Wakati hali ya usalama ikiwa tete katika eneo la Mashariki ya kati, Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un naye ametishia kutumia silaha za Nyuklia, ili kuisambaratisha Korea Kusini, iwapo nchi hiyo . . .
Ripoti iliyotolewa Jumanne imesema kuwa wakati uchaguzi wa Rais wa Marekani ukikaribia, usalama wa wanahabari haujahakikishwa kwa mujibu wa marekebisho ya kwanza ya Katiba ya Marekani.Wanahabari wa Ma . . .
Iran Jumanne imefanya shambulizi kubwa la makombora dhidi ya Israel, hatua ambayo inaashiria kusambaa kwa mzozo kati ya Israel na mataifa ya Kiislamu ya kieneo.Jeshi la Israel limesema kuwa kombora la . . .
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuwa ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, zinazojulikana kama Skyleader 600, zimeanza rasmi safari zake ndani . . .
Wabunge wanatarajiwa kuwasilisha pendekezo la kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua katika nafasi hiyo, Oktoba 1, 2024 ikielezwa kuwa mchakato wa kukusanya sahihi za kupitisha hoja hiyo unaendeleaMus . . .
Mwanasiasa wa upinzani nchini Ufaransa Marine Le Pen, ambaye alikuwa kiongozi wa muda mrefu wa chama cha siasa za mrengo wa Kulia, National Rally, amefunguliwa mashtaka jijini Paris, kwa madai ya matu . . .
Sehemu ya raia wa Nigeria wametangaza nia yao ya kufanya maandamano siku ya Jumanne, Oktoba 1, wakati taifa hilo la Afrika Magharibi litakapokuwa likiadhimisha miaka 64 ya uhuru wake.Mratibu wa kitaif . . .
Mkazi wa Kijiji cha Sinyaulime Tarafa ya Ngerengere Wilaya na Mkoa wa Morogoro, Kulwa Bosco (27), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya Hussein Steven (35), mkazi wa Ngerengere . . .
Jeshi la Polisi mkoani Tanga limefanikiwa kuwatambua watu watatu ambao miili yao ilikutwa imechomwa moto ndani ya gari dogo aina ya IST katika Msitu wa Hifadhi, kijiji cha Sinden, wilayani Handeni.Taa . . .
WAZIRI wa Kawi na Mafuta Opiyo Wandayi amepuuzilia mbali ripoti kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) ulikumbwa na uhaba wa mafuta ya ndege, hali iliyochelewesha safari za nd . . .
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris Alhamisi aliahidi msaada kwa Ukraine, akimuzungumzia mpinzani wake Donald Trump bila kumtaja jina, akisema wale ambao wanataka Ukraine ibadilishe ardhi yake kw . . .
Algeria, ambayo haina tena uhusiano wa kidiplomasia na Morocco tangu 2021, imeamua mara moja tangu siku ya Alhamisi kuweka visa ya kuingia nchini humo kwa raia wa Morocco. Algiers inaishutumu Rabat kw . . .
Familia moja katika Kijiji cha Akipeneti, Kata Ndogo ya Buteba, Wilaya ya Busia, imefanya mazishi ya ishara kwa mgomba.Hatua hii ilichukuliwa baada ya kutomwona mwanao,Kennedy Were Wanga, kwa miaka mi . . .
Rais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo ametoa wito kwa Jumuiya ya kimataifa kuchukuwa vikwazo dhidi ya Rwanda kutokana na kile alichokiita kuwaunga mkono waasi wa M2 . . .
Waendesha mashtaka wa Benin Jumatano walisema kwamba watu watatu mashuhuri akiwemo kamanda wa kikosi cha ulinzi wa rais walikamatwa kwa tuhuma za kupanga “mapinduzi” katika taifa hilo dogo la Afri . . .
Nigeria imejiunga kwenye orodha kubwa ya viongozi wa Afrika waliopo kwenye mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaoendelea mjini New York, kutaka mageuzi kwenye Baraza la Usalama.Kwa muda . . .
Rais mpya wa Sri Lanka Anura Kumara Dissanayake alilivunja bunge Jumanne na kuitisha uchaguzi wa bunge ndani ya chini ya wiki tatu katika juhudi za kuimarisha mamlaka yake baada ya ushindi wake kwenye . . .
Polisi wamemkamata mwanamume anayehusishwa na mauaji ya mpenzi wake miaka 16 iliyopita katika kusini mwa mji wa Geoje Korea Kusini.Mwanamume huyo, ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 50 . . .
WATU watano wamepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na mashtaka 23 likiwemo la kuongoza genge la uhalifu na wizi wa fedha kiasi cha Sh 3,600,000.Washtakiwa katika kesi hiyo n . . .
Kamshina wa Maadili Mhe. Jaji (Mst.) Sivangilwa Mwangesi ,akizungumza wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kilichofanyika kat . . .
Mazishi ya Ibrahim Aqil na Ahmad Mahmoud Wehbi, wote makamanda wakuu wa Hizbullah, waliouawa Ijumaa hii katika shambulio la Israel, yamefanyika siku ya Jumapili mchana, katika viunga vya kusini mwa Be . . .
Kundi la wanajihadi lenye uhusiano na Al-Qaeda Jumanne lilidai kuhusika na shambulizi baya katika mji mkuu wa Mali, Bamako, ambapo wapiganaji wa kundi hilo walidhibiti kwa muda sehemu ya uwanja wa nde . . .
“Siku kadha zilizopita Ndugu zangu Nchi yetu imepata msiba wa kuuawa kwa mmoja wa Kiongozi wa CHADEMA, kifo kilichosisimua miili na akili za Watanzania na kuibua hisia kali hasa kwa Wafuasi wa Chama . . .
Polisi Mkoani Morogoro imesema inafanya uchunguzi wa tukio la mauaji ya Mjasiriamali mkazi wa Maseyu, Costa Clemence (22), lililotokea katika kijiii cha Gwata, Wilaya ya Morogoro.Taarifa iliyotolewa n . . .
Waislamu Nchini, wametakiwa kuendelea kuhubiri amani na kuachana na vitendo viovu vinavyoweza kupelekea uvunjifu wa amani ya Taifa iliyopo.Rais hiyo, imetolewa na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Alhaji Dkt. . . .
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema hatashiriki mdahalo mwingine na mpinzani wake Kamala Harris. Ingawa kura za maoni zilionyesha kuwa Harris alishinda mdahalo wa kwanza, Trump aliona mamb . . .
Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi wa Kenya, Gilbert Masengeli amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, kwa kosa la kudharau Mahakama.Uamuzi huo umetolewa hii leo Septemba 13, 2024 na Mahakama ya juu y . . .
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini Kenya wameamua kusitisha mgomo na kurudi kazini baada ya kufikia makubaliano na serikali.Katika makubaliano hayo ya kurudi kazini kwa wafanyakazi hao, serikali . . .
Mwanaume mmoja huko San Diego aliyefahamika kwa jina la Aron Greene (26) ametengeneza rekodi ya kipekee na hii ni baada ya kukimbia kilomita 160 kwa ajili ya kwenda kumuona mchumba wake.Unaposema kilo . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawaza kulevya aina ya skanka katika oparesheni iliyofanyika August 28, 2024 hadi September 02, 2024 katika mae . . .