Mwanzoni mwa mwaka 2026, Somalia inachukua urais wa zamu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Kama ilivyo kawaida, baadhi ya viti visivyo vya kudumu katika chombo hiki cha Umoja wa Mataifa hukali . . .
Kwa mujibu wa Kamandi ya Kusini ya jeshi la Marekani, mashambulizi hayo yalifanyika Jumanne na kulenga msafara wa boti tatu hiuvyo watu wote waliouawa walikuwa ndani ya boti moja.Jeshi la Mareka . . .
Raia mashariki mwa nchi ya DRC, wameukaribisha mwaka mpya 2026 huku wakiwa hawana chakusherehekea kutokana na kuzorota kwa hali ya usalama kwenye baadhi ya maeneo ya mashariki ambako waasi wa AFC/M23 . . .
Serikali ya Ukraine Jumanne imekanusha vikali madai ya Urusi kuwa ilihusika na shambulio la droni lililolenga moja ya makazi ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikisema hakuna ushahidi wowote wa kuamini . . .
Mamilioni ya watu dunia(leo Desemba 2025) wanajiandaa kuupokei mwaka 2026 kwa Shangwe ,fataki,sala na salamu za heri . Lakini nyuma ya sherehe hizo ,swali moja linabaki 1 januari ilitoka wa . . .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama katika taarifa aliyoitoa Desemba 30 mwaka huu amewataja waliofariki kuwa ni Lukman Chimbilo aliyekuwa bodaboda Onea Onesmo na Gervas Gerald mwanafunz . . .
Umoja wa Falme za Kiarabu umesema unaondoa vikosi vyake vilivyobaki Yemen baada ya Saudi Arabia kutaka vikosi hivyo viondoke katika nchi hiyo maskini ya Rasi ya Uarabuni ndani ya saa 24.kufuatia shart . . .
Wezi waliiba mali yenye thamani ya makumi ya mamilioni ya euro kutoka kwenye masanduku ya kuhifadhia fedha na vito vya thamani ndani ya benki moja nchini Ujerumani.wakati wa mapumziko ya siku kuu wape . . .
Wanafunzi nchini Iran walifanya maandamano mitaani mjini Tehran Desembe 29 mwaka huu ambapo ni siku moja baada ya wafanyabiashara wa mji mkuu huo kuandamana kupinga hali mbaya ya kiuchumi ambapo . . .
Wanafunzi nchini Iran walifanya maandamano mitaani mjini Tehran Jumanne, siku moja baada ya wafanyabiashara wa mji huo mkuu kuandamana kupinga hali ya mbaya ya kiuchumi.Kulingana na Ilna shirika la ha . . .
Wezi waliiba mali yenye thamani ya makumi ya mamilioni ya euro kutoka kwenye masanduku ya kuhifadhia fedha na vito vya thamani ndani ya benki moja nchini Ujerumani.Polisi imesema wezi hao walifanya wi . . .
Urusi imeishtumu Ukraine kwa kujaribu kushambulia makazi ya Rais Vladimir Putin na kuapa kulipiza kisasi, bila kutoa ushahidi wa madai hayo ambayo Ukraine imeyapuuza na kuyataja kutokuwa na msingi.Waz . . .
Dereva wa basi la kampuni ya Makupa lenye namba za usalili T 958 DRK linalofanya safari zake kutoka jiji la Arusha kuelekea Dar es salaam Ibrahim Athumani amekamatwa na Polisi na kuwekwa mahabusu mpak . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron metangaza leo Jumatatu, Desemba 29, mkutano wa washirika wa Kyiv huko Paris mapema mwezi Januari kujadili dhamana za usalama kwa Ukraine ndani ya mfumo wa makubaliano . . .
Kama ilivyokuwa katika bunge lililopita, muundo wa Bunge la baadaye la Côte d'Ivoire unaongozwa kwa kiasi kikubwa na chama cha urais.Nchini Côte d'Ivoire, matokeo yaliyotangazwa hadi sasa na Tume Hu . . .
MAHAKAMA imetoa uamuzi kumtangaza kuwa amekufa, mwanamume aliyetoweka kwa miaka 17 bila kuwasiliana na familia wala jamaa zake.Mahakama Kuu ya Milimani, Nairobi, ilimtangaza Joseph Macharia Karanja ku . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kwamba Ukraine na Urusi ziko karibu kufikia makubaliano ya amani aliyasema hayo alipomkaribisha Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kwenye makazi yake ya Flor . . .
Raia wa Guinea walipiga kura Jumapili katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kumpa ushindi mtawala wa kijeshi Mamady Doumbouya wa kuongoza kwa muhula wa miaka saba.Doumbouya ni kamanda wa zamani wa viko . . .
Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kumkamata na kumshikilia Thadey Sabinus Kweka kwa tuhuma za makosa ya jinai ikiwemo uchochezi, likieleza kuwa hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa dhidi ya . . .
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa shukrani kwa wananchi wote nchini kwa ushirikiano waliouonyesha katika kulinda na kudumisha amani kipindi chote cha Sikukuu ya Krismasi, iliyoadhimishwa 25 Desemba 202 . . .
Upigaji kura utafanyika katika sehemu mbalimbali kwa awamu tatu, ambapo awamu ya pili itakuwa Januari 11 na ya tatu Januari 25.Wakosoaji wanatia shaka kuhusu uwezekano wa mabadiliko halisi kuelekea ut . . .
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak, amehukumiwa tena Ijumaa kwa makosa ya ufisadi yanayohusiana na uporaji wa mabilioni ya dola kutoka mfuko wa uwekezaji wa taifa, 1MDB.Mahakama Kuu ya Mal . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amesema vikosi vya Marekani vimefanya mashambulizi makali dhidi ya kundi linalojiita dola la kiislam IS kaskazini magharibi mwa Nigeria ambapo ametishia kwamba watafanya . . .
Jumla ya watu milioni 6.8 katika taifa hilo la Afrika Magharibi wanatarajiwa kujitokeza siku ya Jumapili majira ya 7:00 asubuhi hadi saa 6:00 jioni kuwapigia kura wagombea tisa wa nafasi ya urais.Wago . . .
Kwa zaidi ya nusu karne maisha ya Heinz Stücke raia wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 85 yamejikita katika safari isiyo ya kawaida—kuizunguka dunia akiwa juu ya baiskeli.Stücke ameandika historia . . .
Katika tukio lililozua mshangao mkubwa mwanaume mmoja ambaye utambulisho wake bado haujafahamika amenaswa akitembea juu ya nyaya za umeme katika eneo la Barangay Ilang jijini Davao City nchini Ufilipi . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva wanne kwa kosa la kuendesha vyombo vya moto wakiwa chini ya ushawishi wa ulevi katika kipindi cha Sikukuu ya Krismasi.Kwa mujibu wa taarifa ya Ka . . .
Watoto tisa wavulana watano na wasichana wanne wamezaliwa salama usiku wa mkesha wa Krismasi katika Hospitali ya Halmashauri ya Tarime Mjini mkoani Mara.Kwa mujibu wa Umoja wa Waandishi wa Habari Wila . . .
Dodoma Watu wanne wamepoteza maisha huku wengine 18 wakijeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta wa kanisa wakati wa ibada ya ubatizo iliyofanyika Desemba 23 mwaka huu katika Parishi ya Wiliko Dinari ya . . .
Watu watano wamepoteza maisha kufuatia ajali ya helikopta iliyoanguka katika Mlima Kilimanjaro,mlima mrefu zaidi barani Afrika katika tukio lililotokea Jumatano jioni wakati wa operesheni ya uokoaji.K . . .