Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi duniani - OPEC, raia wa Nigeria Mohammed Barkindo, amefariki dunia ghafla akiwa na umri wa miaka 63. Kifo hicho kimetangazwa na afisa . . .
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson atakabiliwa na maswali bungeni Jumatano na baada ya hapo adadisiwe na wakuu wa kamati za bunge huku wadhfa wake wa waziri mkuu ukiwa hatarani.Hii ni kufuatia . . .
Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wila . . .
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson alikuwa akipigania uhai wake wa kisiasa siku ya Jumanne baada ya Waziri wa Fedha Rishi Sunak, na waziri mwingine mwandamizi kujiuzulu ghafla kutokana na ka . . .
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kwamba amejiandaa kwa mabaya wakati uhusiano kati ya nchi yake na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ukiendelea kuharibika, lakini anaitakia Congo mazuri namna a . . .
Mtandao wa Wabunge Vinara wa Mapambano dhidi ya Kifua Kikuu wametakiwa kuendelea kutoa elimu kuhusu ugonjwa huo wanaporudi majimboniHayo yamesemwa na Naibu Mwenyekiti Mhe. Sebastian Kapufi wakat . . .
Jeshi nchini Uganda, limekanusha taarifa ya baadhi ya vyombo vya habari vya Ethiopia, kwamba serikali ya Uganda inaunga mkono waasi wa jimbo la Tigray, kuipindua serikali ya . . .
Viongozi wa Afrika Magharibi waliokuwa wakihudhuria mkutano wa kilele wa kanda hiyo wameamua kuziondolea vikwazo vyote vya kifedha na kiuchumi Mali na Burkina Faso.Haya yamesemwa na Jean Claude Ka . . .
Rais wa China, Xi Jinping leo amemwapisha kiongozi mpya wa Hong Kong huku akionya kuwa China haitavumilia upinzani wowote dhidi ya mamlaka yake katika eneo hili.Kiongozi huyo ni wa kwanza mwanamke . . .
Tunisia siku ya Alhamis ilichapisha rasimu ya katiba mpya inayompa Rais mamlaka makubwa zaidi rasimu hiyo inatazamiwa kupigiwa kura ya maoni Julai 25 mwaka mmoja baada ya Rais Kais Saied kunyaku . . .
SERIKALI imepanga kufanya msako dhidi ya makampuni yanayotafutia Wakenya ajira katika nchi za ughaibuni, hasa zile za Uarabuni. Kulingana na Waziri wa Leba, Bw Simon Chelugui, Wakenya takriban 97 w . . .
Polisi nchini Ghana walilazimika kuingilia kati kuyavunja maandamano ya kupinga kupanda kwa bei za mafuta, kodi ya malipo ya kielektroniki na ushuru mwingine wakati nchi hiyo ikikumbwa na mtikisik . . .
Uturuki imekubali kuondoa upinzani wake kwa Sweden na Finland kujiunga na Jumuiya ya Kujihami ya NATO, hatua inayomaliza mkwamo ambao ulikuwa umeiugubika ufunguzi wa mkutano wa kilele wa viongozi . . .
Mahakama moja ya Misri Jumanne imewahukumu kifo wanamgambo 10 wa kiislamu waliokutwa na hatia inayohusiana na vitendo vya ugaidi chanzo cha mahakama kimesema. Wanaume hao ambao walishtak . . .
Vyombo vya habari nchini Korea Kaskazini vimeripoti kuwa raia wa nchi hiyo wanaendelea na juhudi za kuyalinda mazao na vifaa vyao kufuatia mvua kubwa inayonyesha nchini humo. Waangalizi wa kimatai . . .
Maafisa wa polisi eneo la Mikindu, Kaunti ya Meru wameanzisha uchunguzi baada ya afisa mkuu wa polisi kupatikana akiwa amefariki dunia katika nyumba ya mpenzi wake Jumamosi, Juni 25.Sajenti mkuu Moses . . .
URUSI imeshindwa kulipa deni lake la kitaifa kwa mara ya kwanza katika karne moja iliyopita. Hali imetajwa kuchangiwa na vikwazo vingi vya kifedha ilivyowekewa na mataifa ya Magharibi. Taifa hilo li . . .
Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia na afisa mkuu wa chama cha Ennahdha chenye kufuata misingi ya kiislam, Hamadi Jebali aliachiliwa huru siku ya Jumatatu ikiwa ni siku ya nne baada ya kukamatwa kw . . .
Muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2022 unaoanza kujadiliwa leo umependekeza faini ya Sh100,000 kwa kampuni itakayoshindwa kuwasilisha taarifa za wamiliki wanufaika au kuwasilisha ritani.Adhabu . . .
Viongozi wa nchi 7 tajiri duniani wameahidi kutenga kiasi cha dola bilioni 600 kwa ajili ya kujenga miundo mbinu ya kupamabana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi. Mradi huo unazing . . .
“Hapa kuna watu wametoa ushuhuda na mimi nataka nitoe wangu. Mimi mwenzenu nilijiunga na EOTF mwaka 1997 nikiwa kama mmoja wa Bodi ya Wadhamini ni kiwa kijana kisichana machachari sana lakini ni . . .
Rais wa Niger Mohamed Bazoum siku ya Jumapili alipongeza maendeleo katika kupambana na Boko Haram na wapiganaji wa kundi la Islamic State West Africa Province akisema wanashinda vita hivi. Bazou . . .
Serikali imepunguza tozo ya ving’amuzi nchini kufikia Sh500 hadi Sh2000 kwa kadri ya matumizi ya mteja baada ya majadiliano na Kamati ya Bunge ya Bajeti.Kabla ya majadiliano hayo tozo iliyopen . . .
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma anapanga kupinga ripoti ya mahakama kuhusu uchunguzi wa ufisadi mwingi uliojitokeza katika utawala wake wa miaka tisa. Msemaji wa Zuma amewaambia waandis . . .
Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wa Morocco AMDH, wametaka uchunguzi ufanywe kufuatia vifo vya wahamiaji 23 wa kiafrika walipokuwa wakijaribu kuingia katika uzio wa Melilla nchini Uhispani . . .
Bunge la Somalia limemuidhinisha bila kupingwa Hamza Abdi Barre kuwa waziri mkuu wa 21 wa nchi hiyo. Wabunge wote 220 waliokuwemo bungeni walipiga kura na kuunga mkono uteuzi wa Barre. Kwenye hotu . . .
MARAIS wa Afrika Mashariki wameidhinisha kuundwa kwa kikosi maalum cha kudumisha amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Katika mkutano uliofanyika katika Ikulu ya Nairobi, marais ha . . .
Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS Prof. Dos Santos Silayo ametoa wito kwa wataalamu wa sekta ya misitu Barani Afrika kufanya tafiti na kuzichapisha kwenye machapi . . .
Kampuni ya nishati ya Glencore imekiri jana kutoa rushwa ya dola milioni 26.5 kwa mataifa matano ya Afrika katika juhudi zake za kupata mafuta na kutengeneza faida isiyo halali. Ofisi ya makosa ma . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amezungumza kwa simu na rais mpya wa Colombia Gustavo Petro hapo jana, na kuzungumzia ushirikiano katika masuala ya usalama, usafirishaji wa dawa za kulevya na mabadilik . . .