa Ulaya ulitoa msaada wa euro milioni 5.4 kwa nchi sita za Afrika Magharibi na Afrika ya Kati zilizokumbwa na mafuriko mabaya, ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini Chad ulisema Jumatano.Msaada huo w . . .
Mahakama ya wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimbani mkazi wa Mabwepande, Shembiu Shekilaghe(38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujiwasilisha kama yeye ni Jakaya Mrisho Kikwete . . .