Mamlaka nchini Kenya, zinaendelea kukabidhi miili ya watu waliofariki kutokana na njaa baada ya kupokea maelekezo ya mchungaji mwenye utata Paul McKenzie, aliyewaagiza kufunga hadi kufa ili wakutane n . . .
Rais Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pongezi kwa Rais mteule wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili Machi 24, 2024.“Nawasilisha p . . .
Serikali ya Sudan Kusini inatarajia kufungua Shule juma lijalo, baada ya kuzifungwa kwa wiki mbili kutokana na joto kali lililokuwepo nchini kote.Hatua hiyo, inatokana na viwango vya joto kutarajiwa k . . .
Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji alikutana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri Msumbiji, Mhe Pascoal Pedro Joao Ronda katika Ofisi za Wizara hi . . .
Gavana wa Florida Ron DeSantis alitia saini sheria inayozuia ufikiaji wa mitandao ya kijamii kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 16 Jumatatu, kwani athari za majukwaa kwa vijana husababisha kuo . . .
Watu wanne walioshtakiwa kwa mauaji kwenye jumba la tamasha mjini Moscow wametambulishwa na mamlaka kama raia wa Tajikistan, baadhi ya maelfu ya watu wanaohamia Russia kila mwaka ni kutoka nchi hiyo m . . .
Mgomo wa wafanyabiashara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, umeingia siku ya nne tangu walipoanza Ijumaa wiki iliyopita wakilalamikia kodi.Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao wanadai hawakupewa elimu kuhu . . .
Ufaransa itapeleka ndege maalum kwa ajili ya kuwaondoa nchini Haiti raia wake walioko hatarini zaidi. Safari za ndege kutoka na kuingia mji mkuu Port-au-Prince zilikatizwa kutokana na vurugu za kisias . . .
Hospitali ya Kufundisha, Rufaa na Utafiti ya Chuo Kikuu cha Kenyatta (KUTRRH) imebandika zaidi ya nyadhifa 200 kwa Wakenya wasio na kazi lakini waliohitimu. Kupitia tovuti yake, kituo hicho cha a . . .
Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula, alisema Alhamisi kwamba atachukua likizo maalum, kutokana na uchunguzi wa tuhuma za rushwa, wakati alipokuwa waziri wa ulinzi.Wapelelezi waliva . . .
Tanzania na Ujerumani zimesaini makubaliano ya ahadi (commitment) ya msaada wa kiasi cha euro milioni 70 (sawa na shilingi bilioni 193.71) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nc . . .
Takriban maafisa 70 wa zamani wa Marekani, wanadiplomasia na maafisa wa jeshi Jumatano walimtaka Rais Joe Biden kuionya Israel kuhusu kukabiliwa na hatua kali ikiwa itawanyima Wapalestina haki zao za . . .
Baadhi ya wauguzi nchini wameshtaki Baraza la Uuguzi na Ukunga la Nigeria na Waziri wa Afya miongoni mwa wengine kuhusu miongozo mipya ya uhakiki wa cheti.NMCN ilikuwa mnamo Februari 7, 2024, ilitoa w . . .
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Furaha, na kwa mara ya saba mfululizo, nchi ya Finland imetangazwa kuwa nchi ambayo raia wake wana furaha zaidi duniani.Finland inafuatiwa na majirani zake wa eneo la Nordi . . .
Vikwazo vya kimataifa vimechangia kuzorota kwa haki za binadamu nchini Korea Kaskazini, kwa mujibu wa shirika lisilo la kiserikali la Human Rights Watch, huku Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, ambay . . .
Aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, Paulo Teveli amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela bila faini, baada ya kutiwa hatiani kwa uhujumu uchumi.Teveli alikuwa akikabil . . .
RAIS William Ruto amelalamikia ufujaji wa rasilimali katika baadhi ya mashirika ya serikali, akisema jambo hilo limekuwa likipunguza kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi.Dkt Ruto amesema kuanzia bajeti ya . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaja kusikitishwa na taarifa za mashambulizi ya anga yanayoendelea katika vijiji vya jimbo la Rakhine nchini Myanmar.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa . . .
Kifo cha mwanafunzi wa darasa la kwanza, Jonathan Makanyaga (6), anayedaiwa kufariki dunia kwa kupigwa viboko na mwalimu, kimewaibua wadau wa elimu wakiiomba Serikali kudhibiti adhabu hizo ili kuepush . . .
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo anashiriki Sherehe ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo jipya la Mafinga, Ndg. Vincent Cosmas Mwagala.Sherehe zinaf . . .
Ni baada ya Umoja wa Ulaya kupendekeza mabadiliko ya sheria kupunguza kwa kiasi kikubwa kanuni za mazingira za CAPMamia ya wakulima waliandamana katika mji mkuu wa Uhispania kwa miguu na kwa kutumia t . . .
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais William Ruto wa Kenya, na Rais wa zamani wa Liberia George Weah wameibuka Kuwa washindi katika tuzo za 12 Viongozi Bora wa Mwaka wa Jarida la Uongozi wa Ki . . .
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekamilisha miradi mitatu ya ujenzi wa barabara zenye jumla ya Kilomita 111.4 &nb . . .
Uamuzi, ambao unaanza mara moja, unafuatia ziara ya maafisa wa Marekani wakiongozwa na Waziri Mdogo wa Mambo ya Nje kwa Masuala ya Afrika Molly Phee na ikimjumuisha Jenerali Michael Langley, kamanda w . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS) wamewafikisha katika Mahakama ya wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga watu 23 wana . . .
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kimetajwa leo, kikosi ambacho kitakachokwenda Azerbaijan kwa michezo ya FIFA Series 2024. . . .
Meli ya misaada kutoka Uhispania iliyobeba tani 200 za msaada wa chakula ilisafiri kutoka Cyprus hadi huko Gaza Jumanne, zikiwa juhudi za hivi karibuni za kugawa chakula kwa maelfu ya Wapalestina wana . . .
Kampuni ya AirBNB inayowezesha Watu mbalimbali duniani ( ikiwemo Tanzania ) kukodisha makazi ya muda mfupi kwa njia ya mtandao, imepiga marufuku Wamiliki kuweka camera za usalama ndani ya nyumba kutok . . .
Wanachama 381 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Geita wametangaza kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uamuzi huo unakuja ikiwa ni sehemu ya kumuunga m . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amesema jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kufungua nchi kiuchumi zimesaidia uwepo wa . . .