Maelfu ya watu katika nchi za Niger, Mali na Burkina Faso zinazoongozwa na serikali za kijeshi Jumanne waliandamana kuunga mkono uamuzi wa nchi hizo wa kujiondoa kwenye Jumuia ya kiuchumi ya nchi za A . . .
Kundi la waasi wa M23 Jumanne lilichukua udhibiti wa uwanja wa ndege wa mji wa Goma, chanzo cha usalama kimesema, kufuatia mapigano ya siku tatu ambayo yameua zaidi ya watu 100.Karibu watu 1,000 walij . . .
Maelfu ya Wapalestina walimiminika kuelekea Gaza city Jumatatu, huku Israel ikifungua vituo vya ukaguzi na kuwaruhusu watu kurejea katika maeneo ya kaskazini mwa eneo hilo ambalo lilikuwa limefungwa t . . .
Wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Kiislamu waliwaua wanajeshi 20 wa Nigeria, akiwemo kamanda mmoja, baada ya kushambulia kambi ya kijeshi katika mji wa mbali kaskazini mashariki mwa jimbo la . . .
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika – Misheni 300 ni kichocheo cha maendeleo ya nchi za Afrika na kichocheo cha utekelezaji . . .
Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amepongeza wanafunzi, walimu, na uongozi wa Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, kufuatia mafanikio makubwa ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jokate Mwegelo Gir . . .
Rais wa zamani wa Gambia Yahya Jammeh amesema ana nia ya kuchukua tena udhibiti wa chama chake cha siasa na kutangaza kwamba “anarudi nyumbani”, katika ujumbe wa sauti ambao shirika la habari la A . . .
Bunge la Iraq limepitisha sheria ya kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu . . .
Sudan Kusini Jumatano imeamuru kampuni zinazotoa huduma za intaneti kuzuia mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na TitTok, kufuatia maandamano yenye vurugu yaliyochochewa na vifo vya raia wake wiki i . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.Majaji hao walioapa hii leo Januari 22, 2025 ni-i. Jaji George M . . .
Nchini Ethiopia, wafugaji wa Afar, kaskazini mashariki mwa nchi, wanakataa kuhamishwa, licha ya hatari ya matetemeko mapya ya ardhi. Tangu mwanzoni mwa mwaka, eneo hili, pamoja na lile la Oromia, lime . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kujitoa kwa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), hatua iliyopokelewa kwa hisia tofauti miongoni mwa wananchi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa na . . .
"Huu ni mkutano wangu wa kwanza wa kichama tangu mwaka 2014, hii ni kwa sababu katika mkutano mkuu wa mwisho wa uchaguzi wa kichama uliofanyika mnamo tarehe 19 Desemba 2019 mimi nilikuwa natibiw . . .
Nchini Marekani leo ni siku Maalum ya Martin Luther King Jr (Jumatatu ya tatu mwezi Januari) kuheshimu mafanikio ya Martin Luther King, Jr. ambaye wakati ambao ubaguzi wa rangi ulikithiri kwa ki . . .
Siku mbili baada ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutoa rai kwa vijana nchini Kenya kupigania haki zao na utawala bora nchini Kenya, Rais William Ruto amemtuhumu mtangulizi wake huyo kuwachochea vijana . . .
Kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na wapiganaji wa Hamas wa Palestina, watu waliokuwa wakishikiliwa mateka kutoka pande zote mbili wameanza kuachiwa.Video mbalimbali zinaendele . . .
Sera ya Serikali ya kupiga marufuku elimu kwa Wanawake nchini Afghanistan, imekosolewa vikali na Kiongozi mkuu wa Taliban, Sher Abbas Stanikzai akisema huo ni ubinafsi na ni tafsiri ya sheria za Kiisl . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amepongeza juhudi na uongozi bora wa Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, katika kupeperusha bendera ya Chama . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Tedros Ghebreyesus, ameipongeza Tanzania kwa kuchukua hatua za haraka katika masuala ya afya mkoani Kagera hasa ya ugonjwa unaoshukiwa kuwa . . .
Takriban wanahabari 67 wanafungwa jela barani kote Afrika, hali hiyo ikiashiria changamoto inayoendelea ya kuwa na vyombo vya habari huru, kulingana na ripoti iliyotolewa Alhamisi.Kesi hizo barani Afr . . .
Shule ya Sekondari ya Mugwandi katika Kaunti ya Kirinyaga inakabiliwa na mustakabali wa sintofahamu baada ya kupunguzwa hadi mwanafunzi mmoja kufundishwa na walimu wanane kamili.Hali hii isiyo ya kawa . . .
Huku muda wa mwisho wa Jumapili ukikaribia kwa Tiktok kutafuta mmiliki mwingine au kukabiliwa na vikwazo vya Marekani, maelfu ya Wamarekani wanaotumia mtandao huo maarufu wa kijamii wanasema wanahamia . . .
Asilimia moja ya raia wa Sudan Kusini, sasa wana umeme, baada ya serikali kuanza kutekeleza mkakati wa kusambaza nishati hiyo kwa maendeleo ya wananchi wa taifa hilo.Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya . . .
Israel na wapiganaji wa Hamas wa Palestina, wamekubaliana kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, baada ya miezi 15 ya vita kati yao, chini ya usuluhishi wa Marekani na Qatar.Waziri Mkuu wa Qatar, S . . .
Askari Polisi Mkoani Iringa wametakiwa kujiepusha na vitendo vinavyopelekea tatizo la afya ya akili na kwamba inapotokea miongoni mwao kuonekana na tatizo hilo apatiwe msaada wa haraka, ili kuepusha m . . .
White House inasema imekamilisha kuweka sheria za kukabiliana na teknolojia ya magari kutoka China na Russia ambazo zitapiga marufuku magari yote yanayotumia umeme kutoka nchi hizo mbili kuingia kweny . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata Watoto wawili wa miaka 5 na wa miaka 4 wa kike na wa kiume, wote wa familia ya Mohamed Kasim mkazi wa Tandika Temeke, ambao waliripoti . . .
Kubwa kwa sasa kwenye upande wa teknolojia ni kufungiwa kwa mtandao wa TikTok nchini Marekani, ripoti za awali zinasema ifikapo tarehe 19 mwezi huu itakuwa ngumu kwa mtumiaji wa TikTok kutokea nchini . . .
Moto mkubwa mjini Los Angeles Nchini Marekani umesababisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao ambapo mpaka sasa vifo vimeongezeka na kufikia watu 24.Mkuu wa kikosi cha zima moto wa Los Angeles, Anthon . . .
Russia imesema Alhamisi kwamba inafuatilia kwa karibu hali ya huko Greenland, baada ya rais mteule wa Marekani Donald Trump kukatata kufuta uwezekano wa kutumia jeshi na hatua za kiuchumi . . .