RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KIWANDA CHA SIGARA CHA SERENGETI NA UPANUZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa Kiwanda Cha Sigara Cha Serengeti (SCC) na Upanuzi wa Kiwanda Cha kuchakata Tumbaku (MTPL) Mkoani Morogoro leo August 06,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mmiliki na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha uchakataji tumbaku Mkwawa (MTPL) na Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) Ahmed Huwel wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) Mkoani Morogoro tarehe 06 Agosti, 2024.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii