Bunge la Thailand limemchagua Paetongtarn Shinawatra, binti wa bilionea na kiongozi wa zamani Thaksin, kuwa waziri mkuu.Akiwa na umri wa miaka 37, atakuwa Waziri Mkuu mdogo zaidi nchini na mwanamke wa . . .
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda leo Agosti 16, 2024 amefanya ukaguzi wa Jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Arusha ambapo zaidi ya Shilingi bilioni 2.7 zimetumik . . .
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza mlipuko wa ugonjwa wa mpox katika baadhi ya maeneo ya Afrika kuwa dharura ya kiafya ya umma.Ugonjwa unaoambukiza sana – ambao zamani ulijulikana kama monkey . . .
White House Alhamisi imesema kwamba mazungumzo ya kusitisha mapigano huko Gaza ambayo yameanza tena huko Doha, nchini Qatar pamoja na maafisa wakuu wa Marekani, “yameanza kwa matumaini” lakini hak . . .
MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye ameutahadharisha Umma wa watanzania kwamba hana akauti yoyote ya mtandao wa kijamii inayofanya kazi kwa sasa (iliyo-active).Nape amelazimika kutoa ufafanuzi huu k . . .
Iran imeukataa wito wa mataifa ya Magharibi wa kuacha vitisho vyake vya kulipiza kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas, Ismail Haniyeh.Msemaji wa Wizara ya Mambo y . . .
Mpaka wa Kasumbalesa kati DRC na Zambia unafunguluwa tena Jumanne asubui Agosti 12, 2024, baada ya kufungwa kwa muda wa siku tatu. Kituo hiki cha mpakani ni cha pili kwa umuhimu nchini DRC . . .
Nchini DRC, chama cha rais, Union for Democracy and Social Progress (UDPS), kinazama zaidi katika mgogoro unaokikabili kwa sasa. siku ya Jumapili hii, Augustin Kabuya, kiongozi wa chama hicho cha rais . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa, Mohamed Mchengerwa amepiga marufuku vitendo vya udhalilishaji dhini ya walimu napiga marufuku na kusisitiza kuwa kuanzia sasa natak . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt,Samia Suluhu Hassan leo Agosti 11,2024 amewasili Nchini Rwanda kwaajili ya kushiriki Sherehe za uapisho wa Rais mteule wa Nchi hiyo, Paul Kagame. . . .
POLISI wa Kenya wanaendeleza ukatili dhidi ya wanahabari wakifuatilia maandamano, licha ya mashirika ya humu nchini na ya kimataifa kuwataka kuheshimu uhuru wa kukusanya na kusambaza habari.Mnamo Alha . . .
Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Muhammad Yunus, ameapishwa kuwa kiongozi wa serikali ya mpito nchini Bangladesh.Yunus ameapa kuirejesha nchi hiyo ya kusini mwa Asia kwenye utawala wa kidemokrasia, . . .
Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesaini azimio la kuufungia mtandao wa kijamii wa X kwa siku 10 wakiutuhumu kuchochea machafuko baada ya uchaguzi wa mwishioni mwa mwezi uliopita.Tangu kumalizika kwa . . .
Wakati Nicolas Maduro, anayeshukiwa kwa udanganyifu katika uchaguzi wa urais, alikata rufaa katika Mahakama ya Juu zaidi ili uchaguzi wa Julai 28 uchunguwze, mahakimu wake walitoa hati ya kumwitisha m . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii kuhusiana na video ya binti mmoja aliyefanyiwa ukatili hivi karibuni . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusi . . .
Rais wa DRC Félix Tshisekedi hapo jana, amemshutumu mtangulizi wake, Joseph Kabila, kwa kuchochea mzozo wa usalama mashariki mwa DRC kupitia Muungano wa (AFC).Katika mahojiano na Radio Top Congo, aki . . .
Wasiwasi inazidi kuongezeka kutokana na uwepo wa aina mpya ya maambukizo ya mpox, zamani yakifahamika kama monkeypox yaliogunduliwa nchini DR Congo na sasa katika mataifa jirani kuwa yanaweza kusambaa . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa Kiwanda Cha Sigara Cha Serengeti (SCC) na Upanuzi wa Kiwanda Cha kuchakata Tumbaku (MTPL) Mk . . .
Rais wa Bangladeshi Mohammed Shahabuddin amevunja bunge siku ya Jumanne, kulingana na msemaji wa rais, na kuwaridhisha wanafunzi waliomtimua Waziri Mkuu Sheikh Hasina. "Rais amelivunja Bunge," Shiplu . . .
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa maelekezo kwa Mawaziri wanne kufuatia maombi ya Wananchi wa Mwandiga Mkoani Kigoma kuhusu umeme, usalama wa raia na m . . .
Mshambuliaji wa Simba, Fredy Michael ametabiriwa kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu ujao, huku Kibu Denis akisamehewa na wana Msimbazi baada ya sakata lake la kutojiunga na kambi ya kikosi hich . . .
Ukraine imekosoa hatua ya Mali kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na Kyiv na kuuita kama “uamuzi usiiona mbali” na uliochukuliwa haraka bila ya kufanya uchunguzi wa kina.Ukraine imeeleza kuwa ha . . .
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema kuwa moja ya madhara ya Kilimo cha bhangi na mirungi ni kuondoa uoto wa asili.Hayo yamebainishwa na Afisa Elimu kutoka DCEA, Said Ma . . .
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Wiizara ya Nishati kupitia TANESCO kujenga vituo 75 vya kupokea, kupoz . . .
Ufaransa inawaalika raia wake, haswa wale wanaopitia, nchini Lebanon kuondoka nchi hii "haraka iwezekanavyo" katika "mazingira tete ya usalama", inaandikwa kwenye tovuti ya ushauri kwa wasafiri ya . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mfumo wa gridi ya Taifa una umeme wa kutosheleza mahitaji ya kijamii na kiuchumi.Rais Samia ameyasema hayo leo Agosti 2, 2024 . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi katika mazungumzo yake ya simu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu siku ya Alhamisi usiku na kumhakikisha kuwa Marekani iko tayari kulinda usalama wa Israel . . .
BUSTANI ya Uhuru Park imefungwa tena kutokana na uharibifu mkubwa uliotokea wakati wa maandamano ya vijana wa Gen Z.Japo serikali ya Kaunti ya Nairobi na ile ya kitaifa hazijatoa kiasi kamili cha hasa . . .
Jeshi la Israeli limedai kumuua mkuu wa kijeshi wa wapiganaji wa Hamas Mohammed Deif katika shambulio lake la mwezi uliopita katika mji wa Khan Yunis kusini mwa Gaza.Madai ya Israeli k . . .